political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Habari nzuri izi sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] leo siku yetu pro Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635]
[emoji736][emoji298][emoji298][emoji298]The evacuation of Western ambassadors from Ukraine has begun, all Western are leaving the country in a hurry[emoji298][emoji298][emoji298]
Itakua Wana Intel ya kinachofuata🤣🤣🤣🇷🇺
✅⚡⚡⚡The evacuation of Western ambassadors from Ukraine has begun, all Western are leaving the country in a hurry⚡⚡⚡
Wewe kuwaona wa maana inawapunguzia au kuwaongezea Nini?View attachment 2382640
hawa jamaa wanaliogopa jeshi la ukraine kuliko raia wake.
haya makombora zaid ya 80+ yangepiga vikosi vilivyo mstar wa mbele wa mapambano kwenye miji ya kherson ambapo jeshi la ukraine [emoji1255] linasonga mbele ningewaona wa maana sana.
shame on Russians.
Kwa kipigo hikiVP aliposema anaweza kuipiga UK kwa dakika tatu ni kweliView attachment 2382615
Salam ya "Pacha" wa Mr Tyang katika mwanzo wa kua in charge of operation 😂😂😂
👇
🇷🇺 🇺🇦 The result of today's missile strikes:
🔥💥 The following cities were hit:
🔥💥 Strikes on important objects:
- Kiev
- Dnepropetrovsk
- Kharkiv
- Zaporozhye
- Ternopil
- Odessa
- Krivoy Rog
- Lviv
- Zhitomir
- Rivne
- Nikolaev
- Krapivnitsky
- Kremenchuk
- Konotop
- Glavk SBU (Kiev)
- CHPP-5 (Kiev)
- CHPP-6 (Kiev)
- Lviv CHP (Lviv)
- Burshtynska TPP (Ivano-Frankivsk region)
- EU Advisory Mission (Kiev)
- Department of law enforcement agencies (Kiev)
🔥💥Metro in Kiev and Kharkov stopped
🔥💥 Light gone on:-
🔥💥 In many cities of Ukraine, there are problems with water supply and the Internet.
- Lviv
- Zhitomir
- Sumy
- Kharkiv
- Khmelnitsky
- Poltava
- Ternopl
- Lutsk
- Rivne
Medvedev anasema hii ni episode ya kwanza, zingine zitafata so soon.
Na mie kama Jasusi wa mchongo nasema kuna Season 10 na kila Season ina Episode Million, Episode pekee iliyo na mda mfupi ni hiyo iliyokwisha.... Just kidding .
By the way tuweke kwenye kumbukumbu tu kua hayo yote yamefanywa in less than 10hrs!
Wanaogopa kubakwa kavukavu mbwa hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635]
[emoji736][emoji298][emoji298][emoji298]The evacuation of Western ambassadors from Ukraine has begun, all Western are leaving the country in a hurry[emoji298][emoji298][emoji298]
Hawana wangesha pigakwani unafikiri Ukraine hawana za kupiga hadi Moscow? mwambie asitambe sana watu wanamchora tu. Si ana kila aina ya Scan pale darajani muulize bomu limepitaje pitaje?
.Hii ni fatal mistake, hizo nchi za uarabuni zikisema kuwa hawatumii dollar, basi dollar inaenda kuwa toilet paper maana hata Sisi bongo tutaanza kutafuta yuan ili tununue mafuta hii itasababisha hata akiba za mataifa mengi kubadilika kutoka dollar maana matumizi makubwa ya serikali hayahitaji dollar
Magaidi lazima yashughulikiwe!😆Kuvunja daraja ni ugaidi na anaye vunja barabara,hospital, majengo ya makazi ya watu ni nani?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aiseeMakombora hata Urusi yanaweza kutumwa vile vile na Wa Ukraine wanachomzidi Vlad ni mipango na courage ya kupambana.
Kungekuwa na huo uwezekano wangeshafanya mda sana....Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Urusi yuko Njema nyie, kujaribu kulipua Daraja tu, ametembeza kichapo kwa miji karibu 10. We unahisi Ukraine akirusha kombora lolote hata liwe blocked na system za Urusi, atakula kichapo mwanzo mwisho.Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Unadhami kipigo kama Cha Leo kikiendelea kwa siku kama tatu nini kitafuata??intelligence service ya Russia ilimhakikishia Putin kwamba Ukraine ni wanyonge na watajisalimisha kama walivyofanya Crimea
Mmmh!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kwa mkwara hajambo !! eti hajaanza chochooote yaani - teh teh tehBack in July 2022
View attachment 2382553
Putin "We haven't even started anything serious there yet..."