Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒImebidi nicheke alafu sijaona reply zako muda hapa au ww ndio wale wa ID mia saba.
Myukraine wa wap ww?

NB:
Ngaboru n mmoja wa mababu zangu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒingesaund poa ikiwa Ms ngaboru.
Welcome Miss ngaboru naona mnapumulia mashine kwa Sasa..
 
For the future we plan as a Russia to stop all gas exports to Europe for more than one year and our economy will run without any negative consequences...we need to boost some other countries economy to stand against Western hegemony~ Medvedev

That is a strategic thought. And the West will regret their choices. When other countries shall be having stable economies, they may be able to stand the nonsense forced on them by the arrogant West.
 
Sisi tusiojua chimbuko au chanzo cha mgogoro huu ndio wahanga wakubwa sana wa Propaganda za kimagharibi zinazofanywa kupitia media mbalimbali mbali kama mitandao ya kijamii au vyombo kama aljazeera BBC CCN etc..
Ukisikiliza vizuri hizi media utagundua kuwa zinareport upande mmoja kama muhanga wa mgogoro(Ukraine) na upande wapili ni alieshindwa mapigano(Urusi) kitu ambacho sio kweli kwa jicho la haraka haraka

Kikubwa tunapaswa kujua sababu ya Urusi kuivamia Ukraine mwaka huu ni kutotekelezwa kwa 'The Minsk Agreement' ambapo lengo kuu la mkataba huo ulikuwa ni kusitisha mapigano kati ya wapiganaji wenye kuungwa mkono na Urusi wali Miji ya Donbas na majeshi ya serikali ya Ukraine(Kyiv) na ukizingati hiyo miji iliwekwa kama buffer zone ya future confrontation katika ya Urusi na maadui zake so Urusi kama sehem ya makubaliano alikuwana wajibu wakuwajibisha Kyiev kwa uvamizi kwasabab ya kushindwa kusimamia kile walichokubaliana Putin alikuwa pia mtazomo wa serikali yenye mfungamano na Nationalists wenye chuki kali dhidi ya Urusi ilionekana kutamani kuwa sehem ya NATO hivyo Urusi kama sehem ya Greates 5 powers hawakuwa na jinsi zaidi ya kuivamia kwamtindo huo wakimkakati huku lengo likiwa kuyanyakuwa majimbo yasiozidi mawili ila kwa bahati nzuri sasa wamepata faida ya majimbo mengine zaidi

Mwisho kabisa ningependa kumalizia kwakusema๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

The Comedian doesn't know the country he is fighting with. No right thinking leader of a country fights with US, UK, China, France or Russia in conventional warfare and get away with it.

They set the International rules because of thier superior military power,
....They will pound your country to the last minute and test thier new ballistic missiles with no one coming to your rescue.

These P5 are the International Police and International Judge in International Politics. You fight them at your peril.
 
Debt-to-GDP ratios:

Russia - 19%
UK - 96%
EU - 100%
America - 137%

Sri Lanka collapsed at 117%.

Rising interests rates are lethal to western governments, while the Russian state can thumb its nose at them.
Anayewakopesha hizo pesa ni nani..??......ukijibu hilo swali na ukafahamu uchumi wa dunia unaongozwa na nani , utakuwa na jibu na utafuta hayo maigizo yako...
 
Anayewakopesha hizo pesa ni nani..??......ukijibu hilo swali na ukafahamu uchumi wa dunia unaongozwa na nani , utakuwa na jibu na utafuta hayo maigizo yako...

Anayewakopesha hizo pesa ni nani..??......ukijibu hilo swali na ukafahamu uchumi wa dunia unaongozwa na nani , utakuwa na jibu na utafuta hayo maigizo yako...
Inaonekana haujajua hii ishu ya international/ Sovereign debt inaoperate vipi
 
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บThe EU leadership invited a high-ranking Russian diplomat to Brussels because of the past referendums on the admission of the Donetsk and Lugansk People's Republics, as well as the Kherson and Zaporozhye regions to the Russian Federation, AFP reported.
 
VIDEO.
Wanajeshi wa ukraine [emoji1255] wakirudisha Washing machine iliyoibiwa na askari wa Russia [emoji635]

Urusi anazidi kuweka visingizio tu Ili kuwapoteza maboya.., sijui anasubiri nini kuchukua hatua wakati ""aridhi iliyo kwenye mipaka yake"" inazidi kupelekewa moto [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 



Msikilizeni Elona ana ushauri kwa Russia
 
Mkuu kama kuna kitu nimekuja kugundua kuna watu wamevamia hii forum bila kujua ni baada ya kuona ile comment ya huyu bwana mdogo.Msamehe bure he/she is an Idiot toddler.
 
Unajisifia ukubwa lakini kinywa kimejaa matusi badala ya maneno ya hekima!? Ukubwa gani sasa huo

Mitusi mingiii ni dalili za kuishiwa hoja [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajisifia ukubwa lakini kinywa kimejaa matusi badala ya maneno ya hekima!? Ukubwa gani sasa huo

Mitusi mingiii ni dalili za kuishiwa hoja [emoji16][emoji16][emoji16]
Humjui Mag3 hanaga huo upuuzi.Nenda Jamii Intelligence ndiyo utamjua vizuri.Kwa hapa wakati mwingine analazimika kujibu kutokana na upuuzi wa wanaotaka mjadala nae wakati wakiwa na pumzi ndogo ya kujenga hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ