Putin hawezi tumia Nukes[emoji298]️ Blinken: US has plan in place if Russia uses nuclear weapons against Ukraine.
U.S. Secretary of State Antony Blinken told CBS News on Sept. 25 that the U.S. has made it clear to Russia that the consequences of using nuclear weapons would be “horrific.”
Blinken did not share how the U.S. would respond if Russia used nuclear weapons against Ukraine, but said the administration has a plan.
Germany anatia huruma sana US anamuingiza chaka yeye amebaki anashangaa tu viwanda vyote vikubwa vya germany vinampango wa kuhamia North america kwa ajili ya uzalishaji maana yake ni kuwa ajira nyingi za wananchi wa germany zinaenda kuzikwa rasmi.. US alivyokuwa mshenzi eti anawaambia wahamie nchini kwake atawapunguzia Taxes ili tu waamie kwake ila ili zuzu olaf limekaa tu linakodoa mijicho yani mpaka nimemkumbuka bibi markel yule bibi ana angalia masilahi ya nchi yake kwanza.
Putin usithubutu kutumia vyukilia.....US yasema
"'If Russia crosses this line, there will be catastrophic consequences for Russia. The United States will respond decisively,' said US National Security Advisor Jake Sullivan [File: Kevin Lamarque/Reuters
View attachment 2368359
Kwanza jifunze kuandika ili uweze kusomeka vizuri, je una haraka gani? Hebu angalia hizi facts halafu uzitafakari...
Hawa ni watu ambao wamelazimika kuzikimbia nchi zao za asili wakikataa tawala za kidikteta na kifashisti kwa fursa na usalama wao. Sasa na wewe nipe idadi ya Wamarekani waliokimbilia Urusi kwa sababu za kisiasa na kiuchumi!
- The Russian American population in the US is estimated to be 3.13 million.
- The Chinese American population in the US is estimated to be 5.4 million
- The Indian American population in the US is estimated to be 4.6 million
- The Filipino American population in the US is estimated to be 4.2 million
- The Arab American population in the US is estimated to be 3.5 million
Wewe hapo ukiletewa visa mbili uchague pa kwenda kati ya Russia na Marekani hata kama ni kwa kutembea tu utachagua wapi? Najua kwa unafiki ule wa Kitanzania si ajabu ukasema Russia! Huo utakuwa ni uenda wazimu, siyo kweli! Huwezi!
% inaweza kuwa chini iwapo utaihusisha na TP, ila ipo juu kuliko mifumo mingine isiyoshirikisha wengine kabisa.Baba wa Democrasia Marekani wanopiga kura kumchagua raisi huwa ni wangapi!?.
Au niambie definition ya wengi kwenye population ni asilimia ngapi!?
Ookeykwani wewe hujui kwamba Dunia is controlled by Satan,mbona hata mtu ambaye sio Mkristo analiona hili,unless you are burrying in the sand.
Yeah, cha kufanya yeye avuke mstari mwekundu tu !! Putin anajua Marekani haijawahi kutania kujaribu kutumia atawaponza warusi wenzake.Wanasubiri nyuklia ndo warespond kweli US ni dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23]
China ina GDP kubwa ila haina uwezo wa 'influence' kama walivyo UK, France, Canada n.k.Tatizo nyie wasapoti NATO hamna information kwenye Top 5 nchi za Asia zipo 3 hamna west domination.View attachment 2366916
Sasa kama vita vya Ukraine anabeba nchi nzima, ikija vita na USA ataweza kweli.?Hahahaha Putin ajiandae tu na total mobilization
[emoji298]️Russian media: Russia considers imposing martial law, banning men of draft age from leaving the country.
According to Russian media Verstka, Russia is considering imposing martial law “if Ukraine continues to attack" occupied territories that Russia plans to illegally annex.
According to the media, the Kremlin might also ban men of draft age from leaving Russia. The move might be announced ahead of Russian dictator Vladimir Putin’s address to the Federal Assembly which, according to Verstka, is scheduled for Sept. 30.
Kwan si angalau basi watu wanaweza kutoa madukuduku yao ,na kuhoj serikali yao,kuliko wannchi mnafaanywa mandondocha na watu wachache,wenzetu ulaya democracy yao iko mbali tofaut na kwetu huku ,ambako kuna udikteta ,kule wazir mkuu alhudhuria send off kipind ya korona akaliwa kichwa ingekua nchi za kidictetor ujinga unafanyika mwing ila mnafungwa midomo. Sitaki kueleza bibilia najua unafaham naongea nn,mchana mwema ngoja tkimbizane na tozoHpii ndio maana wa wadanganyika mliyopewa!
A system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.
Tuichambue:-
1.A system of government by the whole population or all the eligible members of a state-Hiki ni kitu ambacho lhakiwezekani,labda kwa mjinga tu,na katika serikali zote duniani hii haiwezekani,it is a hollow promise based on lies.
2.typically through elected representatives-Hii pia ni empty words,it is never followed by action.Naweza kusema it is empty and hollow rhetoric.Again ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huu.
The truth is infact far from that.Democracy means Demon Authority,Rule or Power.The word is coined from two Green words words,Daimon and Cracy.Cracy is authority or Power in Greek .Daimon is Demon.Maelezo mengine kinyume na haya ni uongo na kupindisha ukweli.
The word Democracy was wisely coined for an evil purpose,by combining forms occurring in loanwords from Greek ( aristocracy; democracy). On this model, cracy is used, with the meaning of “rule,” “government,” or governing body,” to form abstract nouns from other origins.Amkeni,mmelala usingizi wa pono.
Kadri mtu au chama anavyozid kukaa mdarakani mda mrefu ndivyo anavyozid kuwa zuzu% inaweza kuwa chini iwapo utaihusisha na TP, ila ipo juu kuliko mifumo mingine isiyoshirikisha wengine kabisa.
Putin anaijua US.Sasa kama vita vya Ukraine anabeba nchi nzima, ikija vita na USA ataweza kweli.?
Hujajibu swali mzee. Nimekuuliza kati ya watu 332,403,650 wa USA ni wangapi hupiga kura kumchagua rais wao!?% inaweza kuwa chini iwapo utaihusisha na TP, ila ipo juu kuliko mifumo mingine isiyoshirikisha wengine kabisa.
Madaraka ni matamu. Ili uweze kuyaacha wewe uliye madarakani na network yako inayokulinda inahitaji msiwe na tamaa.Kadri mtu au chama anavyozid kukaa mdarakani mda mrefu ndivyo anavyozid kuwa zuzu
Sijajibu sababu naelewa mantiki ya swali lako linalenga kuonyesha udhaifu wa mfumo wa demokrasia ilihali mm nalinganisha huo mfumo na mifumo mingine ya kifalme.Hujajibu swali mzee. Nimekuuliza kati ya watu 332,403,650 wa USA ni wangapi hupiga kura kumchagua rais wao!?
Hivi unajuwa rais wa USA hachaguliwi na majority votes!? Je hiyo ndiyo democrasia au neo dictatorship!?% inaweza kuwa chini iwapo utaihusisha na TP, ila ipo juu kuliko mifumo mingine isiyoshirikisha wengine kabisa.