Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vizuri

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Puuza hizo taarifa UKRAINE wakikaza shingo watu wataendelea kuzidi kujimegea ardhi yao nakuhakikishia

Nahakuna msaada watakaoupata toka nje zaidi ya vikwazo na silaha zisizoweza kuregesha hayo maeneo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli penyewe

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
hio counter ndio ilifanya referendum iharakishwe. who knows maybe russia played it that way by not defending too much kuuza uoga .NB:my opinion .luhansky ilikuwa so relaxed donesky vile vile but when push came to shove they all rallied behind referendum
 
Ni kweli penyewe

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
hio counter ndio ilifanya referendum iharakishwe. who knows maybe russia played it that way by not defending too much kuuza uoga .NB:my opinion .luhansky ilikuwa so relaxed donesky vile vile but when push came to shove they all rallied behind referendum
 
Wazungu ni vichwa ngumu nyie...yani wako tayari kuumia Ila wasimamie wanachokiamini tu....mavikwazo yameshawaumiza wee lakini bado wanazidi kuongeza mengine dah..mzungu ni mzungu tu
Watoa maamuzi hawaumii wanaoumia hawataki vikwazo
Maandamano miji yote ya ulaya ipo kupinga vikwazo
Ila muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano huo Ukraine ni mke wa Mtu. Na kwa mfano huo mme alizalisha watoto.
Swali Amepewa Talaka?
Na kwa mfano huo NATO na yule manzi inabidi wachapike tu. Halafu utagombeaje mke mwenye watoto wa mwingine.

Asante kwa mfano wako . Ila wenzako hawataukubali
 
Your browser is not able to display this video.

Mobilised citizens depart from Sverdlovsk region to training units

◽️ The departure ceremony was held at the parade ground of a military base of the Central Military District.

📑 Servicemen are to be distributed to units considering their professional title for attending interoperability training, replenishing their knowledge and restoring all the necessary skills.

#StrongerTogether
@mod_russia_en
 
Naona umewaletea pro Russia kichaka Cha kujibanza Ili waitupie mawe marekani..,watakuja mbio kwenye hii coment mithili ya kuku wengi waliorushiwa punje za mtama [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ilo sio la uongo ila ni kweli Stock ya siraha EU na US imepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…