Niliwaambia hawa warusi wa masanzakona muda si mrefu wataanza kupigwa na vitu vizito wasijue ni nini kinachoendeleaTazama CCTV inaonesha kitu kizito kilichopiga daraja.Pro Russia bado mna kaza msuli SMO imefanikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Birthday Boy!
Mambo yakigeuka na Russia akaitambua serikali ya Ukraine kama ya kigaidi,msije hapa kulalama!Hata zile ammunition depot zilizopigwa Crimea na Belgorod mlisema sabotage kikubwa tunakata supply hakuna inzi kuvuka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Unajua Lori Hilo lilibeba kiasi gani Cha mlipuko?Kwani mabomu ya kujitoa muhanga ya limit?Yes,aliyeweka mabomu hayo kwenye gari ni professional,ila yawezekana aliyejitoa muhanga Kwa kubeba hayo mabomu Kwa Lori sio professional!tumia akili angalia picha fungua ubongo.
jinsi barabara ya chini ilivyo pasuka.
pamoja na io reli ya juu.
mlipuaji ni profession kabisa wa hivyo vitu.
vibom vya kujitoa muhanga haviwez kusambaratisha daraja ambalo HIMARS zilishindwa.
Mwanzoni wa Ukraine wa Buza walisema hilo daraja limepigwa na Himars.Sasa Unajua Lori Hilo lilibeba kiasi gani Cha mlipuko?Kwani mabomu ya kujitoa muhanga ya limit?Yes,aliyeweka mabomu hayo kwenye gari ni professional,ila yawezekana aliyejitoa muhanga Kwa kubeba hayo mabomu Kwa Lori sio professional!
In either case,Russia wamelitambua tukio Hilo kama la kigaidi!Tusubiri majibu yake!
Ukraine ipo vitani, Urusi kama haipo vitani bado sawa ila Ukraine ipo vitani. Walichokifanya ni sehemu ya kumshambulia adui.Mambo yakigeuka na Russia akaitambua serikali ya Ukraine kama ya kigaidi,msije hapa kulalama!
Hiyo ni Kwa mujibu wako,ila Kwa mujibu wa Russia Hilo ni tukio la kigaidi!Ukraine ipo vitani, Urusi kama haipo vitani bado sawa ila Ukraine ipo vitani. Walichokifanya ni sehemu ya kumshambulia adui.
Hizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin
Sasa anataka aitambue lini,wkt tayari wizara ya ulinzi ya Ukraine Kwny page yake ya Twitter imeshakiri kuhusika na tukio Hilo?Mambo yakigeuka na Russia akaitambua serikali ya Ukraine kama ya kigaidi,msije hapa kulalama!
Tukio la kigaidilimefanywa na nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni Kwa mujibu wako,ila Kwa mujibu wa Russia Hilo ni tukio la kigaidi!
Kwahiyo hizo uniforms zilinunuliwa ila hazikufika kuhifahiwa kwenye vituo au hazikukunuliwa walisajili mzigo hewa. Zilisomeka ziko reception points na hazipo kama huyu MP aliyeibua mjadala alivyosema, wakifanya procurement ya silaha wanazifanyia distribution unless kama kila kituo kinanunua chenyewe. Sasa nani analaumiwa hapo katika hiliKumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.
Logistics ops ni tofauti kabisa na procurement.
Logistics is more of military planning.
Procurement is more of "acquisitions"
Na hayo ni Mambo mawili tofauti kabisa.
Sasa, Amry General anaye deal na military planning (logistics) anausikaje Tena na procurement of assets...
Tuseme sina akili. MP aliyeibua huo mzozo angejibiwa hizo uniforms zaidi ya milioni moja ziko wapi. Au watachukua hizo walizonazo wanajeshi wa Arctic na mpakani na Finland ndio wapeleke Ukraine?We jamaa una akili kichwani?? Yaan URUSI akose sare za majira ya baridi?? Wakati ana kambi kule northen Pole ambako kuna baridi kuliko sehemu yoyote duniani??
Kumbe we jamaa ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Russia kusema ni tukio la kigaidi haibadilishi shambulizi lililofanyikaHiyo ni Kwa mujibu wako,ila Kwa mujibu wa Russia Hilo ni tukio la kigaidi!
Hana kitu, miezi saba sasa superpower anapigana na nchi isiyo na kitu akiwa na vifaru bora kabisa vingine vikiwa na cageSasa pale Ukraine unafikiri ana nn? Ao ndo wanamfanya avimbe
AWACS haziingii hata anga la Ukraine ili kujua mipakani mwa Russia kuna nini. Zikipita Black sea kwenye neutral waters zinachungulia airbases za mipakani, Crimea na kupata electronic emissions & signalsAwacs zikiingia kwenye anga ya Russia zinashushwa
Hayo maswali unayouliza ni vigumu kupata majibu yake kwa sababu ya kutokuwa na taarifa za kujitosheleza.Kwahiyo hizo uniforms zilinunuliwa ila hazikufika kuhifahiwa kwenye vituo au hazikukunuliwa walisajili mzigo hewa. Zilisomeka ziko reception points na hazipo kama huyu MP aliyeibua mjadala alivyosema, wakifanya procurement ya silaha wanazifanyia distribution unless kama kila kituo kinanunua chenyewe. Sasa nani analaumiwa hapo katika hiliView attachment 2380622
Carpet bombing unawafanyia ISIS wasio na air defence. Russia haina air dominance kwenye anga la Ukraine, ikipeleka bombers ambazo ni rahisi kuzishambulia kuliko fighters ni disaster kwa air force yao. Sanasana Su-34 striker ndio inajitahidi kuingia ila zikija hizo Tu-22 zinashushwa haraka iwezekanavyo. Kwanza haziwezi pita anga la chini hivyo zitaonekana zikiwa mbali kabisa na zilivyo na radar cross section kubwaHizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin