Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hizi habari huwa zinanifurahish sana lakini huwa siziamini sababu chanzo cha habari hakielewekimji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany
upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Bora wewe umesema, wakisema pro Ukraine wanaonekana wabaya [emoji848]Hizi habari huwa zinanifurahish sana lakini huwa siziamini sababu chanzo cha habari hakieleweki
Bado Kuna makaratasi mengine yanatakiwa kusainiwa mkuu..,kwa hiyo vuta subra, maana documents zimetumwa kwa judge mkuu Ili asaini, baadae zitatumwa kwa muhasibu..,kisha Baraza kuu la ardhi la huko urusi litatatakiwa kujihakikishia kama kweli hayo maeneo ni Mali ya urusi,kisha Hilo Baraza kuu la ardhi baada ya kujidhilisha kuwa hiyo ardhi ni Mali ya urusi, itabidi litume Tena taharifa kwa Putin ikiabatanishwa na sahihi za wajumbe wote wa Baraza hilo.., Baada ya Putin kuisani iyo taharifa, mahakama itaamuaJamani makaratasi hayajaanza ulinzi wa majimbo yetu tu?
Duh, Russia hii hasara atakuja simulia vizazi vyake vyote [emoji848]Jeshi la Ukraine:
Idadi ya vifaa ilivyopokea toka nchi za Ulaya/US vs vifaa ilivyovikamata toka jeshi la Urusi
Ukraine’s rapid breakthrough in the Kharkiv Oblast a month ago ended up putting hundreds of pieces of Russian armor into Kyiv’s hands as the Russian army left behind its heavy weapons and warehouses of supplies in a disorganized retreat.
#UkraineWillWin
View attachment 2379603
Bro mbona uhamisha magoli,Mimi sijazungumzia sababu iliyomfanya Putin avamie nimezungumzia baadhi ya warusi tena wale pro-Putin kindaki ndaki kuanza kuhoji uwezo wa jeshi walilokua wanaambiwa Lina silaha za kisasa za kila aina bwana Putin,tena alisema silaha zao ni kisasa zaidi kushinda za NATO.Warusi gani wenye akili timamu wanaweza kuhoji au kuwa na mashaka sababu zilizo mfanya Putin a-spring up a suprise attack kwa jeshi la Zelensky na wafadhili wake - Putin aliwahi kumuonya mara chungu nzima Zelensky, lakini kutokana na kiburi na jeuri alilokuwa anapewa na US na UK kwamba ampuuzie Putin na kutupa kapuni makubaliano yao ya Minsk2 matokeo yake ndio haya ya kuzuka vita, lakini watu wengi hilo hawalisemi masaa yote kumulaahumu Putin na jeshi lake.
[emoji298]️ Macron: EU to provide Ukraine with more military gear, French howitzers.[emoji635] Check out key statements from Russia's top diplomat Sergei Lavrov today:
[emoji843] Russia warns [emoji631] the US against recklessly supporting Ukraine & involvement in the conflict; Washington & the EU continue to 'pump up' Kiev with weapons;
[emoji843] Russia is against imposing restrictions on the use of [emoji921] fossil fuels, there should be a balance between efforts to combat climate change and the aims of social & economic developments;
[emoji843] Moscow is interested in building up cooperation with [emoji630] China in the energy sector, including nuclear power.
Mmeanza tena kubisha katika "Obviously" ....AseeeKwa population aliyonayo China uchumi wake ulipaswa kua billion 100 GDP
Germany ni nchi yenye uchumi mzuri na imara kuliko hata china mara 100+
[emoji3][emoji3][emoji3]mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany
upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Yani huwa nikiona comment zake naishia kucheka,huyu ndiyo muasisi wa comment ya Kyiv kuwa majivu [emoji3][emoji3]Lete source paka wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3] huyu ni Mzee wa Kyiv kuwa majivu mwache atufurahisheSource; Halimashauri ya kichwa chako [emoji1787][emoji2][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Au 'niamini mimi broh"Source; Haki ya Mungu sidanganyi