Inaonekana una kichwa kigumu kuelewa. Maendleo ya nchi Cha kwanza ni akili za watu. Usijitoe ufahamu. Japan 75% ya nchi yake kigeografia ni milima. Lakil inaizidi Russia yenye kila hizo resources. Unazozisema. Mfano sis hapa Tanzania tuna kila resources za kila namna. Lakin umaskini umetapakaa kila sehemu kama nyumbu wa Serengeti.
Lyman is liberated!View attachment 2373981Russian forces retreat from strategic Donetsk city a day after Moscow's annexation of the region | CNN
Russian forces retreated from Lyman, a strategic city for its operations in the east, the Russian defense ministry said Saturday, just a day after Moscow's annexation of the region that's been declared illegal by the West.edition.cnn.com
Enyi Pro NATO naona mnajitekenya na kucheka,Lyman is liberated!
Leo nitalala usingizi mnono sana kwa huu ushindi muhimu wa Ukraine kuteka mji muhimu wa kimkamkati,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Of course nitakutukana na kutamani usinge zaliwa na wazee wako kisa kuwatetea hawa ๐Mkuu kwani hua una shida gani? Hivi unajaribu kutwambia nini unapogombana na kiongozi anae pinga mapenzi ya jinsia moja?
Enyi Pro NATO naona mnajitekenya na kucheka,
Nawakumbusha tu "Russia hivi sasa anamiliki 15% ya eneo la Ukraine"
Naona hii asilImi 15 hamuielewi,Kwa ufupi tu ni kwamba Russia anamiliki eneo la Ukraine sawa na ukubwa wa nchi ya Ureno(Portugal).
Unasema mfilisiti namaanisha nini ndio ni Portugal nchi ya cristiano Ronaldo [emoji3][emoji3]
Mkuu kiukweli hata Mimi na elimu yangu ya ngumbaru nashindwa kuwaelewa west, lakini kama uliisikiliza hotuba ya Putin Jana aligusia kidogo kuwa viongozi wa ulaya jamaa kawafungia tracking device kuanzia kazini hadi nyumbani kwao yaani wakiwa wanakata Gogo wanasikiliza unaongea nini au unafanya nini,Ujue nini bro, kuna nyakati unakaa chini unawaza hivi ni kweli Collective west ni mazuzu kiasi hiki? Ile "think tank" iliyopo nyuma ya viongozi wao kweli wamekaa wameona best options za kufanya ni haya wanayo yatekeleza hivi leo? Ni kweli hizo ndio products za vyuo bora duniani kama wanavyo tuaminisha? Unabaki na wasi wasi mtupu.
Sasa kuna mzee mmoja hivi ni baadhi ya lulu ambazo hazipewi nafasi wala airtime kwa majority. Ukiwasikiliza nini wanazungumza kuna baadhi ya mambo labda huenda unaweza kukubaliana na mimi.
Chukulia mfano clip below,
View attachment 2373563
Huyo mzee anaitwa John J. Mearsheimer, ni Distinguished Service Professor of Political Science hapo University of Chicago. CV yake tu unajua unazungumza na nani! Nimege moja tu kwenye title yake "Distinguished Professor"
Hawa Distinguished Professors ni wale traditionally researchers who can demonstrate outstanding research outputs, Distinguished Professor ni academic title given to some top tenured professors in a university, school, or department n.k so hapo you know the Man habahatishi juu ya kile anachokizungumza.
Kaanza kufundisha politics years ago hata mie binafsi nahisi sijazaliwa, toka 1982. His Bio iko hapa It's almost 40yrs to date. You can figure out how many regimes zimepita machoni mwake all over the worlds.
Someone like him anapokwambia US na West wanaiangamiza Ukraine ujue anaona mbali kwa kulinganisha kule tulikotoka. Ila hapa team flani wamekazana tu "dikteta" "fashist" "andunje" en so so so so sooo.
In that video kuna maneno kama haya utamskia anayasema, kwamba "The West is leading Ukraine down the primrose path and the end result is that Ukraine is going to get wrecked [โฆ] What we're doing is in fact encouraging that outcome." Akikazana kuwataka west wa'maintain neutrality ya Ukraine. Hayo akiyazungumza back in 2015 na ndio hiki tunakishuhudia leo.
It's my honor to have the same views like him, Hizi chaos zote zinazotengenezwa na collective west ni kutoka kwa hawa ma'clowns na Masters wao nyuma ya Pazia.
Na hata ile "think tank" behind hizi Clowns ๐คก ipo mlengwa wa maslahi ya wale walio nyuma ya pazia sio kwa ajili ya Raia na ulimwengu kwa ujumla.
Vitu kama ile terrorist act on NS-1, unaiona wazi kabisa inafanywa not for the good of the most people (Raia wa kawaida) bali for the few, very few who are benefitting most nazo zikiwa ni Corporation zinazofanya biashara kushibisha demand iliyotengenezwa through their own arranged crisis.
Of course nitakutukana na kutamani usinge zaliwa na wazee wako kisa kuwatetea hawa [emoji116]
View attachment 2374006
Huko ndiko ngozi nyeusi ilipofikishwa!
Umenifanya nicheke sana ๐Hivi japani inayoizidi Russia uchumi Ina hiyo energy unayoisema. Kwan matajiri wa Dunia kama Elon na Jeffo Wana hizo energy unazozisema.. maendleo ya Sasa ni akili sio resources ulizo nazo
Referendum ni kiinimacho tu,Wala haibadilishi chochote,Crimea leo imepigwa kitu kizito (Himars) yale mavifaru wameleta juzi na makombora yamelipuliwa yote na Crimea ni referendum sasa mbona bado zinapigwa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kupata vichekesho kama hivyo tubofwe ngapi ngapi?Sasa rasmi Pentagon imelink na UKRAINE
so had kufikia december kuishambulia ukraine ni sawa na kuishambulia Florida
Sio somo rahisi kwa watu wengi wenye akili ndogo, na nchi yetu hii ina watu wengi wa aina yake wenye fikra hizo kama zake mgando za kale ndio sababu ya kuendelea kudumaa kwa maendeleo.
Sasa unaondokaje wakati umezingirwa mkuu?? Au ww kuzingirwa unaelewa nini.Urusi yenyewe imekiri kuwa wameondoka Lyman baada ya kuzingirwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hizi drone za Iran zimebadilisha upepo sanausiku wa kuamkia leo drone za iran zimeipasua mifumo ya ulinzi wa anga wa nasmas pale maikolaiv
Tatizo hili linakuja ๐๐๐๐๐๐จ๐ณ๐บ๐ธExclusive:
The People's Bank of China (Central Bank, Central Bank) told the country's state banks to get ready to sell dollars and buy yuan to support the rate of national currency. This is reported by Reuters
NonsenseNiliingia humu nikidhani watetezi wa dikteta Putin ni watu wanaofuatilia matukio kwa mapana yake, kumbe hawana hata tofauti na hawa vibozo wa kwetu ambao huvua bongo zao na kuziacha kabatini watu wanapokuwa kwenye mijadala mizito.
Kuna kitu kinaitwa kukurupuka na uzuri wa Marekani, taifa la wahamiaji, ni kwamba hawakurupuki hovyo hata pale papara zinapozidi. Watatoa onyo halafu watakaa kimya kama vile hawapo lakini ikifika siku ya siku hutajua umepigwa na nini kutoka wapi.
Juzi tu nimeaga ili mpate nafasi ya kutafakari kitu gani kilifuatia after the antelope danced herself lame before the main dance! Kwa mbali namkumbuka Sadam wa Iraq akibweka utadhani dunia nzima ingeungua moto kama wa kuthubutu angetokea!
Kama kawaida historia haina aibu; itajirudia na safari hii Sadam hayupo tena lakini yupo pacha wake, Vladimir Putin. Huko USA rafiki yake Putin, Donald Trump ana chezeshwa huku mizizi yote ikikatwa taratibu na mwisho wa siku ni anguko la kishindo, puuu!
Lakini Trump ni wa kwao, wanaweza kumsetiri kwa namna wanayoijua lakini huyu limbukeni ha ha haaa! Tusubiri yale yale yalompata Sadam Hussein aliyeapa kuligeuza jangwa la Iraq kuwa bahari la moto kuwateketeza hao big brother wa dunia!
Eti Russia ilimpiga Hitler single handed! Kasomeni tena historia.
Anadhibitisha ugumu wa kiswahili!Sasa unaondokaje wakati umezingirwa mkuu?? Au ww kuzingirwa unaelewa nini.
[emoji23][emoji16][emoji23]Urusi yenyewe imekiri kuwa wameondoka Lyman baada ya kuzingirwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Crimea leo imepigwa kitu kizito (Himars) yale mavifaru wameleta juzi na makombora yamelipuliwa yote na Crimea ni referendum sasa mbona bado zinapigwa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]