Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
😅 😅 😅 😅
Yani unalinganisha kazi za academics na ushahidi wa hapa jf? Nyie huwa mnaleta source za kwenye vitabu au research nyingine.Kama unaandika thesis au dissertation halafu sources zako zikawa ni Wikipedia hakuna supervisor anayeweza kuipitisha kazi yako
Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
😅 😅 😅 😅
acha tu mkuu, hisia zikizidi ni changamoto sanaPro russia humu ndani mna ubishi wa kizamani wa kiha wale jamaa wa Kigoma. Hamkubali habari ambayo haifit matamanio yenu na mko tayari ku support uongo ambao unafit matamanio yenu.
Na ni watu mnaojinadi wasomi na wazee wa fact ajabu source zenu ni channnel za Telegram wengine wakija na source za Aljazeera na kina bbc mishipa ya shingo inawatoka kwamba ni Propaganda.
Kuna yule mpuuzi wa copy and paste naye anabeza source za wengine wakati alishawahi kubananishwa kwenye uzi akadai ni utafiti wake kumbe kacopy sehemu.
Huwa nashangaa hawa watu ni 'wasomi' wa wapi?
Vipi kuhusu nyie mnaojiita pro-NATO au Pro-West?!?! Nyie mko vizuri si ndiyo?!?!Pro russia humu ndani mna ubishi wa kizamani wa kiha wale jamaa wa Kigoma. Hamkubali habari ambayo haifit matamanio yenu na mko tayari ku support uongo ambao unafit matamanio yenu.
Na ni watu mnaojinadi wasomi na wazee wa fact ajabu source zenu ni channnel za Telegram wengine wakija na source za Aljazeera na kina bbc mishipa ya shingo inawatoka kwamba ni Propaganda.
Kuna yule mpuuzi wa copy and paste naye anabeza source za wengine wakati alishawahi kubananishwa kwenye uzi akadai ni utafiti wake kumbe kacopy sehemu.
Huwa nashangaa hawa watu ni 'wasomi' wa wapi?
Duuu live free of charge in hotel and hostelMuna uhakika Poland ni matajiri?
Poland will stop providing Ukrainians free housing .
The Council of Ministers of Poland has prepared amendments to the law on refugees, and the parliament must approve them in the coming days.
Today, around 80 thousand Ukrainians live free of charge in hotels and hostels.
Kuhusu Urusi kubadili makamanda kila phase nakubaliana na wewe na huwa ina upgrade makamanda kulingana na moto wao hata syria ilikuwa inaendesha operation yake kwa mtindo huo na aliekuja kupewa phase ya kutembeza kichapo cha mbwa mwitu ni huyu Gen.Sergei Surovikin A.k.A The hero of Russian federation.Ila Marekani inanistaajabisha sana!
Licha ya kuwa wanajitahidi kwenye teknolojia ya kijeshi (zana) lakini wanajeshi wake hawana ukomavu kabisa!
Vita vya Iraq walikuwa wanalia sana na machozi yanawatoka mapambano ya ardhini yakipamba moto. Wanajeshi wa UK ndiyo walikuwa wakipambana wakimsaidia mpaka wanapata msaada wa anga.
----------------
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa kila Russia wanavyobadilisha makamanda wa operation kuna phase mpya wanaingia.
kazi inaendeleaVijana wakakamavu wa rais zelensiky wanazidi kusonga mbele huko luhansik [emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
anakaribishwa sana ukraine,NAOMBA TUJIKUMBUSHE KIDOGO MOTO ALIO UWASHA JAMAA HUKO SYRIA NDANI YA MIEZI MITATU TU AKAWAFURUSHA MAGAIDI NA USA KWENYE UWANJA WA VITA.
Mnamo 2015 Urusi ilipeleka Syria kikosi cha askari takribani 65000 tu baada ya kuombwa msaada wa kijeshi na serikali ya Syria iliyokuwa ikipambana na vikosi vya kigaidi vilivyokuwa vinaongozwa na USA&mashoga zake,. Wakati Russia inaingilia operation hiyo (millitary operation intervention) ilikuta vikosi vya serikali ya Syria vipo hoi bin tabani na serikali ishapoteza majimbo mengi dhidi ya ant-government troops backed up by USA and NATO. Ndipo ilipoanza mipango ya kuimarisha vikosi vya serikali ya Syria na kuanza kuwasha moto dhidi ya hao magaidi wa USA. Na hapo ndo USA na ulaya yote ilipomtambua huyu mbabe wa Vita General SV.
KIAJE GEN. SV ALIKUWA MWIBA KWA USA NA MAGAIDI WAKE?
Mnamo June 2017 Russia ili upgrade moto na kumteua mwamba wa operation za kijeshi Gen.Sergei Vladimirovich Surovikin kuwa kamanda in charge wa operation ya Syria, na hapo ndo moto wa kisoviet ulianza kuwashwa na huyu mwamba, mpaka kufikia Sept 2017 (yaani miezi mitatu tu ya ukamanda wake) tayari alikuwa ashafanikiwa kurudisha zaidi ya asilimia 50% ya majimbo yaliyokuwa yamechukuliwa na magaidi, na rasmi Russia ikatangazwa kama mshindi wa hiyo operation dhidi ya vikosi vya magaidi na USA kupitia huyu mwamba wa Vita. Ilipofika mwezi October 2017 mwamba akapewa ukamanda wa jeshi la Anga (Commander of the Aerospace Forces) baada ya kumaliza kilicho mpeleka Syria. Mnamo june mwaka huu Mwamba alipelekwa Ukraine kwenda kuongoza vikosi vya russia kusini mwa Ukraine ambapo alivipelekea moto vikosi vya Ukraine Donbas kutoka kusini mwa Ukraine na mafanikio makubwa ya SMO huko Kusini mwa Ukraine na Donbas kwa ujumla.
Hizi ni baadhi ya tuzo za kijeshi alizo wahi kutunukiwa huyu mwamba wa operation za kijeshi
la Vita)
☆ THE HERO OF THE RUSSIAN FEDERATION IN DECEMBER 2017☆ (Baada ya kuwachakaza USA na magaidi wao Syria)
☆Order of the Red Star☆
☆The Order of Military Merit☆
☆The Order of Courage three times☆(Mwamba ndo mtabe wa vibe ya vita)
MWAMBA NAE NI KARBA YA KINA PUTIN TU SIYO MTU WA KUCHEKA WALA KUTABASAMU, 24/7 NI WAMBUZI TU.
Huyo ndo Mbabe wa Vita vya ardhini na Angani Gen. Sergei Vladimirovich Surovikin ambae tutashuhudia siku si nyingi Ukraine inalia na kusaga meno kwasababu ya hasira na vibe la huyu Mwamba anapokuwa kwenye OP ya kijeshi.
View attachment 2381540
Aaah shukran MKUUHiyo fracking ni kemia ya hali ya juu kidogo, mchanganyiko wa gesi ambazo nyingine si nzuri kwa mazingira. Wanasukuma huo mchanganyiko kwenye miamba yenye mafuta na kuipasua kuchukua vipande (shales) kukamua mafuta. Ni kama wanalazimisha mafuta machanga au deposit isiyotuama.
Mpaka hapo ushaona ilivyo expensive, makampuni yanayofanya hivyo huchukia bei ya mafuta ikishuka maana hawafikii breakeven. Ukiuza mafuta kwa labda $80 kwa pipa wa fracking hawaitumii mpaka angalau wajue uhakika wa kitu kama $105 hivi kwa pipa.
Inachafua hewa na kuchafua vyanzo vya maji ardhini
Tuko vizuri kivipi? Hapa nimezungumzia mtu kubeza kuhusu source za wengine. Habari kama huamini unaipotezea sio kukomaa na ubishi wa kijinga.Vipi kuhusu nyie mnaojiita pro-NATO au Pro-West?!?! Nyie mko vizuri di ndiyo?!?!
Haya majeshi Yana sera tofauti kabisa wenyewe wanaitwa military doctrine hivyo kwa upande wa Urusi General anaongoza akiwa mstari wa mbele na sio kuamrisha NCO pekee huku yeye akinywa kahawaHuyo naye ni kiazi ,yaani Jeshi la Russia wakubali kuadmit in humiliation ya loss ya general WA jeshi ,hivi anajua aibu ya kupoteza general WA jeshi kwenye battle front ?
Mmarekani amepigana vita Iraq na Afghanistan miaka 21+ hajawahi poteza general hata mmoja Mrusi ndani ya miezi 7 kapoteza lundo .
Russia ni jeshi la kipuuz ,halina infantrymen kwenye battle front ndio Maana wanawalazimisha hao mageneral kuingia battle front kama infantry men na huko wanapasuliwa vichwa na snipers WA Ukraine .
Jeshi ambalo liko desperate karecruit watu WA ovyo walevi WA mitaani na wafungwa Hilo ni jeshi au migambo ,that speaks alot about misorganisation na lack of man power
tumeleta kamanda mpya, zile habari za kuacha vifaru nyuma na kutoroka kwa kutumia baiskeli na mikokoteni ya wakulima zinabaki kuwa historia, habari imfikie zelenskyy