Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakipiga kibomu kimoja Moscow hiyo itakuwa ticket yao ya kufutwa katika uso wa dunia
Wenyewe wanalijua hilo ndio maana hawathubutu kufanya hivyo
kwani unafikiri Ukraine hawana za kupiga hadi Moscow? mwambie asitambe sana watu wanamchora tu. Si ana kila aina ya Scan pale darajani muulize bomu limepitaje pitaje?
 
Ila hii SMO naona inaelekea ukingoni, muda si mrefu, Kiev itaomba kumaliza kwa negotiations (Mezani) maana serikali zinaenda kuanguka na ukiweka aya maamuzi ya OPEC na OPEC+ hali inaenda kuwa mbaya zaidi, mzigo wote anaachiwa USA kwa Ukrain. Vikwazo vinasababisha wananchi kuandamana na kutaka hadi baadhi ya nchi zijitoe NATO na EU ikiwemo France. Wanasiasa kule ujerumani wanaanza kumkataa Chancellor wao baada ya Nord strm kulipuliwa na inaonekana USA na baadhi ya west wanataka kusabotage Uchumi wao na washadeclare hakuna silaha ya ujerumani itakayoenda Ukrain kwa sasa.
 
Ila jamani tukubaliane, Urusi ana uwezo sana kijeshi. Unajua alichokifanya leo kupiga nchi nzima yenye ukubwa ule sio jambo nchi nyingi zinaweza
anatumia 10% ya uwezo wake, akiingia kwa 30% , Ukraine inabakia majivu tu

Ukraine anavimbishwa kichwa na homos wa magharibi huku akila kichapo peke yake
 
Mkuu,ikifika winter kitaeleweka wananchi sasa hivi wanaandamana kishkaji, subiri winter ifike dadeq
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…