Vietnam marekani alitumia agent orange mojavya biological weapon ambayo ni hatari kupita maelezo yake...mpaka leo bado watoto wengi wanazaliwa vilema kwa sababu ya madhara ya hiyo chemical
Waambie ambao lugha haipandiEx Chancellor of Germany Angela Merkel said that it is necessary to work "on a common European security architecture with the participation of Russia,”
Merkel also said that Putin’s words have to be taken seriously.
t.me/asbmil
We jamaa akili yako nilivyo iacha na nilivyo ikuta haijakomaa japo hata kwa 1%!
Hujui kama gesi ni hitaji la lazima kwa bara la ulaya nakwasasa hawana alternative zaidi ya kutegemea gesi kutoka Urusi?
Unadhani kati ya Urus na westerners ni yupi ataathilika zaidi na hiyo shida ya mabomba kuelekea msimu wa baridi?
Hivi ulishawahi kufika hata ulaya kweli ili kuona hali halisi inavyokuwa msimu wa baridi au unaongea ongea tu kwa kuchukulia hali ya hewa ya hapo kwenu namtumbo kuwa sawa na ya ulaya?
Najua huna elimu yeyote kuhusu uchumi, ila sidhani kama huelewi kinachotokea baada ya demand kuwa kubwa huku supply ikishuka. Kabla sijakuelezea kipi Russia itafanya na yupi atakae athilika na hiyo shida ya mabomba ngoja nikupige msasa kidogo kwenye mambo ya Uchumi.
LET WE START WITH PRINCIPLE OF SCARCITY
●According to the scarcity principle, the price of a good, which has low supply and high demand, rises to meet the expected demand.
Tumia hiyo akili yako ndogo kung'amua nani ataathilika na huo uhaba wa gesi kati ya Russia mwenye bidhaa (good) dhidi ya westerners wenye uhitaji (demand).
SECONDLY, LET WE REVIEW ON THE LAW OF DEMAND AND SUPPLY.
●When there is high demand but low supply a shortage occurs when demand exceeds supply – in other words. However, shortages tend to drive up the price, because consumers compete to purchase the product. As a result, businesses may hold back supply to stimulate demand. This enables them to RAISE THE PRICES.
Hapa pia kwa akili yako ndogo unadhani ninani atakae athilika baada ya bei kupanda kutokana na uhaba wa bidhaa huku demand ikizidi kupanda kuelekea msimu wa baridi?
Naomba nikuache na hizo Challenges ila next jipe muda wa kutafakari kwanza kabla ya kukurupuka kuleta vihoja visivyo kuwa na mashiko kwenye jamii ya wasomi.
YANGU NI HAYO TU.
UTAFITI WANGU WA JUU JUU DHIDI YA PRO-NATO
Naona PRO-NATO Wengi akili zenu bado ni miyeyusho nimeona kuna Pro-NATO wapya wameibuka ila wengi wao nao Chenga tu, shida nini ndugu zangu au ndo mnathibitisha ile kauli ya waswahili ya kuwa "Ikiwa inacheza labda Yanga/Simba sc dhidi ya Ihefu halafu ukawa unaishibikia Ihefu kubishana fact za kisoka na shabiki wa yanga/Simba sc tegemea tu contents zako kutokuwa na mashiko ya kisoka. Na ndo kinachotokea kwa Pro-Russia(Yanga/Simba) dhidi ya PRO-WEST&USA(Ihefu).
NOTE: LEO NDO ZINAFANYIKA SHEREHE ZA KUYAKARIBISHA MAJIMBO MAPYA MANNE YA UKRAINE NCHINI URUSI, KARIBUNI SANA PRO-WEST&USA KUSHEREKEA MAFANIKIO YA "SMO" YA SUPER POWER[emoji635] [emoji635][emoji635][emoji635] CHINI YA KICHWA KIMOJA CHENYE AKILI KUBWA KUSHINDA VICHWA ZAIDI YA 30 VYA MABWANA WA RAINBOW[emoji304] CALL HIM GEN. VLADIMIR PUTIN.
Naunga mkono hoja.Mambo yenu ya kuonesha makalio na kuliwa kiboga hatuyataki Africa.
Tukiwaambia Pro-NATO waachane na propaganda hawaelewi wengine wanatuma video za mchongo View attachment 2372244
Putin umeuvunja moyo wangu, sehemu ya 70 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sherehe hizi hazina tofaut na kujitia dole kisha unanusa ukitegemea utakutana na haruf ya pafym
Kuna hawa vijana wa NATO humu JF wanaoshabikia hovyo suala la hii vita uko ukraine...lakini kuna vichwa kama rais wa finland yule mzee.Sauli Niinisto...alishasem kwa muktaadha ulivyo pale ukraine "Russia has gone all In" na ni swahiba mkubwa sana wa putin na jinsi anavyomfahamu putin hajawahi na hatowez kurudi nyuma.
Na ndio maan nchi za west wanahimiza raia wao waoondoke urusi...sababu wanajua there is no way vile US wanaendelea kumpa kiburi cha silaha zelinsky alafu mrusi akubali kushindwa...hivyo kwa namna yoyote ile Vita Kamili lazima vipiganwe ata kama itakuwa ni all west members against putin yeye hatojali.
Ngoma bado mbichi hii...kwa proNATO wa humu JF wanaodhani putin atakubali kushindwa kirahisi kama wadhaniavyo wao...i feel Sorry for them!!!
Na kuna watu wanaamin kwamba hii vita ilikuwa haina faida kwa Russia...Nawahurumia hawajui wanalosema, MAANA WOTE TUPO TZ HAPA ILA TUNAFUATILIA TU HII SITUATION YA UKO UKRAINE KWA UKARIBU KUPITIA INTERNET, SOCIAL MEDIA, NA VYOMBO VYA HABARI(Japo vingi/vikubwa/Maarufu ni vya West hivyo hutoa takwimu ambazo si halisi katika hii vita ya uko Ukraine). LAKINI KATIKA HALI YA KAWAIDA NI NANI AMBAYE ATAKUBALI KUPELEKA MAJESHI YAKE VITANI NA RESOURCES ZAKE PIA NA KUKUBALI HADI APEWE VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA TAIFA LAKE...ILIHALI ANALOFANYA HALINA MANUFAA NAYE???....hivyo nasisitiza ni bora mtu aseme tu hajui hii vita ina maana gani kwa russia kuliko kunena asiyoyajua nyuma ya pazia.
Wapo waliosema kuwa mbon Russia ina wanajeshi 900,000 na walioenda vitani kule ukraine ni wachache(almost 150,000) tokea vita ilipoanza FEB na hivi sasa anatumia partial Mobilization ambayo pia sio active recruited army....kiukweli Vita ni mbinu, Amini NAWAAMBIA WATUMISHI HEWA WA NATO HUMU HII VITA NDO IMEANZA NA WAKATI HUOHUO BAADHI YA NATO MEMBERS WAMESHAGOMA KUTOA TENA SILAHA ZA KIVITA KWA UKRAINE KAMA SEHEMU YA MSAADA, WATCH-ON!!!
Kwa PROFILE HII ya putin ni mtu ambaye amehudumu katika masuala ga kiusalama kwa muda mrefu anzia jeshini, KGB( Kama Jasusi), Kamati kuu ya ulinzi wa nchi(Russia National Security Council) tokea enzi za SovietUnion hadi kuwa Rais wa russia katika vipindi viwili tofauti hivyo anafahamu vyema siasa za Magharibi.
View attachment 2372249
Ngoja tuone huu mtanange utafikia wapi...
Wewe jamaa bado kabisa. Hivi vitu vyote ulivyoorodhesha havina hata mika 20 kwenye ulimwengu huu.
Mzee fungua macho, vitu unavyoongelea ni vidogo mno katika ulimwengu wa future. Hapa tunaongelea Energy mzee.
Unajua energy wewe. Watu hawataki petrodollar. Na hii inaenda kutokea.
USA alifanikiwa kuiingiza dunia katika petrodollar kwa sababu yeye alikuwa producer mkubwa wa oil.
Lakini mzee sasa hivi OPEC and OPEC+ zinapata nguvu sana sana.
Marekani amekuwa akiwaua wale wanaotaka kuondoa petrodollar.
Jambo la pili.
Manufacturing industry sasa hivi imehama kutoka USA, china ndiye anayeongoza katika sector hii. USA yupo kwenye pressure kubwa mno.
Kuinuka kwa BRCS na organization kadha wa kadha kunaendelea kuidhofisha USA.
Mzee wewe unaangalia current situation, watu wenye vision wanaiona dunia kwenye miaka 10 ijayo.
Unipolar is dead.
Umemaliza kubanduliwa tako wewe shoga!?we nawe pumzika sasa.
unaongea utumbo mtupu.