Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

T14 Armata
 
To you
 
Hizi drone za Iran naona siku za hivi karibuni zimeanza kupoteza ufanisi,halafu naona zinashushwa nzima nzima...itakua zile systems za Electronic warfare ambazo Ukraine alipewa na Marekani na Uingereza zinafanya kazi ipasavyo
 
Personal Analysis 🤗

Niko open kupokea mawazo ya wengine pia.

Ni kwamba kuna kitu nilikuwa nakiwaza, tukiangalia toka kutangazwa kwa referendum progress za kuchukua maeneo zaidi upande wa wa jeshi la Urusi na LPR/DPR people's militia ni kama umepungua hivi.

Na kitu ambacho tunakiona ni kama jeshi la Ukraine limeingia baadhi ya maeneo ambayo yapo ndani ya maeneo mapya ya Russia Federation. So swali langu likawa what's going on... Nini Russia anawaza? As we know ngumu sana ku'predict kila "move" wanayofanya hadi pale tukio litokee ndio twajua hivi na vile.

So, here my personal analysis au niseme thoughts zinazokuja akilini mwangu...

Najaribu kuvaa uhusika wa Upande wa Russia. Kwa yanayo endelea lau ningekuwa mie ningekua na plan zipi!

Turejee nyuma kidogo katika kuwaleta karibu na hiki nachokiwaza.
Wakati Russia anaingia Ukraine alitangaza hii kua ni SMO. Operation maana ake ikawa inamlazim kutumia limited force, limited equipments, to the extents of limiting military targets.

In context of SMO, kuna maswali mengi mie na wengine tumekua tukijiuliza mbona Russia hafanyi hivi mbona Russia hafanyi vile. Vitu ambavyo kwa baadhi wamekua wanavitafsiri kama Udhaifu hasa harakati zote zikipambwa na media katika mwonekano huo.

Lakini yote hayo kwa jicho pana binafsi naweza kusema ni kitanzi alichojiwekea mwenyewe. Hapa nikiwa na maama ya Frameworks of Special Military Operation.

Huko nadhani tumeelewana sasa turudi kwenye point yangu...!

Toka last week, kinchoendelea kwa Russia ni kama vile anataka kubadili mwelekeo wa kile ambacho wengi wanakiona. Its like soon tutashuhudia Russia akijivua ukimya aliofunika mikononi mwake mda mrefu.

Ni kwa mara ya kwanza majuzi kati tumeona Russia akizipiga critical infrastructure za Ukraine kisha akatulia kimyaaa. Then akatangaza referendum kufanyika katika hayo maeneo ma 4.

Ukiunganisha dot ya referendum na wao ku-withdrawal kutoka kwenye maeneo yaliopo kwenye mikoa yao mpya hiyo kwa jicho la ziada naona ni kama "bait" anayotengenezewa Ukraine. Inakuwa like let them in upate sababu ya kumpiga.

Referendum ikiwa ina imply kua hizo regions zitakuwa in Russia Federation na uwepo wa jeshi la Ukraine eneo hilo ukiwa una maanisha uvamizi katika ardhi ya Russia. So inakuwa kama 'trump' card kwa Russia ku'declare Kiev regime kama terrorist organization hivyo kubadili course ya SMO na kua defensive operation of Russian Territory ambayo Russia according to their constitution watajipa haki ya kutumia their full potential, their full power.

Huku zile limits walizo kua wamejiwekea awali kwa jina la SMO zikitoweka.

I guess soon tutaona deployment of modern equipments maeneo hayo na fighting gonna be fierce zaidi ya mwanzo.

Ni mtazamo wangu tu hadi kufikia Jmos nitarudi kuji-prove wrong ama right kwa kile kitakacho tokea.

Siku zote mda huwa ni mwalim mzuri.
 
Pia Electromagnetic pulse inaweza kutokea pindi kukiwa na nuclear detonation
 
Piga spana! piga spana!


Pro Nato mnatisha [emoji1787]
 
Wew jamaa una ufaham mkubwa sana wa vitu, kwenye huu uzi nikiona comment yako lazima nisome
 
Humjui Mag3 hanaga huo upuuzi.Nenda Jamii Intelligence ndiyo utamjua vizuri.Kwa hapa wakati mwingine analazimika kujibu kutokana na upuuzi wa wanaotaka mjadala nae wakati wakiwa na pumzi ndogo ya kujenga hoja.
Namjua vizuri tu lkn kwa hapa amenishangaza. Ilibidi niclick id yake kuona kama ndio yeye isije ikawa ni Mag3 mwingine. Kumbe ndio yeye!

Unaweza kuomba urejeshewe heshima yako uliyowahiitoa bure.

Inawezekana kama unavyomtetea kuwa analazimika kujibu kuendana na anaowajibu au inawezekana amepuyanga kweli. Kwamba kwa sababu ni Mag3 ndio hawezi kupuyanga!? That is appealing to authority. Simply a logical fallacy!

Umri ni namba tu. Haina maana mkubwa ndio akisema always kapatia. Na pia Mkubwa hatukani. Hasa hasa kutukanana na wadogo.

Mnaojiona wakubwa jf Kuweni mfano kwa sisi wadogo. Mtalaumu vipi kizazi cha sasa kukosa adabu wakati matusi na utovu wa nidhamu mnatufundisha wenyewe!?
 
[emoji298]️Ukraine liberates Borova village in Kharkiv Oblast.

The Ukrainian military liberated the village of Borova, Kharkiv Oblast, on Oct. 3, according to the local council. Borova is located east of the Oskil River.

Zile kelele zote nikajua kharkiv yote imekuwa liberated

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
‼️🇷🇺🇨🇳🇧🇾🇰🇵🇧🇴🇻🇪🇮🇷🇲🇲🇳🇮🇸🇾🇪🇹11 countries, including Russia, Belarus and China, issued a joint statement in Geneva condemning the restriction of the rights and freedoms of Russians and Russian-speaking residents unleashed by the authorities of a number of states in recent months‼️

⚡⚡⚡Violence against the Russian language condemned at the UN
A group of 11 countries in a joint statement to the UN Human Rights Council condemned discrimination in several states against Russian speakers
The document was signed by Russia, Belarus, Bolivia, China, Ethiopia, Iran, North Korea, Myanmar, Nicaragua, Syria and Venezuela⚡⚡⚡
 
11 ni kidogo sana?
 
Mkuu kama kuna kitu nimekuja kugundua kuna watu wamevamia hii forum bila kujua ni baada ya kuona ile comment ya huyu bwana mdogo.Msamehe bure he/she is an Idiot toddler.
I was inattentive of your insulting capacity..... addressing a fully fledged individual as a preschooler....Hahaha. Akielewa atakereka 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…