Hawa wajinga wasio na akili wanafikiri wanajibizana na vijana wadogo wasio na uelewa wa vitu vitatu muhimu...yaliyopita, yanayoendelea na yajayo.Wakati hilo kombora liko njiani zile Vanguard submarines za UK zenye Makombora mazito ya nuclear Trident ICBM zitakua zinavurumisha Makombora kwenda Moscow,baada ya muda mfupi Moscow nayo inakua kifusi.
Msidhani watu wamekaa kimya kwamba hawana hizo silaha.
Hii dunia ina watu wajinga wajinga sana. Kwahiyo hao wanaosaidia Silaha wao silaha zao hazipungui au sio?? Kwa akili yako mtu ukimsaidia 100k wewe unakuwa hujapungukiwa na hiyo 100k??Putin anakibarua kibarua kigumu sana mbele yake, alipotoka kuna mwanga anakokwenda kuna giza nene.
Ukraine anapewa msaada wa silaha, Russia inaendelea kupunguza silaha zake ghalani.
Huko mbele NATO wataingia vitani na Russia, Nadhani kwa sasa inamlazimu Putin kutotumia silaha za kisasa kwa sababu huko mbele zitahitajika kwa wingi kupambana na NATO.
Pamoja na Russia kwa sasa kuchanganya matumizi ya silaha za kizamani na kisasa naona shida iko kwa wanajeshi wake wanamuangusha sana Putin.
Labda kama kwa sasa anatumia mgambo ili baadae atumie wanajeshi kamili kupambana na NATO.
Hayo majimbo 4 ya Ukraine ambayo Russia wamejimilikisha sioni umiliki wake ukidumu, sioni Ukraine akimaliza vita bila kuyakomboa hayo majimbo.
Na Ukraine atafanikisha kujiunga NATO, ambapo NATO watamuongezea nguvu kuyakomboa hayo majimbo na hapo ndio vita ya Russia na Nato itaanza rasmi.
Endeleeni kushinda vita mnayopigania twitter. Putin hana muda wa kupiga blaa blaa. Yeye na majeshi yake wanajibebea tu ardhi ya Ukraine. Wameshachukua zaidi ya 15% ya ardhi ya Ukraine, na punde wataongeza! Nyie endeleeni kulishana matango pori.Vijana wanakamatwa kwa wingi huku Putin achana na hii vita
Msaada ni hiari si lazima. Kwani lazima uombe kwao?Wanakunyima misaada.
Mbaya zaidi wameshapachika ktk vinchi vyetu hivi viongozi waoga, tegemezi na ombaomba. Hawana njia yakujikwamua na umasikini zaidi ya kuomba. Na wamebrain wash raia nyumbu km wewe kazi inakuwa raisi tu.
Magufuli was always right.
Kwa hiyo tatizo ni msaada? Hivi msaada ni lazima au ni hiari ya mtoaji?Ukikataa ushoga hukumu yake ni kunyimwa misaada na kutengwa na Dunia ya mahayawani wanaojiita wastaarabu.
Wewe mtoto mdogo, hayo mambo achana nayo yanakuzidi kimo! Kama unampenda Putin kanywe naye chai...ni ushauri tu!Endeleeni kushinda vita mnayopigania twitter. Putin hana muda wa kupiga blaa blaa. Yeye na majeshi yake wanajibebea tu ardhi ya Ukraine. Wameshachukua zaidi ya 15% ya ardhi ya Ukraine, na punde wataongeza! Nyie endeleeni kulishana matango pori.
Why russia wasifanye hivyo now?[emoji91][emoji91][emoji91]
In Britain, they were afraid of Russian strikes from all sides.
Russia can strike the UK from different directions, including from space, Tony Radakin, the head of the country's General Staff, warned in an interview with the Telegraph.
According to him, Moscow has the ability to disable communication systems and satellites, which will effectively isolate the United Kingdom from the world.
"Russia has forces in space. Russia has a nuclear potential. Russia has a significant submarine fleet," Radakin said.
The Admiral believes that this scenario "poses a threat to the entire West", but it will provoke a "strong response" from NATO.
Earlier, an expert in international relations from the University of Leicester, Professor Andrew Futter said that Britain does not have the means to intercept and destroy Russian ballistic missiles, including the Kinzhal missile system.
Kwani kuondoka Lyman ndiyo mwisho wa SMO?! That is a tactical retreat...watarejea Tena pale...Kwamba hata Russia kukiri kwamba wanajeshi wake wameondoka Lyman kuhofia kuzingirwa na majeshi ya Ukraine bado huamini?
Huoni bendera za Ukraine zikipepea huko jiji la Lyman ambalo Urusi alilitumia kama jiji la kimkakati kusafirisha zana za kivita pamoja na chakula.
Alisikika mchambuzi wa mambo ya kivita na usalama akiwa safarini kutoka Ibinzamata kuelekea Ukenyenge na Lamadi.To me i think.... Russia hana siraha zenye advanced tech zaidi ya Hizi alizozitumia... xo kashamaliza, na kashajiridhisha kua battle field kwa siraha zake hawezi win..... Hizo refferenda alizofanya sasa n kujitafutia uhalali wa kutumia nuke(nuke War is unkwepekable)... tuombee tu pasiwe na mabadilishano makubwa ya nuke toka pande izi mbili
Hilo la kurejea hatuwezi kulijadili maana ni nadharia. Kikubwa wamefurushwa na mji umerudi mikono salama ya Ukraine.Kwani kuondoka Lyman ndiyo mwisho wa SMO?! That is a tactical retreat...watarejea Tena pale...
Correction,sio silaha tu!US na makoloni yake wanaisaidia Ukraine silaha,mafunzo na Intelligence!Hapo wanawapa mpaka location za askari wa Russia Kwa kutumia satellites!"Putin kawadunda wote vitani"
How?
Technicaly hakuna nchi husika imepeleka wanajeshi wake ukraine officialy.
Zaidi ya kusaidia silaha tu. So far wanaozitumia ni jeshi la ukraine.
Mimi Sina moyo mgumu, lakini Kwa haya mafashist nimetazama tu.., kweli yamesagwa Aisee [emoji848]Tazama hii vonvoy ya wanajeshi wa Russia walipojaribu kutoroka Layman kilichowakuta ni balaa kama huna moyo mgumu usitazame
Yea uko correct. Hivyo vyote ni supportive elements tu.Correction,sio silaha tu!US na makoloni yake wanaisaidia Ukraine silaha,mafunzo na Intelligence!Hapo wanawapa mpaka location za askari wa Russia Kwa kutumia satellites!
Wewe Mag3 njoo na hoja ya maana. Hapa tupo kwenye social media, wewe hunijui nami sikujui. Cha msingi leta hoja. Weak people hujadili watu binafsi.Hawa wajinga wasio na akili wanafikiri wanajibizana na vijana wadogo wasio na uelewa wa vitu vitatu muhimu...yaliyopita, yanayoendelea na yajayo.
Huyo anayejiita JESUS Mulokozi bila shaka ni kijana mdogo sana ambaye kwa kutojua ana copy/paste tu propaganda za Urusi na kuzimwaga humu.
Kwa ufahamisho tu tupo tuliokuwepo during The Cuban Missile Crisis of October 1962.
Rais wa Marekani John Fitzerald Kennedy alipompa onyo kali kiongozi wa Urusi Nikita Khrushchev akimtaka kuondoa silaha zake kisiwani Cuba.
Zilikuwa ni siku tatu zilizojawa na hofu kubwa kwa dunia kuanzia agizo lilipotolewa tarehe 26/10/1962 hadi 28/10/1962 silaha hizo zilipoondolewa.
Wengine tulikuwepo nyakati hizo na tulikuwa na uwezo wa kufuatilia yanayojiri.
Kabla hata ya kutia kidole kwenye kitufe cha nyuklia, tayari wenzako washajua na hutapata hata huo muda wa kubonyeza na Putin anajua hilo.
Leta hoja mzee. Kuita wato watoto hakukuondolei upumbavu wako.Wewe mtoto mdogo, hayo mambo achana nayo yanakuzidi kimo! Kama unampenda Putin kanywe naye chai...ni ushauri tu!
Sio RAHISI hivyo wala haiwezekani . Kwamba the moment unaboneza kitufe mwenzio anaboneza. Achene fikra za chini kiasi hiki too low. Mifumo ya urushaji hayo makombora ipo mingi na complex. Labda atokee mtu athibitishe kwamba kuna technology ya ku jam mifumo yote ya urushaji makombora wa adui vinginevyo zitakuwa stori za zamani za Springs alipomkosa Mohamed Ally basi ngumi yake ilipindisha Chuma.Why russia wasifanye hivyo now?
Wakati russia wana strike UK watakuwa wamelala usingizi wa pono?