Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Namie nimeongea nae asbh nimemtamkia heri ya siku yake ya kuzawaliwa kwa niaba ya a Pro Ukraine wote waliopo humu ambao wanamchukia kinafki ila mioyo Yao inampenda sana PutinPutin held telephone conversations with the leaders of Turkey, Kyrgyzstan, Cuba, South Africa, with Nazarbayev, they congratulated him on his birthday, the Kremlin reports.
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu bado ana hangover ya Vodka kichwani.Hata haelewi imekuwaje kajikuta kavaa combat za jeshimfano wa askari alie fanyiwa Mobilization toka russia anaye subir waukraine wajae.
inasemekana Anahasira za karibu huyo.
pia nishupavu na anasura ya kazi
Cheki.
View attachment 2379748
Inatakiwa alirushe MarekaniPutin akizidiwa zaidi atawasha hiki kinu muda wowote.... tuwe tayari kwa lolote - hichi ni balaa kinachapa popote duniani, ni nyukilia - ni bara kwa bara mzee wangu...tema mate chini shetani apite.
Intercontinental Ballistic Missile - ICBM
View attachment 2379698
Hii picha toka op inaanza na hakuna ushahidi kama Mrusi au Mkirene aliyevaa nguo za Jeshi la Urusi.mfano wa askari alie fanyiwa Mobilization toka russia anaye subir waukraine wajae.
inasemekana Anahasira za karibu huyo.
pia nishupavu na anasura ya kazi
Cheki.
View attachment 2379748
#Ukraine: An extremely powerful Russian 2S7(M) Pion/Malka 203mm self-propelled howitzer was destroyed by the Ukrainian army in #Kherson Oblast.
warusi hawawezi kupigana na dunia putine kawaingiza chaka - kama wewe huna support ya UN, EU, US wewe lazima ubokolewe tu kama mbwa mwizi wa mchuzi.
Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
😅 😅 😅 😅
Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
😅 😅 😅 😅
Kuna saa nyingine ni kama mnashindwa kueleza kinachotokea, Urusi wanarudi nyuma baada ya mapigano na kuzidiwa nguvu ndio maana kuna za pande zote katika maeneo ambayo Ukraine wanayachukuwa. Askari wa Urusi pia wanarudi nyuma pale ambapo kuna dalili za kuzungukwa na askari wa Ukraine. Nje ya hapo hakuna askari wa Urusi anayerudi nyuma.
⚡️⚡️⚡️Ukrainian Energoatom claimed that the Russians stole the seal of the Zaporozhye nuclear power plant, attesting to the right to sign documents.
Apparently, Zaporozhye NPP cannot function without this seal. That's why they stole it⚡️⚡️⚡️
Kweli inaonekana unaumia sana kipigo anachpokea mrusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnacho sahau ni kwamba jeshi la Ukraine liliachiwa silaha nyingi za Urusi baada ya kupewa/pata uhuru kamili kutoka shirikisho la Kisoviet hivyo si rahisi kutofautisha silaha zinazo tumiwa na Ukraine na silaha
Hapo ndio mnapo shangaza kidogo, nani kasema Dunia ni US,UK,UN na EU??
Sijui background yako,lakini ungekuwa walao umepitia jeshini usinge shangaa kusikia neno tactical withdraw - ni jambo la kawaida kwenye medani za vita hata siku moja hiyo haimanishi kwamba Warusi wameshindwa vita, hizo ni majawapo ya mbinu za kushinda vita kwa kushtukiza - Zelensky forces won't even have enough time to repent their sins before joining their MAKER up above in the blue SKY. Putin namba nyingine kabisa - hata Biden amelazimika kubadiri kiswahili hivi sasa Biden anasema Putin yuko serious hatanii, eti, we sikiliza usanii wa Biden alivyo wa ajabu na mwoga kama nini, kasema,eti, inaelekea Putin maji yamekwisha mfika shingoni hivyo NATO/US wantafutie njia ya kutokea hasije akapata aibu na kudhalilika - uongo mtupu - ukweli wa mambo wanao pata hasara kubwa kwenye sakata hili ni NATO/EU na Merikani yenyewe wameunguza matrillion ya USD kujaribu kusadia jeshi la Ukraine kupambana na jeshi la Putin, mpaka sasa mafanikio ni dismal kabisa save vijiji vichache ambavyo jeshi la Putin liliviacha makusudi kumchota akili Zelensky na majenerali wake wa kuokoteza.
Kwa population aliyonayo China uchumi wake ulipaswa kua billion 100 GDP
Germany ni nchi yenye uchumi mzuri na imara kuliko hata china mara 100+
Kweli inaonekana unaumia sana kipigo anachpokea mrusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]