Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kumbuka toka operation imeanza hakuna kiongozi yoyote wa Ukraine wa ngazi ya juu alieguswa, sio kwamba Urusi ameshindwa ama haijui wako wapi...
 
Endeleeni kushangilia referendum tunawachapa kama kawaida
 

Attachments

  • Screenshot_20220930-172844_Instagram.jpg
    40.6 KB · Views: 23
Endeleeni kushangilia referendum tunawachapa kama kawaidaView attachment 2372842
Walifikiri referendum itazima Moto wa zelensiky, kumbe ndo kwanza wanachochea moto

Kuanzia kesho itakuwa aibu sana kwa super pawer wa mchongo.., maana hayo maeneo anayoyashikilia yataendelea kupelekewa moto tu na hakuna kipya kitatokea [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Amechelewa sana. 2014 ukraine ilikuwa imelala , jeshi lilikuwa weak vibaya, mpaka crimea ikaenda. Sasa wameamshwa wenyewe.
Itakuwa rais baada ya vita hii ukraine wakajisahau tena wakalala

Lakin kama wataendelea kuimarisha jeahi lao sahau.
Kwahiyo sasa hivi limeamka na mikoa 4 imeenda!?Akili za [emoji2380] bwana...
 
NGUVU ZENU HAZITOSHI KUITISHIA RUSSIA.

Raisi wa russia Vladimir Putin ametema cheche dhidi ya jumuia ya NATO kwa kuiambia kuwa nguvu zao za kijeshi ya jumuia hiyo bado haijitoshelezi kuitishia russia. Raisi huyo aliendelea kusema kwamba, russia itapeleka wanajeshi elfu themanini na tano(85,000) kwenye mstari wa mbele vitani kukabiliana na vikosi vya Ukraine.

Putin amesema pia kuwa jumuia hiyo ya nato imeona kuwa vita ndio suluisho la migogoro duniani badala ya mazungumzo. Pia Putin ameionya Ukraine kuacha kushambulia maeneo yaliyopo ndani ya russia yakiwemo majimbo manne yaliyojiunga na russia.

Credi: Kilimanjaro news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…