kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huko Lyman super pawer wa mchongo kashazungukwa,asiposalimu hamri askari wake wataendelea kuuwawa kama kumbikumbi [emoji16][emoji16]Tazama maiti za Referendums huko Layman ni hatari usipo surrender tunakukaanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishai screen shot hii [emoji23][emoji16][emoji23][emoji298]οΈ Retired US general: Ukrainian army could enter Crimea by mid-2023.
Retired Lieutenant General Ben Hodges: "I hope that by the end of (2022), Ukrainian forces will push Russian forces to the positions of Feb. 23, and that by the middle of next year, (they) will be in Crimea."
Tuachane na ladha hizo ni secondary sensory, primary kila person want to be respectedππππ.
Siuoni ubaya kwa mfano sizipendi wala situmii pilipili ila wahindi kwao n kama pipi.
Hatufanani hisia hata siku moja,we ukiona kibaya kwa mwenzio kizuri,ukiona kitamu kwa mwenzio kichungu,ukiona chakutekenya kwa mwenzio n kero.
Kama unategemea ama ulidhania dola itaanguka kwa hii miezi sita ya SMO pole sana MKUUUSD bado tunayo sana. Zile kelele za mwanzo zilikuwa za amateurs wa mambo ya dunia humu. Nakumbuka tulivyokuwa tunatishiwa mara Saudi Arabia inanunua kwa Yuan, mara Russia kaanzisha mbadala wa SWIFT, dola itapotea. Leo tuko hapa bado dalili hamna, hakuna cha BRICS wala SWIFTView attachment 2370952
Hapo utakeshaMkuu una ujuaji mwingi sana kumbe una uelewa mdogo kuhusu haya mambo.
Cha kwanza baadhi ya viongozi wa ulaya na hata Ukraine yenyewe Wana shuku Urusi ndio imehusika kuyalipua mabomba kwa makusudi ili bei ya gesi iendelee kuwa bei juu zaidi ila Urusi inakanusha .
Pili unacho takiwa kujua ni kuwa Urusi ilikuwa imesha zuia zaidi ya asilimia 90 ya gesi iliyo kuwa ina tiririka kwenda Ulaya kupitia hayo mabomba yaliyo lipuka kwa hiyo hakuna jipya.
Kulipuka kwa mabomba hayo Urusi hana hasara yeyote, kwa sababu kuharibika kwa hayo mabomba kuta sababisha kupanda zaidi kwa bei ya gesi barani ulaya jambo ambalo ni faida kwa Urusi maana mpaka sasa bado Urusi inauza gesi nyingi tu Ulaya kupitia mabomba yanayo pita ndani ya Ukraine.
Kila Mtu anamtupia lawama mwenzake,EU anamtuhumu Russia na Russia anaituhumu USA.@Pietro jamaa zetu wanalia lia nini wakati atakaeumia zaidi ni RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umewaletea pro Russia kichaka Cha kujibanza Ili waitupie mawe marekani..,watakuja mbio kwenye hii coment mithili ya kuku wengi waliorushiwa punje za mtama [emoji16][emoji16]
Pole yakeUkraineβs SBU security service has detained a Russian agent in Odesa Oblast who spied on Ukrainian military locations and movements in the south of the region.
Ni kweli penyewemiji yote liokombolewa wakati wa counteroffensive leo hii ingekuwa imepigishwa kura ya mazingaombwe, pongezi kwa wadau walioisaidia silaha ukraine kuendelea kulinda ardhi yake,
EU na US ziache kulia lia maana wao si wanampango wakuachana na GAS za RUSSIA ili kumkomoaKila Mtu anamtupia lawama mwenzake,EU anamtuhumu Russia na Russia anaituhumu USA.
Hata kipindi cha Iddi Amini ilikuwa hivyo. Kijijini kwetu walienda, lkn michango hadi ya kuku tulipekeka sema ulikuwa mdogo au haukuwepo. Vita ni vita muraaKwa mujibu wa russia state controlled media TASS,mji wa urusi ulioko mpakan na georgia umepiga marufuku magari ambayo hayajasajiliwa mjini humo kuingia, jamaa wameanza kurestrict wananchi wao wasikimbie nchi, pia kitua cha mobilization kimefunguliwa hapohapo mpkn ili kuwachukua wale wote wanaotakiwa kwenda vitani, warusi kazi wanayo