MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Lakini hili Putin alisema toka mwanzo wa operation kuwa kitendo cha kuifungia timu ya taifa urusi basi hakutakuwa na kombe la dunialnaonekana ww3 inaangukia
#BREAKING ⚡️🇷🇺 THERE WILL BE NO WORLD CUP THIS YEAR
SOMETHING WILL HAPPEN IN THE COMING WEEKS.
—SECRETARY OF THE RUSSIAN SECURITY COUNCIL
Ungekua karibu ningekupa grant kubwa bwashee umeongea madini tupuLini USA alimwambia Ukraine kwamba watairudisha Ukraine?!
Hizo nchi jirani na Russia haziwezi kuona Sawa ufedhuli anaufanya Urusi sababu wanajua na wao kitawapata kilichompata Ukraine Kwa kisingizio kilekile kwamba Urusi anaenda kulinda raia wanaoiunga mkono Urusi kwenye ardhi ya hizo nchi. Resources sio kigezo cha kufanya eti nchi ikijisogeze Kwa Russia,Russia ni Taifa kubwa lakini kwasasa halina ushawishi hata Kwa jirani zake kuizidi China ambayo haina resources kuizidi Urusi mfano mzuri ni Kazakhstan hivi sasa inajitoa kwenye kivuli cha Urusi na kuegemea Kwa Marekani & Europe na China. Wanajenga bomba jipya la mafuta ambalo litakwepa kupita kwenye ardhi ya Urusi na Rais wao alimwambia Putin live kwamba hawatatambua Donbass wala Luhansk matokeo wanasiasa wa Urusi wakaanza kusema Kazakhstan sio Taifa linatakiwa liungwe Kwa Urusi Yani sababu zilezile zilizotumika kuivamia Ukraine ndo wakaanza kuzisema sema dhidi ya Kazakhstan kisa tu haifuati matakwa ya Moscow. Russia ni Taifa kubwa lenye resources nyingi lakini wananchi wake hawali matunda ya hizo resources Ila Putin na Cycle yake ya maoligarchs,sasa hivi baada ya Mali zao kushikwa Putin anawaua kila kukicha sababu anajua siku watamgeuka.
Shekhe unazungumzia Ulaya ipi?! Juzi UK imesema itaongeza bajeti ya kusaidia silaha Ukraine kufikia $2.3 bilioni, Ursula kiongozi wa European Union alisema Kuna ela zimetengwa na zitaongezwa ili kununua silaha Kwa ajili ya Ukraine. Putin alidhani akiwablack mail Kwa kukata gas watampigia magoti matokeo yake imekua tofauti,Ulaya wanatafuta alternative za Gas ya Urusi,Qatar na Ujerumani wapo mbioni kukamilisha mkataba mkubwa wa kuuziana LNG. Alternative energy sources km Hydrogen zimeanza kuangalia Kwa jicho la tatu, Ujerumani imefungua tena coal plants,kuna vinu vya nyuklia ilitakiwa vistaafishwe wameamua kuviongezea muda ili kuziba gap lilioachwa na gas ambayo Putin amekata. Putin hakupiga hesabu vizuri kuingia kwenye vita ya kijinga kama hii maana kwenye kila kitu amepata matokeo tofauti,alikua anataka kudhibiti upanuzi wa Nato- matokeo yake NATO itapanuka zaidi Finland na Sweden soon watakua wanachama. Alitaka kuua cooperation Kati ya USA na Europe kupitia Nord stream 2 matokeo yake imefungwa,Putin mwenyewe juzijuzi hapa anakuja na demand eti Ulaya wakitaka gas bhas wafungue Nord Stream 2
mpe darasa uyo team upindeLini utajifunza kujenga hoja zenye akili!?
Facts
1. Russian assets/fedha zilizokuwa seized west haziwezi kutumika kirahisi kama unavyofikiria. Nimekupa chapisho la kitaaluma kuhusu hili jambo wewe unaniletea taarifa/habari uchwara za nani kasema nini. Maneno ya borell ni ya kisiasa tu na kwenye hiyo unayoiita 'article' wala hakuna analysis ya alichokisema wao wamemquote tu basi.
"EU's Borrell Says Russian Reserves Should Be Seized, Used To Rebuild Ukraine"
A merely suggestion from a politician. Lol [emoji38]
About Blinken's statement unayajua majibu aliyopewa baada ya kusema wamewauliza wanasheria wao kama wanaweza kutumia mali za serikali ya urusi. Tatizo hata 'article' ulizozileta hapa mwenyewe hukuzisoma.
2. Hizo frozen assets (hata wakiweza kuzitumia) haziwezi kutosha hata kuijenga Ukraine kurudi ilivyokuwa zamani. According to Kiev shool of economics itahitajika zaidi ya 600b usd wakati frozen assets za urusi kwenye nchi za magharibi hazizidi 400b usd. Na haiwezekani kutumika zote.
3. Hakuna kiwango cha assets kinachoweza kulipia donbas, kherson na zaporozhie. Unazungumzia eneo kubwa la nchi lenye utajiri wa viwanda na rasilimali. That is priceless [emoji108]
Yaani hata Mimi hili nilikuwa silijui aiseeeDuuuh..kumbe kuna vitu vingi viko chini ya pazia
Hiyo ipo cnn na aljazeera jiongeze ufahamu meng Russia kwisha habar yakeTunaaminije kwamba hao ni Warusi na sio story za kupikwa?Please confirm kwamba hao kweli ni Warusi wanaokimbia nchi yao,vinginevyo this is fake news.
Hiyo ipo cnn na aljazeera jiongeze ufahamu meng Russia kwisha habar yakeTunaaminije kwamba hao ni Warusi na sio story za kupikwa?Please confirm kwamba hao kweli ni Warusi wanaokimbia nchi yao,vinginevyo this is fake news.
Siyo wanaitumia Ukraine kama base ya kuisambaratisha Russia bali tayar walishaanza kuisambaratisha Russia we endelea na past tense. RUSSIA IMESHAANZA KUFUTWANaomba utambue yafuatayo.
1.Hakuna uhasama wowote kati ya Kenya na Tanzania.
2.Tanzania haitumiwi na any entities kuidhuru Kenya,Ukraine is.
3.Tanzania haidhuru wananchi wowote ambao ni ethnic Kenyans.On the other hand Ukraine ina-uwa Warusi waishio Ukraine.
4.Ukraine ina maabara za siri za kibayolojia za Marekani ambazo zinazalisha silaha za kibayolojia za kuidhuru Russia.Tanzania haizalishi silaha za kibayolojia za kuidhuru Kenya.
5.Nchi za Magharibi zinaitumia Ukraine kama proxy ya kuisambaratisha Urusi.On the other hand Tanzania haitumiwi na nchi za Magharibi kuisambaratisha Kenya.
So your comment and comparison is null and void,haina mashiko kabisa.Urusi Ina sababu zote za kuisambaratisha Ukraine kwa kuwa it is a threat to the Russia Nation,while Tanzania is not in any way a threat to the Kenyan Nation.Nenda kajifunze,hujui what the Ukraine-Russian conflict is all about,usipotoshe watu.
Muache aendelee kuota Ukraine kujengwa na mali za Urusi [emoji1787][emoji16]mpe darasa uyo team upinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uliyesema Burundi na Zimbabwe wanaitambua Crimea kama sehemu ya Urusi ni wa kuniambia Mimi nina hoja dhaifu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muache aendelee kuota Ukraine kujengwa na mali za Urusi [emoji1787][emoji16]
Sijaona mtu ana hona zaifu km huyo jamaa. Alaf ni mbishi. Hata kama kitu hajui anakomaza shingo heri ipasuke.
Tunajitahidi kuonesha udhaifu na uongo, uzushi uliojaa kwenye 'hoja' zake mambo ya kufikirika ambayo anatamani yawe kweli. Ubishi wake sisi tunamuachia. Abishane mpk asubuhi. hoja ya asset za urusi tushaifunga. Tusubirie tangazo la matokeo ya kura 27th Sept...
Alooo hii si sawaa kuna mahali switch zimezimwa, sijui nianzie wapi kukujibu.... Anyway umenifurahishaHuo mfano wako ulipaswa kuwa wa namna hii:
Chukulia mfano, hapo kwenye mpaka wa TZ na Kenya, huku upande wa Tanzania, Tanzania ikaamua kufuga magaidi ya Al Shabaab na magaidi wengine wengi tu wanaotokea Somalia.
Halafu hao magaidi wakawa wanatishia mustakabari wa Kenya.
Sasa, ndio uje kuuliza, Kenya wakianzisha Vita, tutakuwa upande gani.
CNN na Aljazeera to me is fake News,huaga siangalii!Angalieni ninyi wadanganyika.Hiyo ipo cnn na aljazeera jiongeze ufahamu meng Russia kwisha habar yake
Siyo wanaitumia Ukraine kama base ya kuisambaratisha Russia bali tayar walishaanza kuisambaratisha Russia we endelea na past tense. RUSSIA IMESHAANZA KUFUTWA
Usijichekeshe ili uonekane mcheshi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uliyesema Burundi na Zimbabwe wanaitambua Crimea kama sehemu ya Urusi ni wa kuniambia Mimi nina hoja dhaifu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyoombwa source ukaleta tu jina la source bila ya kutoa link tukasome kilichoandikwa humo ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daaah
Halafu eti unambishia mpaka Blinken,sasa sijui Kati yako ww keyboard warrior na Blinken Nani ana akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unategemea niamini hii habar yako kama wewe huamini ya kwangu ,bwashee unachekeshaCNN na Aljazeera to me is fake News,huaga siangalii!Angalieni ninyi wadanganyika.
Halafu eti Russia inasambaratika, ndivyo mnavyodanganywa na fake news outlets zenu ee.The West inasambaratika as sanctions backfire!Sawa,endeleeni kudanganywa na fake Mainstream Media of the likes of CNN,CBS,Fox,Aljazeera,Sky etc.
Hebu cheki a Former Retired CIA Director akikiri udanganyifu huo.Sasa wewe ni nani hata uamini kwamba Mainstream News sio fake News?Acheni umbumbumbu.