Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lukashenko, Rais wa Belarus katangaza kuingia vitani dhidi ya Ukraine, akiituhumu Ukraine kutaka ivamia...
Ataungana na UlUrusi kuunda jeshi la pamoja dhidi ya Ukraine
Mkuu hii ni chai.
 
Uvamizi ulipoanza February Ukraine ilishambuliwa kutokea ardhini, angani na baharini kutokea mipaka yote ya Russia na Belarus. Putin na Russia yake watajibiwa kadri inavyostahili, West huwa hawakubali kabisa kuwa bullied au kutishwa na magaidi.
Mambo yatakuwa mabaya sana kwetu, tusiposaidiwa leo, tutakuwa na hali mbaya.
Belarus kaingilia mchezo, kasema NATO wana mpango wa kumtoa.
Hadi sasa hatujasikia kutoka upande wa NATO, zaidi ni military assets ziko airbone
 
Uvamizi ulipoanza February Ukraine ilishambuliwa kutokea ardhini, angani na baharini kutokea mipaka yote ya Russia na Belarus. Putin na Russia yake watajibiwa kadri inavyostahili, West huwa hawakubali kabisa kuwa bullied au kutishwa na magaidi.
Jidanganye hakuna wa kumgusa putin.marekani wenyewe wanaogopa kwenda moja kwa moja vitani na urusi.
 
Lukashenko, Rais wa Belarus katangaza kuingia vitani dhidi ya Ukraine, akiituhumu Ukraine kutaka ivamia...
Ataungana na UlUrusi kuunda jeshi la pamoja dhidi ya Ukraine
Lukashenko akitangaza vita ana uwezekano mkubwa wa kupinduliwa. Jeshi lake haliko na uwezo kununua ugomvi na raia wanamlia timing. Kashafanya vikao vingi na Putin ila anarudi anakuwa kimya. Yuko under pressure. Kuna foreign intelligence agencies zinatazama his moves
 
Janaa wakati naleta bandiko la kumuelezea jamaa na moto wake anapokabidhiwa operation ya kijeshi kutetea taifa lake, baadhi ya watu humu waliona kama naendeshwa na mahaba binafsi.

Nadhani sasa kila jicho limeona na kila sikio limesikia mziki wa Gen.Sergei Surovikin, huyu mwamba ni hatari mno kwenye utumiaji wa bombers na missiles na wanajeshi wa Urusi wanamkubali sana na huwa wanapata morali ya ajabu akiwa commander in charge wao.

Nafikiri ambae hakuelewa CV ya mwamba uliyoileta humu na lile bandiko langu, leo ndo ataanza kuelewa Gen.Surovikin ninani.

Mwamba haamini uwepo wa rehema kwenye uwanja wa mapigano. Bila Rais putin kumuomba apunguze moto wake ni suala la wiki kadhaa tu Kyiv anaigeuza Jivu.
 
Mr Majanga ficha majanga yako Wachina, EU na Wajapan wakikusikia watakucheka sana[emoji16].
Katika ujinga ambao USA hatakiwi kuufanya ni kukata mawasiliano na na nchi za kiarabu maana hao ndiyo wanaofanya dollar iendelee ku survive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…