Ukapimwe mirembeKwa mara ya kwanza leo nimeamka na tabasamu. Tabasamu lililoletwa na kile russia army walichokifanya kwenye miji ya Ukraine ikiwemo Kiev. Tangu ujio wa vunjo na kp kipanya44 kwenye huu uzi, kwa jinsi walivyokuwa wakiripoti hasara na vifo toka kwa jeshi la russia. Nilikuwa mnyonge lakini leo kwa kweni nina furaha kubwa kabisa na ningependa kuona hiyo miji ikipata kichapo kwa mfululizo kwa hata miezi miwili ili akili za zele zikae sawa.
Russia leo mmenifuragisha sana.
Sawa tu. Tunahitaji russia imara kwa sasa kuliko wakati wowote.Ukapimwe mirembe
π·πΊπΊπ¦β‘ Ukrainian media publish an approximate map of today's explosions in major cities.
View attachment 2382498
Kila kona hali mbaaya.
Daah,unafeli wapi?Nimewaambia humu, huyo jamaa nyege zinamsumbua..,kwa kumuangalia tu unaona jamaa amekaa kimama mama, wanaume wa ukraine wakimpakata ndo atapata akili [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipigo cha mbwa mwiziRussia imeshindwa battlefield inahamia kupiga mijini.View attachment 2382460View attachment 2382458View attachment 2382459
Huwa napenda comment zako sio matusi wala ushabiki ni mapenzi mazuri na ukweli. Binafsi naipenda Urussi kwa kuwa siipendi NaTo hususan huyu US kwa agenda zake ambazo ni immoral lkn nawapenda ulaya na hata Ukraine.Kyiv, Lviv, Dnipro
Under missile attack
Sirens all over ukraine
Leo Urusi anatuweza leo
Twahitaji defences za uhakika kwa upesi
We haven't started anything serious yet Khokhol wa October 8 na October 10 be like πhayo ni matokeo chanya ya kamanda mpya wakuitwa Sergei Surovikin
hahahahaKhokhol October 8 na October be like π
View attachment 2382505
Kweli hayana accuracy kama alitageti kupiga office za SBU na ya Rais alitakiwa aipasue sio kupiga karibu na ..Mashambulizi ya leo ni kama ya siku ya kwanza ya uvamizi...
Ila uzuri hana accuracy yeye anapiga popote tu.
Air defences zahitajika sana
Wameingia kwenye mapango si tulisikia wamepeleka air defence Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]US EMBASSY IN KIEV:
"The U.S. Embassy urges US citizens to shelter in place and depart Ukraine now using privately available ground transportation options when it is safe to do so
ni jambo jemaLukashenko, Rais wa Belarus katangaza kuingia vitani dhidi ya Ukraine, akiituhumu Ukraine kutaka ivamia...
Ataungana na UlUrusi kuunda jeshi la pamoja dhidi ya Ukraine
Mmeanza kulialia,tuliwaambia Ukraine aipuke kushambulia Russian territory,mkacheka sana daraja kulipuliwa!Tulieni dawa iwaingie!Russia imeshindwa battlefield inahamia kupiga mijini.View attachment 2382460View attachment 2382458View attachment 2382459
πππ Wameingia Kwny geto la popobawa kinyumenyumeWameingia kwenye mapango si tulisikia wamepeleka air defence Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unatia huruma aisee!Jamaa anawatuma wenzake front line huku akiendelea kujificha kwenye andaki kama nguchiro [emoji2][emoji1787]View attachment 2382461
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanakataa chanjo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marekani yataka Raia wake kuondoka Kyiv
Makombora 41/75 yametunguliwa
Shaheed za Iran ndo zimetumika kwa wingi
Miundombinu ya umeme ndo imelengwa
Kuna vifo kadhaaa
Ukraine yaapa kulipiza