Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

anakaribishwa sana ukraine,
Ashakaribia mzee, na bila shaka leo mapema tayari moto ushaanza kuwaka huko Zaporizhzhia..
Ujio wake ni taarifa mbaya sana kwa jeshi la Ukraine maana wakikumbuka alicho wafanya kati ya mwezi "June to August" hawataki hata kumsikia, USA ndo hawana hamu nae kabisa alichowafanya Syria.
Mwamba huwa anaamini usemi unaosema,

"THERE IS NO MERCY IN THE BATTLEFIELD"
 
Anataka umletee habari kutoka "mainstream media" za Russia, walichosema Putin, Medvedev na Shoigu[emoji16]
 
General kuongoza akiwa mstari wa mbele ni mfumo ulioutumika enzi za feudalism karne ya 15, kama ndio mfumo unaoutumika Russia ilibidi Putin ambaye ni amiri jeshi mkuu atoke kwenye bunker yake aende mstari wa mbele kabisa vitani.
Haya majeshi Yana sera tofauti kabisa wenyewe wanaitwa military doctrine hivyo kwa upande wa Urusi General anaongoza akiwa mstari wa mbele na sio kuamrisha NCO pekee huku yeye akinywa kahawa
 
Kwauchache nlosikia pale DW

Wanasema jamaa katili alipigana kule CHECHNIA miaka kumi kwenye ile CTO akawamenya haswaaa

Akaja hapo kwa IS kule SYRIA pia akawamenya haswaa

Sasa kapelekwa UKRAINE nna imani napo atawamenya haswaaa

Acha tungojeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge mmoja tu kutishia US iondoe majeshi yake Saudi Arabia na UAE ndio mnapiga kelele hivi[emoji16], mnaogopa Houthi wa Yemen wanaopewa nguvu na Iran watalipua visima vyote vya mafuta uncle Sam akiondoa mkono wake??!
Ushirikiano wa USA na Saudia sio wa demokrasia, ni wa ulinzi, biashara na mafuta. Kama Saudia wanaona huo ushirikiano hauna faida kwao watafute mwenye nguvu mwingine wa kuwapa ulinzi[emoji16]
Hizi sasa ndio sera za US. Sera za vitisho.

Wanaubiri "Democracy" lakini nchi isipofata matakwa yao inakuwa ni adui mkubwa Sana kwao na hapo hapo ndio wanaubiri Mambo ya nchi kujiamulia Mambo yake. Pure controversial...
 
moja ya structure zinalindwa sana ni Daraja nilipata ajali jana, yaani kama Ukraine, au some elements ndani ya Russia wenyewe wanaweza kufanya jambo kama lile, basi hata viongozi wa juu wa Russia hawako salama kabisa
basi hata viongozi wa juu wa Russia hawako salama kabisa

[emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu mnafuatilia hii operation kwa kile kinacholetwa kwenye huu uzi tu ndo maana mpo out dated kwa matukio mengi sana, hamjui SMO ilipo toka na ilipo.
Aliekwambia Gen.Surovikin ndo ameenda Ukraine jana baada ya kuteuliwa ninani?
Mwamba kaingia Ukraine tangu june na hakuna asiejua kipigo walichopokea Ukraine kutokea mwezi june mpaka August na hakuna asiejua kama huo moto ndo matokeo ya Ukraine kupoteza zaidi ya 15% ya ardhi yake.

Sema nini Mwamba, Nisahihi kabisa kwa wewe mla viazi wa Namtumbo kutojua uwezo wa huyo General, hilo suala waachie ma general wenyewe kama huyu General alivyosema juu ya huyo General mwenzie baada ya kukutana na moto wake;
"Commander Surovikin knows how to fight with bombers and missiles β€” that’s what he does" Gen. Kyrylo O. Budanov, the head of Ukraine’s military intelligence service, said in June.

Wewe endelea tu kupambania tonge hapo uswahilini, SMO tuachie sisi tutakuletea kile tunachoona kipo ndani ya uwezo wa akili yako.
 
Kwenye porojo zako zote umesahau kuweka hii ya zaidi ya 50% ya silaha za nuclear za US zinabebwa na nyambizi zilizotawanyika kote duniani. Itabidi Russia wakianza kushambulia West kwa nuclear wazikusanye na submarines zote za West sehemu moja wazimalize kabla wao hawajamalizwa.
 
Boss, kama ukipewa uongozi wa Ukraine sasa hivi, utachukua maamuzi gani kwa ajili ya nchi kuhusu hali iliyopo?
 
russia akichukua odessa itakua pigo kubwa sana kwa ukraine na wamagharibi, yaani urusi itakua imeunganika moja kwa moja na ukraine na transnistria by land hapa putin atakua ni wazi amewin pakubwa mno, vita ya odessa itakuwa na balaa sana aisee
Kabisa
Na sioni akiiiacha
Ila muda utaongeaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Media propaganda
Kama unasikia vizuri lugha ya malkia utaelewa kinachoendelea uko Ukraine, huyo anayeelezea the real picture ya Vita uko Ukraine ni commando mstaafu wa jeshi la Marekani anaelezea vizuri jinsi Western media zinavyofanya propaganda chafu kuadaa dunia kinachoendelea uko Ukraine lakini mambo yanayoendelea uko ni tofauti na kichoripotiwa na Western media. Russia wanafanya matusi makubwa uko Ukraine, na strategies za Russia ni pamoja na kuangusha uchumi wa Europe na America ambacho kwa kiasi kikubwa amefanikiwa sana, leo hii exchange rate ya pounds na tshs ni 2,600 badala ya 3,300 Sasa hivi ukitaka kuagiza mzigo UK ndo muda wake unapata kwa bei raisi Sana kwa pesa zetu za madafu.

Msikilize jamaa hapo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…