TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Thanks for sharing!
Guterres, with his statement on referendums, violated the article of the UN Charter on the impartiality of actions and ignored the principle of equal rights and self-determination of peoples, the Permanent Mission of Russia said. Diplomats called the words of Guterres the sole interpretation of the charter and said that administrative functions do not give the UN Secretary General the right to make political statements on behalf of the entire organization. They noted that on the issue of Ukraine, Guterres demonstrates the same selective approach as the countries of the West, and puts himself on a par with them.
Nirudie tu kusema mmesoma Mambo mengi sana kwa kukariri, bila kuyaelewa mkuu,Gift kwa jinsi unavyotetea hoja zako..ni kama hujui kabisa ulimwengu huu unavokwenda, unatumia hisia zaidi....na ndo maana wadau kibao wamekushauri kidogo uende ukasomesoke kidogo mambo ya Geopolitics, utawala n.k..
Duniani kote ni kama watu tunaviziana tu..hivi unajua mfano why nchi zina majeshi ya kulinda mipaka??Hao Kenya unaowatolea mfano..hivi kwenye mipaka yetu unafikiri hakuna majeshi ns ulinzi..na unafikiri ni kwa nini??Kama ni hivo unavofikiri kwamba dunia ni amani na tawala zimeridhika si tungevunjulia mbali majeshi yetu yote ulimwenguni sababu kila mtu ana mpaka wake....??
USA unajua anakambi ngapi za jeshi nje ya nyumbani kwake, na unajua ni kwa nini??
Unajua kwa nini viwanda vya silaha duniani kote vinaendelea kutengeneza silaha tena za maangamizi, ndege vita, vifaru, kemikali za sumu??
Unajua kwamba hata mipaka hii unayoisema wewe tuliyonayo (Afrika mfano)...haikuwepo miaka 100 iliyopita???.Na tunauhakika gani kama itakuwepo miaka 200 ijayo???
Unajua hata kwa nini UN ilianzishwa na kwa nini ipo??
Unajua kwa nini kila nchi inavyombo vya ujasusi kwa ajili ya kulinda maslahi yake kwanza na si ya nchi nyingine??
Unajua hata why USA ilipigana VIETNAM, IRAQ, LIBYA, YUGOSLAVIA, SOMALIA, AFGHANISTAN??
Unajua why hata USA iliwapiga na NUCLEAR JAPAN??
Unajua hata kulikua na skendo ya USA kuwapeleleza viongozi wakubwa duniani akiwamo Angela Markel...(2018)..???
In short huo UTAKATIFU NA USTAARABU UNAOTAKA KUUONYESHA WEWE HAUPO...NA HAUTAKUWEPO....
NI KILA MTU KUWA NA UWEZO WA KULINDA MASLAHI YAKE NA KUFANYA WENZAKE WAMUHESHIMU NA KUMKUBALI....KILA MTU ANAHAKI YA KUJILINDA HATA KAMA NI KWA EXPENSE YA WENGINE...
Kama USA anavyopambana kuweka maslahi yake sawa, ndivyo, TURKEY anapambana, ndivyo CHINA anapambana, Ndivyo Russia anapambana n.k...Na kwa sasa mpambano Uko Ukraine pale..ngoja tusubiri mshindi
Natamani sana kukufundisha ngoja nianze na hiki kipande. Kisome vizuri na kisha uje. Kwani Russia iliingia kwenye Permanent UN security Council na siyo Ukraine wala Belarus!?Conspiracy theories hizo,
Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Records na Rights zote za USSR Ziliwekwa chini ya Russia Federation.Conspiracy theories hizo,
Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Nakupatia document:-Conspiracy theories hizo,
Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Na walivyo hawana technical details ya matumizi ya bunduki na vifaaa vya kijeshi watakufa sana.[emoji298][emoji298][emoji298]Ministry of Defense: Called as part of the mobilization, after coordination, they will begin to carry out tasks of control and defense of the liberated territories[emoji298][emoji298][emoji298]
Wewe mzee hebu leta njia zako za kisasa!? Hicho unachokiwaza ni mtoto wa chekechea ndio atawaza. Narudia kusema wewe bado ni mjinga. Nenda shule kasome masuala:-Nirudie tu kusema mmesoma Mambo mengi sana kwa kukariri, bila kuyaelewa mkuu,
Ndo maana maana mnalazimisha kutumia fikra za kizamani kutatua matatizo ya kisasa,
Na matokea yake mnataka kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo kama Putin
Dunia ya Sasa hivi watu wanatumia akili na teknologia zaidi kupigana Tena kimya kimya
Hizo Kodi na roho za watu wake anazoteketeza bure zinaisaidiaje uchumi wa Russia,
Angetumia hizo kuimarisha uchumi wake na kuimarisha mifumo ya ulinzi ndani ya nchi yake
Ok akiamua kutumia njia ya ubabe wa kijinga atapigana na mataifa mangapi jirani?
Nafikiri unatumia ushabiki zaidi
Akili zitawakaa sawa tu.
Mama ameupiga mwingi
Hii kitaalamu inaitwaje. Si ulisema Mir itaanza kutumiwa na mataifa ya Ulaya, leo hii unaikimbia system yako pendwaKama unategemea ama ulidhania dola itaanguka kwa hii miezi sita ya SMO pole sana MKUU
Ila nikwamba haya mataifa yanayotumia pesa zao zandani kufanyia biashara yatasababisha anguko la dola ila sio kama miaka miwili tatu au kumi
Mataifa yanaposhirikiana kuachana na dola yanapotezea dola nguvu yake na tunajua kama unajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷Kama unategemea ama ulidhania dola itaanguka kwa hii miezi sita ya SMO pole sana MKUU
Ila nikwamba haya mataifa yanayotumia pesa zao zandani kufanyia biashara yatasababisha anguko la dola ila sio kama miaka miwili tatu au kumi
Mataifa yanaposhirikiana kuachana na dola yanapotezea dola nguvu yake na tunajua kama unajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Pro Russia wanaamini sana katika matumizi ya nguvu kuliko akiliNirudie tu kusema mmesoma Mambo mengi sana kwa kukariri, bila kuyaelewa mkuu,
Ndo maana maana mnalazimisha kutumia fikra za kizamani kutatua matatizo ya kisasa,
Na matokea yake mnataka kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo kama Putin
Dunia ya Sasa hivi watu wanatumia akili na teknologia zaidi kupigana Tena kimya kimya
Hizo Kodi na roho za watu wake anazoteketeza bure zinaisaidiaje uchumi wa Russia,
Angetumia hizo kuimarisha uchumi wake na kuimarisha mifumo ya ulinzi ndani ya nchi yake
Ok akiamua kutumia njia ya ubabe wa kijinga atapigana na mataifa mangapi jirani?
Nafikiri unatumia ushabiki zaidi
Huyu ni mwendawazimuHii kitaalamu inaitwaje. Si ulisema Mir itaanza kutumiwa na mataifa ya Ulaya, leo hii unaikimbia system yako pendwaView attachment 2372290
Wewe jamaa bado kabisa. Hivi vitu vyote ulivyoorodhesha havina hata mika 20 kwenye ulimwengu huu.Unaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube
Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani
Wewe ni kenge ,umeshindwa kujibu hoja unaanfika utopolo Tu hapa hiyo economy unaishika vipi bila kuwa na modern technology ,huo ushawishi geopolitics na national security unazimudu vipi bila kuwa na scientific brains + modern technologies and resources ?Wewe mzee hebu leta njia zako za kisasa!? Hicho unachokiwaza ni mtoto wa chekechea ndio atawaza. Narudia kusema wewe bado ni mjinga. Nenda shule kasome masuala:-
1. Geopolitics
2. Economics
3. National security
Issue zako za Sayansi Kimu hazifui dafu kwenye modern world. You are stupid.
Tuna uhakika gani kwamba hizo silaha ni za "Superpower," maana baba yako wewe ni Ibilisi,na kazi za Ibilisi ni Kudanganya,Kuharibu na Kuiba.Like father like son.Hizi ni silaha zinazoendelea kupokonywa kutoka mikononi mwa jeshi la super pawer wa mchongo [emoji16][emoji16][emoji848]View attachment 2372146
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pitia hapaUnaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube
Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani