Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu Milioni 156 walipiga kura mwaka 2020, Biden alipata kura milioni 82 na Trump milioni 74
 
hivi mkuu Mauripol sijaisikia kwenye refferundum yenyewe ilishakua russia

Kama sijakosea Mauripol iko ndani ya Donetsk, kwahyo hyo referendum inayofanyika Donetsk inajumuisha na wakazi wa mji wa Mauripol, yaan jamaa wanamega ukanda wote wa kiuchumi na wasipokuwa makini Odessa na kharviv na zenyewe zinaingia kwnye mpango.
 

PLUNGE: This isn't some Rinky-Dink Stock, it's the British Pound!​

26 SEPTEMBER 2022

The British Pound Sterling currency has plunged 500 pips to a record low value of $1.03 in absolute carnage of Foreign Exchange Reserves.
Here's the full chart showing the smash:

The beginning of the end is finally here . . . The GBP is down 23% YTD, worse than most 3rd world currencies.
GBP/USD is sitting right at support levels from 1984.

Strangely, all of a sudden, it is starting to make sense that the Pope ordered all Vatican entitites to move all their funds to the Vatican Bank by September 30 - and most of them have already done so. (Story Here)

BULLETIN: The Chicago Mercantile Exchange (CME) has HALTED trading in GBP futures ! ! ! !

UPDATE 8:10 AM EDT --
It's happening everywhere, Bond prices are cratering, currencies are cratering . . .


BREAKING: Moscow Stock Exchange drops 9.2%
In London, the Financial TImes Stock Exchange (FTSE 100) just hit 6962 (…going down!) On Dec 30 1999 the FTSE hit an intra-day high of 6950 (…going up!!) …are we all set to be like it’s 1999 again?


UPDATE 8:20 AM EDT --
CANADIAN DOLLAR IN FREEFALL
Speculation CAD will drop below 60 cents this week.

A historic low.

Global currency in total freefall.
 
Kama sijakosea Mauripol iko ndani ya Donetsk, kwahyo hyo referendum inayofanyika Donetsk inajumuisha na wakazi wa mji wa Mauripol, yaan jamaa wanamega ukanda wote wa kiuchumi na wasipokuwa makini Odessa na kharviv na zenyewe zinaingia kwnye mpango.
ok, Jamaa wanafanya mambo yao kwa mipanngo na mahesabu makali sana ila hiyo odesa hata mimi naipenda wafanye waichukue tu
 
Kabisa yaani

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Wazungu ni washenzi tu. Marekani anataka kuishi bila kufanya KAZI hicho ndicho kinacholeta vita . Lazma adisturb Dunia silaha zipungue auze silaha. Hajali VIFO vya wazungu wa mashariki wahindi waarabu Waaafrika anajali American welfare. Machizi yamo humu kutetea Marekani kisa ni hip-hop basketball bas
 
ODESSA ikinyakuliwa itakuwa ni pigo haswa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

Sidhani kama itachukuliwa, nahisi watasurrender haraka kabla ya kuchukuliwa….Itakuwa hatari kma Odesaa nayo itaenda maana bahari nzima ya ukrain itakuwa imeondoka, hvyo Russia itakuwa na control kinachoingia na kinachotoka Ukrain kupitia bandari zote…na mbaya zaidi ile miji iliyopiga referendum itakuwa na uchumi mkubwa kuliko Ukrain iliyobaki, waukrain wengi watadefect kuelekea kwnye hiyo miji, maana baada ya vita sidhani kma Ukrain anaweza kurebuild miji yote kwa kasi ukilinganisha na Urusi. Hiyo miji ijiandae kwa wimbi kubwa la wakimbizi.
 
Hii rekodi yako inabidi utuonyeshe Waingereza wangapi wamekilia US?
Wascotland, Wafaransa, Waswidi, Wafini, Waholanzi, Watu kutoka Latin America? Waafrika hasa first generation?
Halafu tukuulize kwa nin?
Unadhani kwa nini waukraine walikuwa wanairenga kuhamia Ujerumani badala ya Romania?
 
Demokrasia ni zaidi ya kupiga kura.
Demokrasia ni uwepo wa tume huru ya uchaguzi, vyombo huru vya habari visivyo spika tu ya serikali, separation of powers/huru wa mihimili, utawala wa sheria(baadhi ya watu kotukuwa juu ya sheria), wapinzani kutoangushwa maghorofani au kulishwa polonium,
 
Kosa alilolifanya Zelensky ni kushambulia maeneo ya ndani ya Urusi na Crimea
Kiasi cha kufanya Warusi wengi waungane na kusapoti hii op.
Kumbuka sasa sio suala la mtu mmoja ila Taifa zima la Urusi halitokubali kupigwa na kushindwa.
Kama walivyofanya kizazi kilichopita basi na hawa watafanya hivyo hivyo.

Ujinga wa zee komed kutokuheshimu Minsk Agreement ndio madhara yake haya.
 
Kosa alilolifanya Zelensky ni kushambulia maeneo ya ndani ya Urusi na Crimea
Kiasi cha kufanya Warusi wengi waungane na kusapoti hii op.
Kumbuka sasa sio suala la mtu mmoja ila Taifa zima la Urusi halitokubali kupigwa na kushindwa.
Kama walivyofanya kizazi kilichopita basi na hawa watafanya hivyo hivyo.

Ujinga wa zee komed kutokuheshimu Minsk Agreement ndio madhara yake haya.
 
hivi mkuu Mauripol sijaisikia kwenye refferundum yenyewe ilishakua russia
Kama sijakosea MAURIOPOL nisehem iliopo kwenye eneo la DON BAS
Kama sio LUHANSK Basi DONEST sina hakika lkn ila nahisi
Nandio maana halitajwi kujiunga kama eneo linalojitegemea
Wajuvi watatusaidiaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwoga umewaingia wajerumani baada ya kusikia Nuke[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Germany will make sure not to become one of the parties to the Ukrainian conflict, the head of the Defense Ministry said.

And at the same time, it will continue to "clearly signal", supporting Kiev with finances and weapons.

Another dose of "etodrugin" from Christina Lambrecht.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Well said mkuu

Na ndio maana mimi niliona hakuna sababu ya Ukraine kukaza shingo tangu mwanzo maana alichokuwa anakipinga hakuwa na ubavu wa kukizuia kisitokee one way or the other! Nato wangeweza kuwa msaada lkn with nuclear weapons on the eqn msaada usingekuwa wa kiivyo. Tumeona all along this war western wamejaribu kumpa tafu kijeshi na kijasusi lkn hawakuwa tayari kuruka mstari mwekundu wa Urusi. Silaha walizompa zilikuwa ni za kuchelewesha tu lkn sio kuzuia! Kama mtu anabakwa badala ya kutoa msaada wa kumzuia mbakaji wewe unasaidia kinga na vilainishi ili victim asiumie wala kuambukizwa but you let the rape to go on. Fancy that!

Angekubaliana na matakwa ya Urusi tu kuepusha matatizo ambayo tayari amejisababishia. The rape was inevitable, maybe, she shoulda just lay back and enjoy sex! Just for the time being mpk siku angepoweza kusimama toe to toe na Urusi ndipo angekiwasha sasa! Au angekubaliana na uhalisia yeye ni mnyonge kama sisi tulivyokubali trilioni zetu 360 zikaenda. Hatukuwa/Hatuna na cha kuwafanya

Kuingia vitani dhidi ya urusi haikuwa idea nzuri. Matokeo yake sasa Military yake imekuwa crippled, Ndoto za kujiunga nato zimekufa kibudu, raia wamekimbia nchi, miundombinu imeharibika, vifo maelf kwa maelf, uchumi umedidimia, madeni ambayo itamchukua miongo na miongo kuyalipa and on top of that donbas imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.

Ila Kwa hapa ilipofikia Diplomasia haina maana tena kwa upande wa ukraine. Itakuwa ni ujinga kukubali masharti ambayo ungeweza kuyakubali kbl hujapigwa na kutiwa hasara. Waendelee kupigana tu. Mpk washinde au washindwe kbs kbs. Point of no return. The rest of the world we are holding our breath!!!

*Nothing dangerous in the game than a pawn who thinks he's a queen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…