let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Sosi Wallah😂😂Mzee baada ya kushindwa kuchukua maamuzi mazito kama ya PUTIN.vijana wake wameamua kumfungia kwenye contena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].wanataka wafanye yao kwanza huko TaiwanView attachment 2366867
Naona umekuja kwa hasira sana na jazba, tuliza mzuka...humu sio mahakamani ..humu tunajadili tu....sasa wewe umewaka utafikiri ndo Zelensky mwenyewe....Hakuna upumbav kama huo dunia hii , yaani uvamie territory ya nchi nyingine halafu utegemee compromise na diplomacy , huo upumbav uko sayari ya mars
Bayraktars zilizowahi kutengenezwa duniani ni ngapi na Russia anaclaim kuharibu ngapi!?Hiyo habari ya level zenu nyinyi Vatniks. Maneno mengi mmetype na picha au footage hamna. Hivi unajua kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Russia ni kwamba walishaharibu Bayraktars za Ukraine nyingi kuliko idadi yote iliyowahi tengenezwa duniani?
Sasa sijui ni time travelers ama nini
Hizi ni Wishful ThinkingHivi baada ya hii vita Russia atabaki na ndege kweli,maana kila siku zinapopolewa km mbayuwayu
[emoji298]️Ukraine shoots down 4 Russian aircraft.
Ukrainian forces have recently shot down two Russian Su-30 jets, one Su-25 and one Su-34, the General Staff of Ukraine's Armed Forces said in its evening briefing on Sept. 24.
Tuanzie hapo kwanza, Obviously kama ataleta data sahihi basi hata mimi ntaanza kuwa na mashaka na data za russian ministry of defence na kama hatakuwa sahihi au hataleta authentic data basi huyu jamaa sitamwamini tena na atakuwa anatuongopea hapa T14 ArmataBayraktars zilizowahi kutengenezwa duniani ni ngapi na Russia anaclaim kuharibu ngapi!?
Maneno kitu simple