Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kiev’s Counter Attacks On Kherson Have Failed - Official

Attempts by Ukrainian forces to break through Russia’s defenses in Kherson Region have been thwarted, the deputy head of the local administration, Kirill Stremousov, has said.

In a Telegram post on Monday, Stremousov stated that “everything is under control in the Nikolayev direction,” despite Kiev’s efforts to retake the region.

He noted that Ukraine’s forces had advanced southward along the Dnieper River to the village of Dudchany before “taking a beating” from Russian Aerospace Forces.

Subscribe to RT
 
Hapa sio kweli. Period. Hata Russia ina mapandikizi USA, hii hoja ni mfu. Iko full mahaba sio technical aisee. Nimejitoa kwako unajadili mada ukiwa onesided
 
Hapa sio kweli. Period. Hata Russia ina mapandikizi USA, hii hoja ni mfu. Iko full mahaba sio technical aisee. Nimejitoa kwako unajadili mada ukiwa onesided
Huyo jamaa....ana mahaba hatari...et Russia hakuna uhuru wa kidini???Sijui anaongea kutokea wapu huyu??Sema hii vita imetusaidia sana kujua uwezo wa ziada wa watu humu JF,inawezekana hata huko kwingine wanalisha watu matangi pori
 
Hali ya majeshi ya Russia Kherson inazidi kua mbaya, wanajeshi wanakimbia wanaacha vifaa kama vifaru,malori,nk huku Ukraine wakizidi kusonga mbele

Southern Axis Update:

#Ukrainian forces continued to advance in northwestern and northeastern #Kherson Oblast between October 2 and 3. /1
isw.pub/RusCampaignOct3



Southern Axis Update:

#Ukrainian President Volodymyr Zelensky announced that Ukrainian forces liberated #Myrolyubivka (23km northwest of #Kherson City) and #Arkhanhelske on the #Inhulets River south of the Kherson-Dnipropetrovsk Oblast border. /2

 
Hapa sio kweli. Period. Hata Russia ina mapandikizi USA, hii hoja ni mfu. Iko full mahaba sio technical aisee. Nimejitoa kwako unajadili mada ukiwa onesided
Ndiyo nina upande, je kuna ubaya? Asiye na upande ni yupi ndugu yangu. Mimi katu siwezi kuwa upande wa mtu kama Putin. Hata hapa kwetu kuna watu siwezi kuwa upande wao, never! Kama wewe huna upande ni mnafiki na pokea pole zangu nyingi tu!
 
Hapa sio.
Unataka kuniambia Nuke ikitua mahali kwa sqm ambazo imeenea hizo elctronic device zitakuwa zinafanya kazi, yaani mtapigiana simu na kusililiza redio au Tv kitu ambacho kina alter DNA ya mtu na mionzi yenye nguvu yaani unaongelea nuclear kwenye cell, ambayo ina hold hizo electron, si katai advancement kwamba yapo makombola more advanced lkn kusema inazima all electronic device ndio kubwa ni big No, hata yale ya Mbagala na Gongolamboto yalizima simu na redio kwa waliokuwa karibu . You must be kidding
 
Ndiyo nina upande, je kuna ubaya? Asiye na upande ni yupi ndugu yangu. Mimi katu siwezi kuwa upande wa mtu kama Putin. Hata hapa kwetu kuna watu siwezi kuwa upande wao, never! Kama wewe huna upande ni mnafiki na pokea pole zangu nyingi tu!
Haya ndiyo unayaweza. Kubishana useless issues. Ninakusubiri uje na issue za Currency. Kama umeelewa tuendelee na kitu kingine.

Ukijaribu kupotosha tu kwenye uzi huu nakuumbua.
 
Vizuri

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 

Mkuu, crisis ya Cuba wala kiukweli haikuwa hivyo - Kennedy alichokuwa akifanya ni mambo ya kisiasa kujaribu kukuza kura za maoni nchini mwake na kutaka kuonyesha yeye ni mwamba wa Dunia,for domestic consumption of course - lakini nyuma ya pazia mambo yalikuwa tofauti kabisa, vyombo vya habari vya magharibi hasa Merikani huwa haitaki kusema ukweli kwamba Urusi ililazimika kupeleka missiles za nuclear nchini Cuba baada ya kuionya Merikani mara kadhaa kwamba iondoe missiles zake zinazo lilenga Ťaifa la Urusi zikitokea huko Uturuki na Italy ambako Wamerikani walikuwa wamezitegeshea kuja kuishambulia Urusi hapa baadae.

Urusi ikaona hisiwe tabu na wao wakasafirisha missiles kwa meli au ndege kwenda kisiwani Cuba sikumbiki vizuri, baada ya ndege za upelelezi za Amerika kugundua kwamba missiles za Urusi zimekwisha ingizwa Cuba na kujengewa silos na launchers platform, basi, Kennedy na washauri wake wa kijeshi wakijifanya kuja juu-wakarusha ndege zao za kipelelezi kwenda Cuba kwa wakati tofauti ndege zote zikatunguliwa na marubani wake kupoteza maisha, Amerika haikuwai kutangaza kutunguliwa kwa ndege zake aina ya U-2 na wala Merikani hakufanya lolote kuhusu kutunguliwa kwa ndege zake za kipelelezi-walikaa kimya kabisa!!

Mwishowe Krustchve alimwandika telegram Kennedy kwamba Urusi haitatoa missiles zake Cuba mpaka Amerika itakapo ondoa missiles zake huko Uturuki na Italy zinazo lenga Taifa la Urusi - Kennedy ali-comply matakwa ya Kiongozi wa Urusi akaondoa missiles za Merikani huko Italy na Uturuki, mgogoro ukaisha lakini nyuma ya pazia ili kulinda masuala ya siasa ndani Merikani, Kennedy hakutala aonekane weak mbele ya wapiga kura.

NB:Niliwahi kusoma telegram Krushchev aliyo mwandikia Kennedy kwamba:-

Kwanza: Aondoe missiles nchini Italy na Turkey.

Pili: Merikani isitishe kutishia Cuba na maisha ya Fidel Catro.

Tuta: Merikani hisiwe inatishia ushirika wa Warsaw pact.

Nne: Merikani hisiwe inatishia marafiki wa Soviet Union.

Mengine sijui ni kipi kilitekelezwa lakini missiles za Merikani ziliondolewa huko Utaly na Uturuki, vile vile vitisho kwa Castro vilikoma.

Bottom line is: Missiles za Urusi ziliondolewa Cuba Russia ilipo hakikisha kwamba missiles za Kimerikani huko Italy na Turkey zimeondolewa - tofauti kabisa na habari zinazo tolewa na media za magharibi kwamba Warusi walinywea - hiyo si kweli hata kidogo ni uongo ulio pitiliza mipaka wenye lengo la kujitutumua tu.
 
❌☢️ 🇷🇺Russia is fully committed to the statement on the inadmissibility of unleashing a nuclear war — Russian Foreign Ministry‼️They had to give such statement,since entire mainstream media was sharing the news about a "missing Belgorod submarine that carries doomsday Posedion weapon" And about "Putin orders nuclear military train to Ukraine",mainstream media started fearmongering...So such statement should have been given... West is unfortunately pushung the war towards nuclear engagement...It all started with "we promise not to expand,not an inch eastwards" and ending with Michael Mcfaul statement "YES!Yes this is the real world guys.We lied"
 

Source: Hakya Mngu sidanganyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…