Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


‼️🇷🇺The referendums are over. The outcome is clear. Welcome home to Russia! - D. Medvedev
 

Attachments

  • SmartSelect_20220928_225305_Telegram.jpg
    18.8 KB · Views: 15
Ila hizi HIMARS 18 Marekani hawatazitoa toka kwenye hifadhi Yao ya silaha Bali wametoa order kwa Lockheed Martin (manufacture) hivyo hazitawasili kipindi hiki zitachukua mwaka mmoja mpk miwili.

Halafu hivi mmegundua siku za hivi karibuni (hizi wiki mbili) Russia imepunguza karibu 90% kufanya mashambulizi Kwa kutumia cruise missiles kama Kalibr?!
Na baada ya Ukraine kuweka wazi kwamba wametengeneza Himars za mbao ili wawachanganyen warusi siku hizi hatuoni tena Urusi ikiclaim kwamba imeharibu mifumo kadhaa ya Himars!!!!
 
Moja ya athari ya vita... sasa hivi wananchi wengi wa EU wanashindwa kulipia 'LUKU' ya huku..... gov. zimeamua 'kuwasaidia' hao wananchi kwa kuwaingiza kwenye 'madeni' 🙆🏿‍♂️...... uraaaaah
 
Unacho takiwa kushangaa ni baadhi ya wana siasa wa nchi za magharibi na Ukraine wanaishutumu Urusi kuwa ndio inahusika kuya lipua hayo mabomba kwa makusudi ili kusambaratisha serikali za Ulaya kipindi cha baridi.

dah siasa ni kitu kigumu sana kukielewa.
 
Kwa mujibu wa russia state controlled media TASS,mji wa urusi ulioko mpakan na georgia umepiga marufuku magari ambayo hayajasajiliwa mjini humo kuingia, jamaa wameanza kurestrict wananchi wao wasikimbie nchi, pia kitua cha mobilization kimefunguliwa hapohapo mpkn ili kuwachukua wale wote wanaotakiwa kwenda vitani, warusi kazi wanayo
 

U.S. State Department Issues DIRE Warning: Americans should "Leave Russia Immediately"​

28 SEPTEMBER 2022
The U.S. State Department has issued what is already being described as "the most dire warning ever seen" to Americans in Russia: Leave Immediately.
Specifically, the State Department told Americans "U.S. citizens should not travel to Russia and those residing or travelling in Russia should depart Russia immediately..." Here's the exact wording:


This is the type of warning the State Department issues about countries where the U.S. is going to war.
And the State Department has good cause to think we're going to war, because in large measure, it is the State Department that is CAUSING IT!
Just yesterday, Secretary of State Antony Blinken told Ukraine "Ukraine can use western weapons against territories seized by Russia." The territories he seems to be referring to are the areas of Luhansk, Donetsk, Kherson, and Zaporozhye, which concluded Public Referendums yesterday, and voted overwhelmingly to leave Ukraine and become part of Russia.
Think about that for a moment: The people in those areas VOTED, and Blinken says the US "will not recognize . . ." that vote.
As if he has a choice . . .

We The People have a right to defend ourselves from what these phony government people are causing. And we'd better start defending ourselves fast, while we're still alive, and still have a country left to defend.
At the rate these election-thieving illegitimate government nitwits are going, America will likely be NUKED by Russia within weeks.
 
 
Wanajua walichofanya Nord Stream thus why wanajihami ila dawa yao ipo 😂😂😂 siamini kama Putin ni mjinga kiasi hicho
 
Mtt mdogo wanamlaghai na million 6 aharibu referrendum kenge sana wacha akagongwe na wa chenchen selo
 
Kama ambavyo Russia amefanya ugaidi wa kiuchumi kwa Ukraine na yeye ajiandae kwa ugaidi kwenye Uchumi wake. Sasa anaenda kukosa zaidi ya $300 BN za mafuta na Gas alizokua anauza Europe.
Tundu la 4 limepatikana NS2 wanasema ni kubwa kuliko yote maana lina ukubwa wa 200mt

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ikitokea hivyo maana yake Putin ataona kashindwa kabisa kwani ataacha yatambua maeneo yake, hivyo hatakuwa na sababi ya kuyalinda tena

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Vifaa ambavyo wanajeshi wa Urusi wanaota kuviona, kama hizo himars wanaziona kwa youtube tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana ilikuwa training facility ndo maana tokea hapo zile shaheed hazijaonekana tena hadi leo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Urusi yuko blind maana all NATO assets macho yako Urusi, China

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…