Hivi mkuu unaelewa English kweli wewe.Duuuh supapawa hata uniform za watu wake laki3 anaotaka kwenda kuwapeleka kibra Ukraine hana [emoji23]
State Duma Defense Committee's head Andrey Kartapolov told a disappointed propagandist Vladimir Solovyov that aside from not having enough uniforms and equipment for its forces, Russia may not have enough munitions to destroy all of Ukraine's infrastructure.
Kukukumbusha kuwa WEWE SIO MRUSI hakubadili atakachofanya mrusi. Atakachokifanya kitafanyika na ww Mtanganyika na Wa crimea wataona hivyo hoja ipo pale pale.Baseless argument ndio kama hii!Tusubiri majibu,hayo mengine ni kudivert hoja!
Una gari wewe? Vituko hivi...nmecheka had nmepaki gari pemben nisije sababusha ajali daah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili za kimasikini hizi, kwa hiyo unaona kumiliki gari ni bonge issue..., mpaka huamini kama kweli jamaa ana gari?
Aisee,Inamaana hapa tunafanya Nini?Au wewe ni Nazis?Kukukumbusha kuwa WEWE SIO MRUSI hakubadili atakachofanya mrusi. Atakachokifanya kitafanyika na ww Mtanganyika na Wa crimea wataona hivyo hoja ipo pale pale.
Kwahiyo ww ndio mwerevu kuliko hao wakuu wa Ukraine? Ngozi nyeusi bwana shida tupu.Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.
Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.
Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.
Hebu Kunyer kwanza,ukishatoa gesi vzr rudi tena hapa.Ni angalizo tu,mkishushiwa kitu kizito,msije kulialia humu!
Mlikuwa mnapost video za askari wa Russia mliowaua,Russia yeye akawa anapiga kimya kimya!
Balaa lake mmekuja kuliona kwenye Miji aliyoiacha,mmekuta makaburi mnazikwa mpaka 400 kwenye shimo Moja!
Mkaanza kulialia ooh sijui war crimes,!
Style ya Russia inaitwa sensa utajifanyia mwenyewe!
Hapa tunajadiliana kuhusu warusi na Waukraine. Wao sio sisi.Aisee,Inamaana hapa tunafanya Nini?Au wewe ni Nazis?
Carpet bombing sio solution ,solution ni Russia kuondoka Ukraine na kuachia territories za Ukraine inazozishikilia ,Hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi shinda war of invasion , USA kapiga Sana ruthless carpet bombings Kule Vietnam lakini at the end alishindwa kudominate territory na akaondoka .Hizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin
Kwa hiyo Ile ya Lyman ambapo wanajeshi wa Russia walivyokua wamezidiwa wakaomba waondoke wakakatàliwa mateka wakawa wengi ni mbinu ya kivita ndugu mwanajeshi
Hiyo mbinu hatari ulipue treni yako imebeba mafuta ya frontline [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.
Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.
Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.
Huwa sijibizani na watu wa aina Yako!Siku njema!Hebu Kunyer kwanza,ukishatoa gesi vzr rudi tena hapa.
Ukishaingia kwenye huu mjadala,na wewe yakupasa ujue hujadoliani na warusi Bali na watanzania wenzako na kila mtu ana upande aliochagua!Hapa tunajadiliana kuhusu warusi na Waukraine. Wao sio sisi.
MUTU YA KAZI....
View attachment 2380700
General of the Russian Aerospace Forces, Sergey Surovikin, was put in charge of Russia’s “Special Military Operation” in Ukraine
Surovikin’s nickname within the Russian Armed Forces is Cannibal. He’s known as a tough MF@R, a hardliner
He’s currently in charge of southern group of the Russian Army & led several offensives which saw Ukrainian troops encircled and destroyed in LPR
He’s also largely accredited as the sole reason why the Syrian government was able to regain its territory from ISIS
He does not believe in retreats & does not favour surgical approach to strikes. In Syria, we noticed that his approach was rather “go big or go home” — huge aerial bombardments were his thing
He’s also rumoured to be next in-line to eventually retire Gerasimov as the Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces
(Now confirmed)
t.me/battleinsights
Imenikumbusha Russia walivyoacha baadhi ya maeneo ya majimbo yaliyojiunga. Wanajeshi wa Ukraine wameingia kwa wingi na kupiga picha wamekomboa maeneo.Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.
Halafu cha kushangaza Ukraine wameingia kichwa kichwa na kuweka comment eti wamehusika.
Nakumbuka mbinu hizo zinatumiwa sana ili kuhalalisha jambo fulani. Maana yake Russia wataanza kumsaka Zelezyck na watu wake kama magaidi.