Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
We 'kilaza' hebu pitia habari hiyo kwenye link hii nakupatia buree, halafu unambie nime-edit wapi...Pumb2V!Lini mtaacha ku edit? No official news zinazo confirm hilo. Even uchunguz haujafanyika.
By defending American evil,wewe ni sehemu ya matatizo mengi yanayo-wakumba Wanadamu.Niseme hivi,muda utakapowadia wa ku-round up those who defend American evil against humanity,wewe utakuwa pia target.Muombe Mungu sana wanadamu waendelee kulala usingizi,wakiamka mmekwisha.Karibu Mathanzua, nilijua tu ungejitokeza ukisoma habari za kipuuzi kama hizi. Eti USAQ is the terrorist, oh my! You wouldn't recognise a terrorist if he knocked at your front door and you met him face to face...come on, grow up dude! Kwa upuuzi huu you take the prize na hata Madelu, PhD angekuonea haya!
Kwa iyo shule na viwanda vifungwe kwa ajili ya Ukraine?🤔Shule za mapishi ndio zifanye europe ifeli? Thats new
Ila alienzisha uzi huu Mungu anamuona Sana, nipitiapo comment za waungwana huwa najikuta nacheka tu, Sasa ni mda watu kwenda ubarozi wa Urus wakapigane vita hukoMnatupigia kelele za gesi tokea vita imeanza ,pumvaf gesi IPO Urusi Tu ?
Mapengo ni kwa sababu nimeandika kwa kifupi sana.Asante umejitahidi kujibu kiutu safari hii. Hata hivyo, historia yako ina mapengo makubwa.
Azimio la kupunguza jeshi la Urusi lilikubaliwa na kamati kuu ya chama cha kikomunisti tayari tarehe 13 Novemba 1985, si 1989.
Mwaka 1986 hakuna aliyewaza kwamba Jeshi Jekundu litaondoka pia Ulaya MAshariki siku moja.
Warusi walipanga hatua za mwisho vizuri zaidi kuliko Marekani.
Hata hivyo, waliamua kuondoka kwa sababu waliona hawawezi kushinda, wanapoteza askari wengi mno na vita inaleta upinzani ndani ya Urusi na koloni zake (=jamhuri za USSR).
Kwa kifupi: waliacha kwa sababu gharama za vita zilikuwa kubwa mno. Vivyo hivyo sababu ya Marekani kuondoka...
warusi wa buza watakuambia ni uzushi.[emoji298]️Ukraine shoots down 2 Russian missiles above Odesa.
Ukraine’s Southern Operational Command reported on Sept. 27 that two Russian Su-35 fighter jets fired Kh-59 air-to-surface missiles. Both missiles were shot down, according to the military.
Wacha moto uwake[emoji633][emoji2792]The head of Catalonia announced his intention to hold a new referendum on independence
Andika kiswahili. Kubadili lugha wakati ulikuwa unachamba kwa kiswahili hiyo inaitwa wendawwzimu.Asante sana GT Jesus Mlokozi, you are really a Great Thinker. With support from people like you, wannabe dictators like Putin have nothing to lose...you are such an asset dude. I can bet wewe uko bega kwa bega na wale jamaa wa kwetu.
View attachment 2370361
Au uko nao mkono kwa mkono!
Nadhani muda si mrefu utabadili jinaWewe unaamini kabisa kuwa Urusi ana vya maana?
Labda kaviacha vingine kujilinda ikitokea kavamiwa na NATO
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unaona usivyotumia hata asilimia ndogo ya ubongo uliopewa ili uwe na sifa ya ubinadamu tofauti na wanyama wa porini.By defending American evil,wewe ni sehemu ya matatizo mengi yanayo-wakumba Wanadamu.Niseme hivi,muda utakapowadia wa ku-round up those who defend American evil against humanity,wewe utakuwa pia target.Muombe Mungu sana wanadamu waendelee kulala usingizi,wakiamka mmekwisha.
Ilinibidi kufanya hivyo kwa sababu nilitambua toka mapema kabisa kuwa una shida na lugha ya Kiswahili. Hebu soma tena uliyoandika hapo juu, are you for real?Andika kiswahili. Kubadili lugha wakati ulikuwa unachamba kwa kiswahili hiyo inaitwa wendawwzimu.