Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe mzibua vyoo WA mazense unaandika rubbish ,pumbaf harufu ya kinyesi kwenye vyoo vya wahindi imekuharibu akili mpaka huwezi kuandika bila kutukana watu ,
Mbw@ Koko wewe
Hahahah! Mkuu hebu shusha hiyo temper kwanza, yani kutukana utukane wewe halafu uniambie mimi ndo natukana..

Sijawahi kuandaka bandiko la matusi mimi kwenye huu uzi na siyo muumini wa matusi kama wewe, pengine kwenye huu uzi wewe ni mgeni ndo maana unaona ukiambiwa "mla viazi wa Namtumbo" unaona kama umetukanwa tusi la ukoo wakati watu tunaitwa Warusi wa buza na bado tunachukulia normal tu

Ok ngoja nikuache maana kila akili hutafasri mambo kulingana na ilipo, Akili iliyopo kichwani haiwezi kuelewa na kutafsiri mambo sawa na akili iliyopo kiunoni.

Pole sana mkuu kwa kujaa bila sababu, jikaze tu utazoea kadri siku zinavyoenda, hata sisi tulianza hivo hivo kwa viasira vya ajabu ajabu wakati tunaingia rasmi kwenye huu uzi ila kwasasa tushakomaa na matusi kwetu si kitu tena.

Turudi kwenye lengo mama la huu uzi, "yanayojiri kwenye mgogoro wa Ukraine na Urusi"
 
Yaani Russia ni mweupe hivyo hana defence systems za kuzuia makombora hadi ardhi yake inashambuliwa?

Mbona tuliaminishwa kwamba S-400 sijui S-500 ni defence systems bora kabisa ulimwenguni kuzuia mashambulizi ya aina yoyote.
We jamaa unaishi Dunia gani?Nways,daraja la Crimea halikuwa attacked na missile Bali bomu lililobebwa kwenye gari!Sasa unahusianishaje air defence na bomu la kujitoa muhanga?Akili nyingine bhana!
 
Tuliwaonya mapema hamkutaka kusikia. Ile Ukraine kukomboa maeneo na majeshi ya Urusi kuretreat ilikuwa ni game inapangwa. Saizi tunawabebesha majukumu mengi kwa pamoja ili tupate wasaa mzuri wa kuyateka vizuri majimbo 4. Huwezi kukomaa Kherson wakati Kyiv inawaka moto
 
Miundombinu 11 muhimu yalipuliwa kwenye miji 8
Hivyo kusababisha maji, majimoto na umeme kutopatikana

Ukraine yasema inarekebisha miundombinu hiyo, raia watakiwa endelea bakia kwenye nyumba zao za kujificha
 
Kwa mara ya kwanza leo nimeamka na tabasamu. Tabasamu lililoletwa na kile russia army walichokifanya kwenye miji ya Ukraine ikiwemo Kiev. Tangu ujio wa vunjo na kp kipanya44 kwenye huu uzi, kwa jinsi walivyokuwa wakiripoti hasara na vifo toka kwa jeshi la russia. Nilikuwa mnyonge lakini leo kwa kweni nina furaha kubwa kabisa na ningependa kuona hiyo miji ikipata kichapo kwa mfululizo kwa hata miezi miwili ili akili za zele zikae sawa.

Russia leo mmenifuragisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…