Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kamanda Mpya Pasua kichwa [emoji30]

View attachment 2382288

[emoji635][emoji1255] [emoji298] The new commander of the SMO started the working week with a bang. Explosion in the center of Kiev.. Explosions are also reported in Dnepropetrovsk.
Inasemekana hapo yupo anatest mitambo tu, Mission yake itaanza rasmi msimu wa baridi ukishaanza.

Na inasemekana Mwamba mission zake za OP huwa havushi miezi mitatu ashamaliza kazi na kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.

Inasemekana target zake nyingi huwa decision centers ndo maana unaona kaanza na kyiv center walipo decision makers wengi. Anaamini Mwili ni kichwa nasiyo Mkia, hivo huwa anaanza kupiga kichwa kwanza ndo anamalizia mkia.

Inasemekana huwa anatembeza moto kwa kutumia bombers na missile nzito kiasi cha kwamba hadi opponents wake huenda kwenye commanding center yake kuomba yaishe. (Mfano hai ni Makamanda wa USA huko Syria).

Call him General Sergei Vladimirovich Surovikin
#The hero of Russian federation [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Na nimeshawaaambia hawa Tangia mwanzo kama sio Uncle Sam kuwa pale Saudia Arabia hiyo monarchy isingekuwepo mpaka muda huu tunaoongea hapa .Saudia Arabia ingekuwa kama shitholes nyingine Tu za hapo middle East mfano Yemen ,Syria nk Tu. Achilia mbali maeneo kama Kuwait ambayo Marekani alijiyoa Sana kuwalinda dhidi ya annexation ya Yule gaidi Saddam Hussein kwenye gulf war .
Na wale wapersia walivyo na chuki na hiyo monarchy ,watawala nyama nakwambia .
 
Kyiv, Lviv, Dnipro
Under missile attack
Sirens all over ukraine


Leo Urusi anatuweza leo

Twahitaji defences za uhakika kwa upesi
Makombora yake hayana accuracy ataishia kupiga barabara na apartments kufurahisha wafuasi ila nikicheki ile video yale makombora mawili yaliyopiga lile daraja ni hatari sana sijui yametokea wapi sio kwa kasi ile hata mrusi ameshindwa kutambua anasingizia ugaidi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mpuuzi hizo battles dhidi ya wavaa kobaz walio na bunduki dhidi ya modern army kama ya Ukraine wewe unaweza Fanya comparison hapo kama Una akili ?
Au akili yako IPO matacleni
Kenge weww
 
Wewe mzibua vyoo WA mazense unaandika rubbish ,pumbaf harufu ya kinyesi kwenye vyoo vya wahindi imekuharibu akili mpaka huwezi kuandika bila kutukana watu ,
Mbw@ Koko wewe
 
Uko 'sahihi' kabisa.....silaha za nyuklia za Russia ziko nchi kavu tena basi kwenye maghala ya ngano
 
Kyiv inapigika sana leo....

Nadhani ni wakati sasa Marekani atoe zile atacms ili tuweze shambulia ndani ya Urusi kabisa, haiwezekani kwa huu uhuni waufanyao

Au tupewe air defences

Najua baada ya haya mashambulizi lazima tutapewa vifaa vya maana
 
Daraja halija pigwa kwa kombora bali ni gari iliyobeba bomu kulipuka tuondolee utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…