We jama una matatizo ya akili, kifaru kikukanyage mwili uzame aridhini badala ya kusagika?? Kiatu kiwe kizima hivyo??Huyu kijana wa Putin kakanyagwa na kifaru chake mwenyewe. Ajari ya kawaida kwenye majeshi yasiyo na mafunzo na umakini mzuriView attachment 2371311
Boss kuna mambo unaacha tu yapite hakuna haja ya kumfungulia mtu mlango wa kujibizana na matusi kama huna maelezo ya ushahidi halisi ya kupinga alichokisema mleta picha.We jama una matatizo ya akili, kifaru kikukanyage mwili uzame aridhini badala ya kusagiga?? Kiatu kiwe kizima hivyo??
We jamaa ni MWEHU.
Hapo unahitaji nini kusema utake maelezo zaidi? Kifaru kikukanyage ndio utitie chini with smooth surface hivyo.?? We jamaaBoss kuna mambo unaacha tu yapite hakuna haja ya kumfungulia mtu mlango wa kujibizana na matusi kama huna maelezo ya ushahidi halisi ya kupinga alichokisema mleta picha.
Bahati mbaya sana JF YA SASA FORM TWO WENGI SANA . Wasamehe tu mkuuWe jama una matatizo ya akili, kifaru kikukanyage mwili uzame aridhini badala ya kusagika?? Kiatu kiwe kizima hivyo??
We jamaa ni MWEHU.
Huu mfano hauendani kabisa na muktadha wa kivita.* mfano mwingine*
Pro russia mpo kuilaumu serikali ya Marekani sikilizeni huu mfano, mtoe mtizamo wenu, ili tujue IQ zenu Imeishia wapi.
Chukulia mfano kuna manzi umekutana nae, manzi ni kigori, and she is naive kwenye mambobya mahusiano, manzi kakuelewa sana mkaanzisha mahusiano. Tatizo moja Ex wa manzi wako ana wivu mkubwa sana, mbaya zaidi ni mkorofi. So siku moja Ex akamtekq manzi na kuanza kumshushia kipigo cha mbwa mwitu huku akichukua watoto wanne waliobaki kwa manzi ( hakuridhika na yule mmoja aliyemchukua hao nyuma ). Manzi analia kwa uchungu akikuomba msaada.
Je, Kama wewe ndio bwana wake mpya utafanyeje?
Hapo unakwepa ubishani usio na maana sana unaoweza leta kutukanana, kuna hoja nyingi humu zinahitaji challange ya kimawazo Ila unaweza endelea tu boss.Hapo unahitaji nini kusema utake maelezo zaidi? Kifaru kikikanyage ndio utitoe chini with smooth surface hivyo.?? We jamaa
Kawadanganye watoto wenzakoHuyu kijana wa Putin kakanyagwa na kifaru chake mwenyewe. Ajari ya kawaida kwenye majeshi yasiyo na mafunzo na umakini mzuriView attachment 2371311
Just imagine yeye akipiga miundombinu anaona sawa subiri naye apigwe miundombinu yake aipate hasara.Urusi alijiona ana haki ya kulipua miundombinu ya kijamii huko Ukraine,sio vibaya na yeye akaipatapata,
Dunia inaangamia kwa matakwa ya Biden . USA pekee anaweza kutuepusha na janga hili .Yeye keshakula maisha anachotamanj ni record binafsi na kukubalika kupitia huu mzozo . But he's going to destry humanity . TUPO tunaoshangilia kwakuwa tunapenda kuonekana wa kisasa au wakishua na hatuna hoja za maana .Russia atapishindwa basi ushoga utakuwa lazma.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The Russian military will take part in the CSTO exercises in the south of Kazakhstan.
Military equipment and personnel have already been transferred to the region by rail.
The CSTO maneuvers take place from September 26 to October 8.
The military of 5 countries are practicing a joint operation to localize the armed conflict in Central Asia.
Subscribe to @SputnikView attachment 2371382View attachment 2371383
Msamehe huyo...waafrika aka wabongo..akili zipo chini tu...Kila fursa iliyopo wanawaza chini....Huu mfano hauendani kabisa na muktadha wa kivita.
Maslahi ya kimapenzi ni suala la kihisia, Vita ni maslahi ya kiuchumi, Utu, Usalama na ‘Identity’ ya watu.
Usirahisishe mambo ‘complex’ kama vita kuyafanya ‘simple-by comparison’ na mambo ya mapenzi.
Kafa kifo kibaya mnoHuyu kijana wa Putin kakanyagwa na kifaru chake mwenyewe. Ajari ya kawaida kwenye majeshi yasiyo na mafunzo na umakini mzuriView attachment 2371311