Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naomba nikuulize swali dogo tu...kwa uelewa wako unadhani Putin anaweza kutoa agizo la mashambulizi ya nyuklia Marekani wasijue? Kweli unaamini Marekani na nchi za Ulaya Putin anaweza kuwashtukiza tu kwa mashambulizi ya nyuklia.

Kwa ufahamisho wako wewe na wajinga wenzio wanaomeza matango pori unayoyarusha humu, kila azimio linalofikiwa na Putin tayari linajulikana kwa Marekani na NATO. Russia haiko kwenye level hiyo unayoifikiria na mnajifurahisha tu.

Vipofu mnaongozana na kwa hilo hakuna cha ajabu...hamjui kuwa hamjui! Marekani inao watu hadi ndani ya serikali ya Putin na ukweli huo hata yeye Putin anaujua na ndio maana kazidisha propaganda za kujihami kwa kuwatumia hadi viongozi wa dini.

Nchini Russia hakuna uhuru wa kidini, je unajua sababu zake?
 
Pole sana. Kama ulikuwepo kwenye crisis ya Cuba na bado una mawazo finyu kiasi hiki basi umechelewa.

Zoea tu hutakuja kujua kitu tena.

Urusi ni baba wa dunia
 
Why russia wasifanye hivyo now?
Wakati russia wana strike UK watakuwa wamelala usingizi wa pono?
Nuclear ikishaachiwa haina solution , Uwe umelala au umeamka. Ishu hapa ni Dunia KUWEKA mambo sawa. Vijana wengi humu wanaichukulia US kama mungu wao anayeweza yote . Nadhani vijana watoke wakajifunze nuclear.


Hii ni silaha ambayo atakayeipiga hataeleweka na Dunia na atakayepigwa nayo na jirani zake hawatarudi kwenye hali zao. Ndio maana hakuna mshindi katika hii vita
 
Mzee unapojadiliana na mimi njoo kwa kheshima. Majadiliano kama umetoka kuliwa kiboga siyataki. Uje kwa heshima tujadiliane. Usijione mjuaji. Hapa tunajadiliana kama watu wenye akili timamu.

Kama umelewa subiri pombe iishe kichwani mwako ili tujadiliane kama watu wenye akili timamu.

EBO
 
Your browser is not able to display this video.


⚡️⚡️⚡️ combat work of the crews of the Iskander OTRK of the Western Military District on the objects of the military infrastructure of the Armed Forces of Ukraine in the zone of the special military operation⚡️⚡️⚡️
 
Mbona USA alipiga na Dunia ikaelewa fresh tu?

Acheni Russia nae awatupie tu huo mzigo,tutamuelewa tu Maana hata cha kumfanya hatuna.
 
Tatizo lako umekaa sana Buza kwa Mparange. Mimi sitaki mambo yenu hayo mnayofanyiana. Mimi ni Mtumishi wa Mwenyezi Mungu. Endeleeni na kutoa TIGO kwa wazungu.
Nilijua tu mwishowe hiyo ndio itakuwa defence yako kijana usiye na heshima. Eti mtumishi wa Mungu, oh my! Next utadai kuwa hata Putin naye ni mtumishi wa Mungu na Marekani ni taifa la kishetani, how's that!
 
Kwamba order yoyote inatoka Russia Marekani anajua nadhani huko ni kuabudu SASA. Katika mifumo ya mawasiliano ya kimedani huwezi jua KILA kipande cha habari na execution za order za nuke ni fraction of a second.

Kama una average level ya uelewa utakiri kwamba tayari Putin muda mrefu alishaamuru vikosi vya nuke KUKAA katika mkao wa mapigano. Kwaiyo Amri hii haikuwa siri .

Amri nyingine hatuwezi kusikia zikitolewa hadharani yumkini Amri ya kusogea kwenye target imeshatolewa ndio maana baadhi ya submarine zimeenda kwenye maeneo ya ki strategia . Wanachoweza kujitahidi hao USA na wenziwe ni kuzifuatilia hizo nyambizi kujua zipo point gani lakini pana ugumu pia

Hata ukizigundua hizi nyambizi uamuzi wa kuzilipua ni ngumu sana kutokana na madhara yake KWA waliomo na wasiomo. KWA mtu matured atakubali kwamba hakuna taifa linapenda ama lipo tayari kubeba LAWAMA ya kuwa chanzo cha madhara ya milipuko ya nuke. Tukiwa wachanga tuna reason kiuchanga kwamba USA atalipua , UK atafanya hivi.

Kama Russia ana nuke war heads 2500 ni hatari kama KWA wataachia 100 tu kwenye targets . Tayari tunavyozungumza miji kadhaa ya NATO ipo kwenye target midomo ya nuke imeelekezwa huko BADO kuboneza tu

Naomba ndugu tujadili nuke katika hali ya ukomavu kwakuwa ni msiba wa Dunia nzima sio mechi ya SIMBA na Yanga
 
Nadhani hujanisoma. Why nasema kwanini russia asianze.
Wenzetu wana mifumo ya detection of any nuclear launch. From satellites to ground based comms.
Hamna mahali nimesema ati ikiwa launched na wenzako wana launch hapo hapo no

For the record tu ni kuwa US peke yake ana nuclear weapons nyingi kuliko nchi wananchama wa NATO, na hapa jumlisha european contries zilizopo NATO.

Sisem its impossible nasema itakuwa detected
 
Hebu rudi kwenye mada mwanagu. You are better than these comments
Nimekuwa mwanao tena! Are you high on something? Hebu unakumbuka hii...
Jesus Mlokozi said:
Leta hoja mzee. Kuita wato watoto hakukuondolei upumbavu wako.
Ningecheka ila nitajitahidi kujizuia, hujui kuwa hujui...
 
⚡️⚡️⚡️Senators of the DPR, LPR, Kherson and Zaporozhye regions will soon appear in the Federation Council - head of the regulations committee of the Federation Council Vyacheslav Timchenko⚡️⚡️⚡️
 
Naona unaanza kuwa kama Putin kwa tabia na akili. Unaingiza matusi ili tuache kuongelea ukweli jinsi Urusi inavyoshughulikiwa kisayansi.

With his simple mind Putin designed to scare the west by reminding the world he’s got nuclear weapons as a deterrent just in case.

This was a distraction designed to ensure that the west was talking about it rather than the lack of success they are having in Ukraine.

And that is how his simple mind works.
 
😀😀😀😀 Mbona unaandika mashudu tu. Haya uliyoyaandika ni mashudu.
Tayari viongozi wengi tu huko ulaya wame step down. Uchumi huko ulaya unaporomoka. Wananchi huko ulaya wanandamana kila kukicha.

Hebu niambie unposema wamemshughurikia Putin kisayansi hebu tuoneshe analytical result namna gani Russia imeshughulikiwa.

1. Ruble inazidi kuimarika.
2. Tayari majimbo manne yameenda Russia.

Angalia namna vifaa nya Ukraine vilivyoangamizwa.

Halafu unatakiwa uelewe lengo la Russia ni:-
1. Kuondoa nguvu ya Kijeshi ya Ukrain
2. Kukomboa majimbo ya maeneo ya wanaozungumuza ki russia.

Sasa nakutaka uje na maelezo ya maana.
 
VIDEO.
Wanajeshi wa ukraine [emoji1255] wakirudisha Washing machine iliyoibiwa na askari wa Russia [emoji635]

Huo ndio uhalisia wa Russia, nilishangaa sana walivyokosa vyakula wakaanza kuiba kuku! Utashangaa zaidi ukisikia kwamba pesa za vyakula vya wanajeshi zimepitiwa na washikaji fulani wa putin.

Ukija kwenye karatasi sasa wee Russia inatisha, kuna vichwa panzi nimeona etii oooh sub ya mrusi haijulikani ilipo. Wakati katika mambo ya sub wajuzi wenyewe wanakwambia sub zao hazipigi kelele kulinganisha na za kirusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…