kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Subiri mabunge yote ya Russia yaridhie tukio la leo ndipo utakapo leta hoja yako hii.Yetu macho..,Mimi ninachojiiza ni kwamba; pro Russia wataficha wapi sura zao kuanzia kesho.., maana ni wazi hayo maeneo anayoyashikilia yataendelea kupelekewa moto tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wamuue Zelensky wamalize Vita kama ni rahisi.Kumbuka toka operation imeanza hakuna kiongozi yoyote wa Ukraine wa ngazi ya juu alieguswa, sio kwamba Urusi ameshindwa ama haijui wako wapi...
Yaani wotee hawa wanataka waonekane
Kwahyo wakubali ushoga?Warusi walipelekwa dini na Wayunani(wagiriki) wa Byzantium, ni kituko kujifanya wao ni washika dini au wanaijua ziadi kuliko waliowapelekea hiyo dini.
Na wewe unavutwa sana na topic ya ushoga? Basi ufurahie Urusi ilifuta sheria ya kukataza ushoga mwaka 1996 hivi. Hama tu.Kwahyo wakubali ushoga?
Kuliwa kiboga ni ruksa
1.Africa Kusini
2.Msumbiji
3.Botswana
4.Angola
5.Lesotho
6.Congo DR.
Ukifika huko hata wewe unaweza kuliwa kiboga
Unatia huruma sana unatuma tuma vipicha hivyo kila siku umeshaiwa hoja shusha Sketi tu upate chanzoPro Russia wanavyoshangilia referendum utafikiri hawatashambuliwa Tena .., kichapo kipo palepale View attachment 2372833
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Duuuh,hata hujaelewa alichokisema!Propaganda au conspiracy ya US ku print pesa kulisha watu wake ni ya kitoto sana ya akili ndogo, inasikitisha Putin kujidanganya na kwadanganya wafuasi wake kwa namna hii. Unaweza kutajiwa zaid ya bidhaa 1000 na huduma mbalimbali na nyingine muhimu sana zinazotoka US kwenda duniani kote ila ni nadra sana kupata bidhaa au huduma muhimu zaidi ya mafuta inayotoka Urusi kwenda duniani kote. Kama US imekuwa superpower kwa ku printi tu pesa basi Putin naye ajaribu kufanya hivyo.
Duuuuh,umejitahidi sana kuchagua kujitoa ufahamu!Kweli mmefikia huku,kweli mmeishiwa!!!Jamaa analiwa kiboga hadharani alafu mazombi wake wanashinda humu jukwaani wakilaani ushoga,View attachment 2372961
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa anahangaika sana!Unatia huruma sana unatuma tuma vipicha hivyo kila siku umeshaiwa hoja shusha Sketi tu upate chanzo
NGUVU ZENU HAZITOSHI KUITISHIA RUSSIA.
Raisi wa russia Vladimir Putin ametema cheche dhidi ya jumuia ya NATO kwa kuiambia kuwa nguvu zao za kijeshi ya jumuia hiyo bado haijitoshelezi kuitishia russia. Raisi huyo aliendelea kusema kwamba, russia itapeleka wanajeshi elfu themanini na tano(85,000) kwenye mstari wa mbele vitani kukabiliana na vikosi vya Ukraine.
Putin amesema pia kuwa jumuia hiyo ya nato imeona kuwa vita ndio suluisho la migogoro duniani badala ya mazungumzo. Pia Putin ameionya Ukraine kuacha kushambulia maeneo yaliyopo ndani ya russia yakiwemo majimbo manne yaliyojiunga na russia.
Credi: Kilimanjaro news
Tulisema humu huyu jamaa ni kichwa hasa watu wakawa wanabisha.Kwa speech ya Leo Ya mzee Wetu Putin huyu mwamba ni genius west wanakazi sana ya kupambana na hiki kichwa.
PUTIN ni Rais wa Millenium huyu mwamba ni fire [emoji91] [emoji91][emoji91]
Nina hela ya kutosha kutohitaji kwenda mgambo au jkt.....
Kwa mantiki ya medani ya vita, hii bunduki ilitakiwa ipewe ulinzi mkali kwenye jumba la museum ...