Wewe umequote media gani!? Hebu onesha hapa kwenye hiyo taarifa ya mejenerali wa urusi kufa vitani ulivyoileta hapa uliileta kama quote kutoka media gani!?Ushahidi upi zaidi ya media tunazoziquote? Au ww untk ushahidi wa kutoka wapi zaidi ya media??? Au ww mwenzetu huwa unatuwekea ushahidi gani zaidi ya kuquote media au website mbalimbali?
Kama unaandika thesis au dissertation halafu sources zako zikawa ni Wikipedia hakuna supervisor anayeweza kuipitisha kazi yako
Yatosha sasa,
Acha kujaza utopolo wako lete habari kamiliPunguza kimbelembele cha kudandia mijadala usiyoilelewa pimbi wewe , ulitaka ni weke matacle yako ?
Huyu kamanda ana dhambi sana syria wanamjua ,yeye anauwaga mende kwa eskalenda ,putin hana ham nayeAlexander dvornikov amemaliza shughuli yake
View attachment 2381373
Huyu mchumba sana bora aliyemtangulia,huyu mweupe sanaAnaingia sergei surovikin, mwanadamu pekee aliyezaliwa bila ya nywele.
Alizaliwa akiwa ameshabatizwa kwa iskander missile, sasa amepewa jukumu la kuwasukumia wahuni kombora la poseidon na satan
View attachment 2381381
Hakuna source kwenye internet iliyosahihi kuliko wikipedia.Kama unaandika thesis au dissertation halafu sources zako zikawa ni Wikipedia hakuna supervisor anayeweza kuipitisha kazi yako
😂Huyo mjomba ndo bingwa wa kuzingira na kufunga njia zote za kimkakati za adui kuingia na kutoka eneo la mapambano. Lazima adui aombe usuruhishi maana hamna supply ya siraha, chakula wala madawa huyu jamaa akikuweka mtu kati. FSA na ISIS wanamjua vizuri.
Huyu mzee amekaa "kilokole'" mno.Alexander dvornikov amemaliza shughuli yake
View attachment 2381373
😂😂😂Anaingia sergei surovikin, mwanadamu pekee aliyezaliwa bila ya nywele.
Alizaliwa akiwa ameshabatizwa kwa iskander missile, sasa amepewa jukumu la kuwasukumia wahuni kombora la poseidon na satan
View attachment 2381381
Anaingia sergei surovikin, mwanadamu pekee aliyezaliwa bila ya nywele.
Alizaliwa akiwa ameshabatizwa kwa iskander missile, sasa amepewa jukumu la kuwasukumia wahuni kombora la poseidon na satan
View attachment 2381381
yeah ndio maana sikutaka kuendelea na mjadala coz nilijua utaendea huko, ndio maana nkakwambia we amini unavyoamini sababu swala la credibility ya source ni mtazamo wa mtu, kuna wengine kwao CNN kwao ni credible RT takataka wakati wengine ni vice versa, ndio maana sikutk kwenda kwenye hoja ya sources, au basi mention hapa hizo credible sources bni zipi ili tukileta habari tuwe tunaziquote?.........Zilijadiliwa hapa na watu waliumbuka sana nashangaa mmelileta tena. Baada ya mejenerali waliotangazwa kuuawa kuanza kuonekana wakiwa hai na wengine kujulikana walikufa muda kbl ya operesheni kuanzishwa na hata hawakufia vitani
Habari za kwamba urusi mpk sasa imepoteza wanapiganaji elf 60, unazikubali!? Tatizo sio source, tatizo ni credibility ya source.
Bottom line nilishasema na narudia kusema tena. Ushindi wa vita sio idadi ya majenerali waliobakia hai au waliokufa ni kutimia malengo ya vita husika. Ukraine mpk sasa hv amepoteza mia elf ya km za mraba kwenye nchi yake. Kama hii inafidiwa na mnaodai majenerali wa urusi waliofia vitani basi ya'll are more naive than i thought [emoji189]
hata km ni ngequote still ungeleta issue ya credibility na mi sifahamu kwako wewe credible sources ni zipi,Wewe umequote media gani!? Hebu onesha hapa kwenye hiyo taarifa ya mejenerali wa urusi kufa vitani ulivyoileta hapa uliileta kama quote kutoka media gani!?
Sioni nukuu ya media yeyote kwenye post zako za nyuma kuhusu hilo. Tafadhali nioneshe kama ipo. Nachokumbuka Baada ya kukuuliza ushahidi ukasema kama sikubali sawa na kama nakubali sawa. Au sio wewe uliosema hivyo!?
Lengo la mtu kuomba chanzo cha taarifa ni kutaka kujua ukweli, nothing more. Haina maana anabisha. Ungenipa source ningetulia wala usingeniona tena nalirudia jambo hilo hilo. Mambo mengi kuhusu vita hii mimi nayapatia hapa kutoka kwa wachangiaji. Mtu akileta taarifa nikiwa interested nayo nahitaji kufuatilia nijue asili yake so lzm niombe chanzo chake.
Nikiona hakuna chanzo cha maana basi naiterm hiyo habari kuwa uongo na propaganda. Kama habari uliyoileta wewe hapo
Wewe unaniambia mimi niamini na mimi sitaki kuamini nataka kujua!yeah ndio maana sikutaka kuendelea na mjadala coz nilijua utaendea huko, ndio maana nkakwambia we amini unavyoamini sababu swala la credibility ya source ni mtazamo wa mtu, kuna wengine kwao CNN kwao ni credible RT takataka wakati wengine ni vice versa, ndio maana sikutk kwenda kwenye hoja ya sources, au basi mention hapa hizo credible sources bni zipi ili tukileta habari tuwe tunaziquote?.........
mimi kukubali au kutokubali haifanyi habari kuwa ya uongo au ya kweli coz huo utakuwa ni mtazamo wangu tu, nawewe kutokubali kuwa majenerali wa urusi wamekufa vitani hakufanyi taarifa hzio kuwa ni za uongo huo ni mtazamo wako kulingana na utashi wako wa namna unavyofuatilia mambo, huwezi kusema kila taarifa usioiamini kuwa ni uongo kisa tu sources unazoziamin hazisemi hvyo au labda kwakuwa haimamke sense kwako hizo akili za wapi?Zilijadiliwa hapa na watu waliumbuka sana nashangaa mmelileta tena. Baada ya mejenerali waliotangazwa kuuawa kuanza kuonekana wakiwa hai na wengine kujulikana walikufa muda kbl ya operesheni kuanzishwa na hata hawakufia vitani
Habari za kwamba urusi mpk sasa imepoteza wanapiganaji elf 60, unazikubali!? Tatizo sio source, tatizo ni credibility ya source.
Bottom line nilishasema na narudia kusema tena. Ushindi wa vita sio idadi ya majenerali waliobakia hai au waliokufa ni kutimia malengo ya vita husika. Ukraine mpk sasa hv amepoteza mia elf ya km za mraba kwenye nchi yake. Kama hii inafidiwa na mnaodai majenerali wa urusi waliofia vitani basi ya'll are more naive than i thought [emoji189]
kuna watu walishauri hivyo ila wenyew wakawa wakwanza kuwaita wenzao mashogaNote kwa wachangiaji wote...!
Ndugu zangu kabla hamjafikia hatua ya kutukanana, mkumbuke kua kuna "Ignore' option mnaweza kuitumia kama aliye mbele yako taarifa zake zinakukera au hazja-fit matamanio yako.
Kutukana hasa matusi kwa wazazi wenu ambao hawajui hata mnabishania nini ni upumbavu wa hali ya juu. Kutukana hakuongezi busara wala maarifa.
You gah two options, either tujibu kistaarabu au kuacha kabisa inapobidi. We aren't forced, we aren't obliged by any kureply kwa kila anayequote vile venye umepost.
Hata kama tupo nyuma ya keyboard, Heshima ni kitu cha bure!
Ushauri wangu wa jana naurudia na leo, If you are too emotional achana na hizi mambo za Siasa. Politics is war, of course hata vita ni siasa pia. The less you know the easy for you to be manipulated.
So either tutulie au tuangalie mambo mengine ya kufanya ila si kutukanana matusi yanayohusu wazazi wetu.
Inakera!
Kwann sasa ?mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany
upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Inashangaza kwa kweliNimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]