1.Biashara:Uhasama mdogo mdogo wowote wa majirani,let alone wa kibiashara,ni issues za kawaida za majirani.It does not not go to as far as causing a millitary conflict,unless kuna foreign meddling.Are you serious, vipi kuhusu uhasama wa kibiashara
Wamasai
Apo kwenye nchi za magharibi weka waarabu wanaotaka kuwinda wanyama pori.
Wewe unaweza kukubali kuwa mamluki?Hatuna watu wenye maono JWTZ wangewexa anzisha Government owned military mercenary company ya kuconvert criminals toka kule kwenye magereza na hawa street thugs kama panya roads na vijana wasio na ajira Kwa kuwapa military trainings na battle field skills zinazolenga kuwatengeneza kuwa expert mercenaries then kuwapeleka kwenye sehemu zenye conflicts na vita kama peace keepers, enforcers ,elite private guards na hata private army soldiers WA kuingia kwenye battle fronts hapo wangeweza pata mapato na kuisaidia nchi kugain revenue pia hata hao recruits wanakuwa wamefaidika Kwanza wamekuwa converted kuwa raia wema wanalipwa kipato na pia ni msaada Kwa nchi incase kuna vita au hatari za kiusalama dhidi ya Taifa . Kiufupi linakuwa ni active reserve army kikinuka Tu ni rahisi kuwamobilise watu kama hawa Maana wanakuwa battle hardened na experience ya kutosha pia wapo active .
Duuhlnaonekana ww3 inaangukia
#BREAKING [emoji298]️[emoji635] THERE WILL BE NO WORLD CUP THIS YEAR
SOMETHING WILL HAPPEN IN THE COMING WEEKS.
—SECRETARY OF THE RUSSIAN SECURITY COUNCIL
Angela Merkel lile ni jitu na nusu Roho sabaGermany anatia huruma sana US anamuingiza chaka yeye amebaki anashangaa tu viwanda vyote vikubwa vya germany vinampango wa kuhamia North america kwa ajili ya uzalishaji maana yake ni kuwa ajira nyingi za wananchi wa germany zinaenda kuzikwa rasmi.. US alivyokuwa mshenzi eti anawaambia wahamie nchini kwake atawapunguzia Taxes ili tu waamie kwake ila ili zuzu olaf limekaa tu linakodoa mijicho yani mpaka nimemkumbuka bibi markel yule bibi ana angalia masilahi ya nchi yake kwanza.
Hii counter naingojea hii
hawa wakapigwa kama panya weziView attachment 2369505
mazoezi ya askari wapya wa russia wakiwa mstar wa mbele
Asikari wa super pawer wa mchongo wanazidi kupukutika tu, [emoji848]Recent updates as of 26.09[emoji116][emoji848]View attachment 2369518
Zile 40$B zilishaisha eeeh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji298]️ Reuters: US Congress negotiators include $12 billion in additional aid to Ukraine in draft bill.
The new aid to Ukraine was in response to a request from the Biden administration, reports Reuters, citing a source familiar with the issue.
Daily nuclear weapons talk from Russia. What’s new?![emoji298][emoji298][emoji298]Russia has the right to use nuclear weapons if necessary, Russian Security Council Vice President Dmitry Medvedev said.
«In established cases. In strict accordance with the Fundamentals of state policy in the field of nuclear deterrence. If we or our allies are attacked using this type of weapon. Or if aggression with the use of conventional weapons threatens the very existence of our state, "Medvedev said[emoji298][emoji298][emoji298]
Kaka uwe unaelewa bhas,mpk ss Marekani imetumia $15 bn Kati ya $40 bn. Kwhyo kuna $25 bn haijatumika na jamaa wanataka kujazia.Zile 40$B zilishaisha eeeh[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama wanadhania wanaweza kutushinda uwanja wa vita acha tuone VV PUT IN
Hii SVO jamaa hawatashinda hata wapewe bajetu nzina ya jeshi la US na NATO yake
LUHANSK
DONESTK
KHERSON
ZAPORINHE
Hapo KREMLIN inaskilizia kama wataukalia mkia hao west wakubwa wataangalia pengine pakujimegea
Njia nzuri ilikua mazungumzo ila jamaa washachelewa cavusoglu kaliweka wazi hili turkey MOD
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin anafikiri nyukilia anayo yeye tu, awashe kitufe ashuhudie ntiti.Daily nuclear weapons talk from Russia. What’s new?!
Mrusi anapigana vita mbili at paa, sanctions na battle field - lazima unyong'onyeeKaka uwe unaelewa bhas,mpk ss Marekani imetumia $15 bn Kati ya $40 bn. Kwhyo kuna $25 bn haijatumika na jamaa wanataka kujazia.
Hapo bado kuna "Lend-Lease" haijaanza kufanya kazi.
Hao cnn na aljazera walisema RUSSIA kaishiwa na chakula kabakia na chakula ya siku tatuHiyo ipo cnn na aljazeera jiongeze ufahamu meng Russia kwisha habar yake