Hakuna wa kumtoa Urusi UN amini, na hata wakifanikiwa hiyo haitakuwa UN tena.Yaani Putin kwa ujinga wake anadhani eti akishafanya referendum na asilimia 100 ya kura zikasema kuwa wanataka kujiunga urusi eti basi hiyo itafanya Ukraine iache struggle za kuikomboa hiyo miji!
Sanasana Urusi itafukuzwa kwenye UN na automatically itapoteza kiti katika UN. Figisu hizo za kuiondoa Urusi kutoka katika Membership ya UN Marekani inaziweza!
Kama huamini kuhusu mpango wa NEW WOLRD ORDER tafuta speech ya viongozi wa magharibi wakizungumzia hii kitu.
kama RwandaMkuu unatumia ushabiki au?, unawezaje kusema jeshi la urusi lina hali mbaya wakati miji ya ukrain imeharibiwa na iko hatarini kupoteza 15% ya ukanda wake wa kiuchumi, Je unafahamu kuwa hyo miji ikiondoka basi italazimika maeneo yaliobaki yategemee chakula kutoka kwnye hiyo miji iliyojiunga na Urusi maana ndo miji ya mashamba makubwa ya taifa na viwanda vikubwa vipo uko.
Na unasema Urusi hali mbaya wakati kwasasa hivi Ukrain imebakiza Odessa, macho yote ya Ukrain yapo uko maana wakifanya masihara wanakuwa rasmi landlocked country kama Rwanda.
Watu wameanza kupiga kura ya kujitenga, kinachonishangaza wapo happy ni balaa... Ukraine alishindwa kuirejesha Cremea hataweza kuzirejesha donbase plus kherson. Muda ni mwalimu mzuri sana..
Mkuu ni ngumu kwa sababu watu wanao ishi kwenye hayo majimbo ni watu wenye asili ya Kirusi ivyo wanawaona warusi ni kama ndugu zao.
Ila Urusi ikifanikiwa kuyachukua haya majimbo litakuwa pigo kubwa sana kwa Ukraine maana hayo majimbo 4 ambayo Urusi inataka kuyachukua yana wakilisha karibia asilimia 45 ya Uchumi Ukraine na yana wakilisha asilimia 80 ya bahari.
Putin anajitoa mwenyewe kila mahala.Hakuna wa kumtoa Urusi UN amini, na hata wakifanikiwa hiyo haitakuwa UN tena.
Pamoja na figisu zote za Marekani na Urusi mpaka Leo hawajafungiana balozi...
Umenikumbusha Zelensky anajifanya anaihimiza dunia anaipa kama somo: Baada ya Putin kutoa speech yake rais Zelensky anaiambia US ili iiokoe dunia kabla ya Russia kufanya maamuzi ya kutumia mabomu nuclear nchini Ukraine US imuwahi Russia na ilipue sehemu zote ambapo silaha za nuclear zilimohifadhiwa nchini Russia.
Hii ndiyo akili ya Zelensky na mbinu zake za kurubuni watu. Habari zake ni za kati kwa kati ya kwamba wao ni hawana hatia na Russia ana lengo la kufuta democracy, freedom ambayo ndiyo imetahamalaki duniani na Russia kufanya hivyo ni kupambana na dunia hivyo aadabishwe kwa uzito mbali na vikwazo vya uchumi dhidi yake ambavyo kwa sasa vinawagharimu wao.
Kwa misingi hiyo Tucker mwandishi habari wa Fox News anasema: "So a corrupt Eastern European authoritarian leader in a t-shirt is lecturing us".
Tucker anahoji; Bw. Zelensky anajitoa ufahamu kuwa Urusi ni Taifa linaloongoza kwa idadi ya kuwa na silaha nyingi za nuclear hivyo athari nawe zitakupata vyema tu na kwa wingi. Mbali na hilo kwa nini US ifanye hivyo kisa Ukraine wakati njia nyingi za kusuluhisha hili zipo wazi?!
Kwa maoni ya Tucker ni kwamba viongozi wa UK,US na Bw. Zelensky ni vichaa kwa sababu China ambayo inarekodi ya kuwa na uvunjifu mwingi wa uvunjaji wa haki za binadamu kwenye baraza la UN imezungumza huu mtanange usulihishwe kwa amani kwa pande zote mbili hali ya kuwa Biden na makuhani zake wanachochea moto wa matumizi ya silaha ya nuclearhali ya kuwa huu upande unajinasibu kuwa ni upande unaojal usalama na haki za watu duniani. Kama ripoti za haki za watu duniani znamtambua China kama mvunjaji wa haki za watu anaona hatari ya hili wewe unayechochea moto kisha unajiona mwema kama si kichaa wewe ni nani?
Ndivyo Tucker alivyolihoji kwa kuhabarisha umma.
bendera inasema kitu hapo juu
Alisikika mshauri wa mgambo wa kijiji akiongea kwa jazba Huku akijipiga piga kifua.Humu mnaandika sana na vitu hamfatilii wacha niendelee kuangalia hapa Putin akipata aibu ya mwaka huko..
Wote hao walio msitari wa mbele kwenye kampeni za Rusophobia, hao former soviets Estonia, Lithuania na Latvia wanachukua umeme toka Russia. Lau wangekuwa wao ndio Russia anatoa kutoka kwao wangekuwa wamemkatia kitaaaaambo sana.Kwani haya majitu yanapata umeme kutoka Urusi? Mbona sasa Mwamba Putin amewapendelea hivyo wakati wanajifanya majeuri eti wanaiwekea Urusi vikwazo!
Umeshirikisha ubongo kweli !!?? Yaani eneo lako Mikoa minne inapigwa kura kuwa nchi ya upande wa pili na unaona ni mafanikio!!?? Hivi mnasomeaga wait ujinga huu.!!!?Himars na Javellins umejua kutuheshimisha waUkraine WA kibaigwa na kumnyoosha supapoor WA mchongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna chanzo kimoja nilikipitia wanasema hayo majimbo yanachangia 80-85% ya GDP ya UKRAINEMkuu ni ngumu kwa sababu watu wanao ishi kwenye hayo majimbo ni watu wenye asili ya Kirusi ivyo wanawaona warusi ni kama ndugu zao.
Ila Urusi ikifanikiwa kuyachukua haya majimbo litakuwa pigo kubwa sana kwa Ukraine maana hayo majimbo 4 ambayo Urusi inataka kuyachukua yana wakilisha karibia asilimia 45 ya Uchumi Ukraine na yana wakilisha asilimia 80 ya bahari.
Duh! Hii Kali sana, unapiga kura huku umeshikiwa mtutu wa bunduki,