Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
πππ Safi Sana,hakuna kipigo cha kuongezea morali zaidi ya kukata tamaa namaumivu.
Safiii sana, acha warusi enzi za ujimaPower plant ilipigwa ndio maana umeme umekataView attachment 2382705
Habari nzuri sana hizi. Unastahili kutumia hiyo avatar kabisa.Ila hii SMO naona inaelekea ukingoni, muda si mrefu, Kiev itaomba kumaliza kwa negotiations (Mezani) maana serikali zinaenda kuanguka na ukiweka aya maamuzi ya OPEC na OPEC+ hali inaenda kuwa mbaya zaidi, mzigo wote anaachiwa USA kwa Ukrain. Vikwazo vinasababisha wananchi kuandamana na kutaka hadi baadhi ya nchi zijitoe NATO na EU ikiwemo France. Wanasiasa kule ujerumani wanaanza kumkataa Chancellor wao baada ya Nord strm kulipuliwa na inaonekana USA na baadhi ya west wanataka kusabotage Uchumi wao na washadeclare hakuna silaha ya ujerumani itakayoenda Ukrain kwa sasa.
Namna hii, habari kama hizi zanipa furaha kabisaaaaUkrainian media report new explosions in Kiev, Poltava, Kremenchug
Now atakuwa anawindwa kama Kassim Suleiman.MWAMBA AKICHAGUA VIFAA [emoji482][emoji482][emoji482]
View attachment 2382410
Wale jamaa wa Chechnya wanatembea na mafuta sikioni aise,lazima walale mbeleπ€£π€£Wanaogopa kubakwa kavukavu mbwa hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Britain sent a reconnaissance aircraft to the borders of Ukraine
Wakileta fyoko fyoko, wanaongezewa tu dozi πππ UE na NATO lazima viangukeHadi UN ya mashoga na wezi imelia Leo, yaani toka SMO ianze Leo mtu kanyanduliwa vizuri π€£π€£ Huyu Genarali mpya ni shida dadeq π·πΊπ·πΊπ
β β‘β‘β‘UN Secretary General AntΓ³nio Guterres is "deeply shocked" by Russia's biggest airstrikes since the start of the war in Ukraine, a UN spokesperson said ... we don't give a https://jamii.app/JFUserGuideβ‘β‘β‘
ππππππ€£π€£π€£πππππ€π€π€π·πΊπͺπͺHakuna wa kumpindua Rais mwenye Support ya Russia tuliona kwa Bashar Al Assad
Namuongezea tu na tukaona pia kwa NIKOLAS MADURO
Yaani kiufupi jamaa yuko kwenye mikono salama sana ya KREMLIN
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kudanganyana kama haya ndio yanaiponza Ukraine, utakisika slava Ukraine, slava Ukraine. Au utasikia go Zelensky, go Zelensky. Mwisho wa siku wanajaa vichwa na kupigika kama watoto.Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Aisee pole sana alikuwa ni mumeo!Putin umeuvunja moyo wangu [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji2]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Alisikika kibwengo mmoja kutoka kwenye dimbwi la maji takaNi Ujinga kufikiri Putin ataishinda Dunia, ku violet sheria za kimataifa kuhusu usalama ni kujipalia makaa, kutamba kwamba katika vita hii hajafanya chochote cha kushangaza ni dalili ya vitisho vya woga.