4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple.....hiyo ndo pure democracy 96% wameunga mkono wewe ni nani ukatae?
Oddessa the best .
Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple.....hiyo ndo pure democracy 96% wameunga mkono wewe ni nani ukatae?
Kitakachofuatia baada ya hapo ni decision makers pale Kiev kufutwaKwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Lilisikika jangili moja toka mafichoniPutin anasaini amri ya unyakuzi akiwa kajificha kwenye andaki [emoji16][emoji16][emoji16]
Hatari sana View attachment 2372807
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
My best "Part" of Today Putin's Speech [emoji4]
[emoji188] “You cannot feed people with the money you print. It will not warm your homes” — Putin
[emoji188] “It will never be the way it used to be (for the west) the collapse of western hegemony is irreversible” - Putin
[emoji188] [emoji635][emoji298] Putin: “I want the Kyiv authorities and their real masters in the West to hear me, so that everyone remembers this: people in Donetsk, Luhansk, Zaporozhye and Kherson become our citizens. Forever and ever".
[emoji188]Putin: The West denies moral standards, religion, family. Do we really want Russia to have “parent number one, two, three” instead of “mom and dad” and that perversions that lead to degradation and extinction are imposed on children in schools, supposedly there are some genders, except for women and men? For us, this is unacceptable.
Zaidi kukazia tu V Putin anajua tupo nyuma ake, when he said "we have many like-minded people all over the world, and we see their support. A liberation movement against unipolar hegemony is developing all over the world. Today we are fighting to make dictatorship and despotism forever a thing of the past. A policy built on the exclusivity of someone and the suppression of other cultures and peoples is criminal. We must turn this shameful page. The collapse of Western hegemony that has begun is irreversible. It won't be like before.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hayo ni baadhi katika yaliyonivutia leo kwenye Speech ya Putin hasa paragraph mbili za mwisho.
We are with you... [emoji635]
Pro Russia wanajitoa ufahamu tu..,kura inafanyika kwa mtutu wa bunduki,ni kura gani hiyo.., hata hivyo naona dikiteta Putin kazidi kujipalia makaa kichwani pake,Sawa kwani Amin angefanya hivi na huku nyuma Kuna vitisho vyake ,je wafikili wanakagera wasinge ufyata, may be unaambiwa msipokubali nawafuta ,huna bunduki Wala kifaru ,hata MAFUNZO ya kuvitumia huna nani asingeufyata
Ha ha haaaa! Tunajua ambacho US wanaweza kufanya. Lakini, kwa sasa, US amelikoroga. Wananchi wa EU wameisha jua mbaya wao nani. Hii ni hatari sana kwa US kuendeleza harakati zake. Tusubiri tuone nani ni 'swala' kati ya EU, US, Ukraine ama Mag3. H ah ha haaa! (Nisamehe Mwalimu wangu kwa uwasilishaji huu wa hoja)Sishangai hata kidogo vipofu wanapoamua kuongozana, but wait a minute, remember that story of the antelope who danced herself lame before the main dance? Muda si mrefu dansi itafunguliwa rasmi watu wajimwage uwanjani kusakata rumba...masikini antelope!
WENDA ni kweli mkuu, unaambiwa hutaki nawafuteni, pembeni wamuona mama,baba,watoto utashindwaje kutii? WENDA yapo tusiyo yajua mkuu,Pro Russia wanajitoa ufahamu tu..,kura inafanyika kwa mtutu wa bunduki,ni kura gani hiyo.., hata hivyo naona dikiteta Putin kazidi kujipalia makaa kichwani pake,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kawaida .Kabla ya 1964 hapakuwa na Tanzania. Zbar walijiunga huku kwa usalama wao wakiogopa waarabu kurudi kuichukua . Sherekea tu usihofu . State formation ni ongoing process. Juzi tu hatukua na South Sudan , Eritrea nk so relax. UN ni chombo cha mabeberu ni NATO hao usijali sana . Kuna mipango ya kuwaachia NATO UN yaoKenya ije Tz, Ichukue Arusha, Manyara, Klm na Tanga iseme ni mali ya Kenya halafu raia wa hiyo mikoa washangilie na kufurahia. Ukraine itulie, iendelee na mpango wa kujiunga NATO, raia wa hayo maeneo si wazalendo kwa Ukraine bali kwa Urusi, kuyapigania hayo maeneo yawe yake ni kutolitendea haki jeshi la Ukraine.
Link ya Hilo group boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2372781