Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hiyo mitego haiishiSijui pro west hili swala la advancement ya majeshi ya Ukraine katika maeneo yanayoshikiliwa na Urusi mnalichukuliaje ila mimi napata wasiwasi kwamba huenda kuna mtego Ukraine anategewa na kakubalo kuingia kindezi.
Hivi hamjiulizi imekuaje ghafla Russia ni kama kaishiwa nguvu na morali ya kupambana. Kwamba maeneo karibu yote yanayochukuliwa warusi wanakuwa wameyakimbia mapema hata hawarushi risasi hewani za mikwara.
Hivi Urusi anaweza kudhoofu ghafla hivi? Sio kwamba askari wake wanauwa sana au uchumi umeanguka ghafla so hawezi kufund vita, hamna.
Ukraine angalieni msije kujikuta huko ndani ndani mnakozidi kuingia mkaja kupigwa tukio mkashindwa kutoka.
Sioni kabisa ni nini kikubwa sana kimetokea iwe upande wa Ukraine au Russia cha kubadili upepo namna hii tena ghafla. Nachokiona huu ni mtego wa panya ule wa waya. Panya anaweza kuingia ila kutoka hawezi. Shauri yenu Ukraine jisifieni kijinga na advancement ambayo ni kama mnaachwa makusudi muingie sehemu ambazo watu wanawataka muingie.
Kama anajua hata watoto wameondolewa maeneo hayo Kwa sababu ya security kama Una akili lazima ujiulize kwanini wenyeji wameondokaSijui pro west hili swala la advancement ya majeshi ya Ukraine katika maeneo yanayoshikiliwa na Urusi mnalichukuliaje ila mimi napata wasiwasi kwamba huenda kuna mtego Ukraine anategewa na kakubalo kuingia kindezi.
Hivi hamjiulizi imekuaje ghafla Russia ni kama kaishiwa nguvu na morali ya kupambana. Kwamba maeneo karibu yote yanayochukuliwa warusi wanakuwa wameyakimbia mapema hata hawarushi risasi hewani za mikwara.
Hivi Urusi anaweza kudhoofu ghafla hivi? Sio kwamba askari wake wanauwa sana au uchumi umeanguka ghafla so hawezi kufund vita, hamna.
Ukraine angalieni msije kujikuta huko ndani ndani mnakozidi kuingia mkaja kupigwa tukio mkashindwa kutoka.
Sioni kabisa ni nini kikubwa sana kimetokea iwe upande wa Ukraine au Russia cha kubadili upepo namna hii tena ghafla. Nachokiona huu ni mtego wa panya ule wa waya. Panya anaweza kuingia ila kutoka hawezi. Shauri yenu Ukraine jisifieni kijinga na advancement ambayo ni kama mnaachwa makusudi muingie sehemu ambazo watu wanawataka muingie.
Ha ha wapi huko bossMkuu kuna nyambizi imezamishwatayar ilikuaimebeba makombora ya nuke
Wapi huko Acha uongo mkuu.Mkuu kuna nyambizi imezamishwatayar ilikuaimebeba makombora ya nuke
Bahati mbaya sana hata chekechea ya elimu ya kawaida tu sikupita sembuse kuniuliza maswali mazito kiasi hiki?Ndugu, hebu nikuulize ..hivi una military knowledge hata ya kiwango Cha chekechea kwa maana hata ya mgambo?!
Viva referendum . Piga wavamizimji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany
upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Lete source paka wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany
upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko