Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi kumbe Himars zilibomoa training na launching stations?! Sikujua hili
Yes kumbuka palikuwa na mfululizo wa Iranian drones all over, baadae sijui kosa gani likafanyika...

Ikatangazwa kuwa training facility ikiwa na Wairan 20 kama trainers, warusi kama trainee na silaha zote ziliteketezwa kwa Himars strike...


Baadae Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ikasema kuwa kila kombora la Himars halijawahi potea njia, likiruka laenda tua sehemu kwa usahihi...

Maana siku hiyo walituma kombora kama 18 hivi
 
Habari kama hizi ndipo ngachokaa kabisaa, kuna watu wamevurugwa. Tukianza na VP mda si mrefu tu alikuwa akifanya mazoezi na china baharini huko wanakadiria warussi 15,000 walienda, na wakati huohuo magenerali huko Ukraine walikuwa wanalilia manpower lakini, vilio vyao vilipuuzwa! Unaweza shangaa why, mbona ni hesabu rahisi badala ya kwenda kwenye mazoezi waende vitani? Ukiwa unashangaa hivyo jua tuu Warrusi wengi ni wamefanywa mazuzu na serikali yao kwa kuwalisha propaganda Kali sana, kiasi kwamba hawaamini kuwa wanapigwa huko Ukraine, hivyo gao kwenda kwenye mazoezi kupiga picha ni kuendelea kuwazuga raia wa Russia
 
We jama una matatizo ya akili, kifaru kikukanyage mwili uzame aridhini badala ya kusagika?? Kiatu kiwe kizima hivyo??

We jamaa ni MWEHU.
Ukiwa na mtindo wa ubongo huwezi elewa kwamba soli ya kiatu inaweza kuwa na mchanganyiko wa rubber material ambayo ni flexible. Au wewe ndio wale mnavaa viatu vina soli ya mbao?

Ukitazama hiyo barabara, vipande vya nyama vinaonekana kwenye trails. Ila hii na kwa mwenye critical thinking tu, tia maji tia maji hawezi ona.

Na aliyekwambia kifaru kinasaga ni nani? Kifaru kimetengenezwa kisiwe kina-suck in foreign materials. Kinatakiwa kipite na kukanyaga vitu, sio kuvibeba na kuviingiza kwenye gear maana vitaiharibu. Hiyo sio mashine ya kusaga. Being run over by a tank ni kitu kinajulikana kabisa maana dereva ndani ana uoni mdogo hasa kwa vitu vya karibu. Endelea kujifunza
 
Maamuzi ya Nyumbu Estonia

[emoji1097]Estonia's defense budget will exceed 1 billion euros for the first time next year.

This was reported in the press service of the Cabinet of Ministers in Tallinn.

In total, the country is going to spend 2.5 billion euros on military needs in the next 3 years. Estonia is expected to have a medium-range air defense system.

The money will also go to anti-tank weapons, coastal defense and NATO infrastructure.

Subscribe to @Sputnik
 
Wazungu ni vichwa ngumu nyie...yani wako tayari kuumia Ila wasimamie wanachokiamini tu....mavikwazo yameshawaumiza wee lakini bado wanazidi kuongeza mengine dah..mzungu ni mzungu tu

Mangi unauelewa huu mgogoro vizuri kabisaa au unazungumzia matokeo ya sasa ya kususa.

Kwa kifupi ni block mbili zinamenyana socialism vs capitalism, watu wanapigania superiority,watu wanonyesha wamefikia wapi kwenye ulingo wa kijeshi( technology, intelligence),wanapanua himaya zao( influence, biashara),nchi washirika wanaajipatia(ajira,fedha za kigheni) ie North Korea.
 
Habari kama hizi ndipo ngachokaa kabisaa, kuna watu wamevurugwa. Tukianza na VP mda si mrefu tu alikuwa akifanya mazoezi na china baharini huko wanakadiria warussi 15,000 walienda, na wakati huohuo magenerali huko Ukraine walikuwa wanalilia manpower lakini, vilio vyao vilipuuzwa! Unaweza shangaa why, mbona ni hesabu rahisi badala ya kwenda kwenye mazoezi waende vitani? Ukiwa unashangaa hivyo jua tuu Warrusi wengi ni wamefanywa mazuzu na serikali yao kwa kuwalisha propaganda Kali sana, kiasi kwamba hawaamini kuwa wanapigwa huko Ukraine, hivyo hao kwenda kwenye mazoezi kupiga picha ni kuendelea kuwazuga raia wa Russia
 
Umedadavua vyema sana [emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji635][emoji631]The sabotage on the "Northern Streams" occurred in the control zone of US intelligence.

This was stated in the Russian Foreign Ministry.

Subscribe to @Sputnik
Gas ilikua ni political strategic card ya Putin na sasa hiyo strategic card haipo tena imeharibiwa,alikua anasubiri winter ili awablack mail Europe vizuri waondoshe vikwazo ili wapate Gas. Na hili tuliona likija, ukiangalia Germany ilikua na inasuasua kupeleka baadhi ya silaha nzito Ukraine nadhani hii ni ili kutomkasirisha zaidi Putin kwamba baadae wangerudi kwenye mazungumzo wapate Gas na wao waondoshe vikwazo, win-win. Sasa Putin kawahiwa hana card nyingine tena zaidi ya Gas,Labda kutishia nyuklia.

Wachambuzi wanasema kuna uwezekano hayo mabomba yasifanye kazi tena sababu uharibifu uliotokea ni mkubwa na maji ya Bahari yanazidi kuharibu sehemu nzima zilizobaki.
 
Hivi Hawa si ndio majuzi hapo wameambiwa wajifunze namna ya kunya Kwny mifuko?
 
Aliyekwambia huko Russia hawapigwi pipe Nani?!

Aliyekwambia Russia Ushoga ni kosa nani?!

Embu msikilize Putin hapa
 
Duh ni balaaaaa
 
Jiji la liman limekuwa kaburi la wanajesh wa ukraine kila wanapojaribu kuingia wanapewa kichapo kikali maiti za wanajesh wa ukraine zimetapaka kila sehemu
Hahahaha umerudi tena [emoji23], juzi hapa ulisema 50% ya mji wa Kupiansk umechukuliwa tena na warusi wakati ni Uongo mtupu mji wote upo chini ya Ukraine. Leo unakuja na story za Lyman,Kwa taarifa yako wanajeshi wa Ukraine wapo chini ya 20km kuufikia huo mji na wanawazunguka wanajeshi wa Urusi Pande zote kwahiyo kazi itabaki kwa warusi kama watakubali kuzungukwa wapambane na waUkraine au wakimbie wauchie mji.

Tegemea huo mji kufall ndani ya siku chache zijazo.
 
Watoke wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…