njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Pale darajani alipigwa nani?Dictator anapiga makombora miji ya watu tu
Mkuu,maeneo ya Counter offensive yameanza kurudi 👇👇
Atadundwa kama Ngoma[emoji1787]Putin akiamua hata leo kuimaliza uk anamaliza nimejifunza leo uwezo wake
Leo mmetuweza tunapita kimya kimya[emoji1787]
Kuna watu humu walikuwa wanasema Urusi hawezi kufanya mashambulizi yoyote Kiev kwa kuwa kuna Jeshi imara sana.
Tukawambie Urusi kutoingia Kiev ni wao watakuwa wameamua na sio kuwa Kiev INA ulinzi sana,sana yako wapi?
Kumbe kichapo kilichotolewa leo na Urusi huko Ukraine ni kukubwa mnoo, hakijawahi kugaiwa popote toka vita ya Ukraine kuanza
Si ndio hivyo mkuu T14 Armata?
View attachment 2383018
Kama vile Bush na Obama hawakuwahi kufikishwa kizimbani ndivyo na Putin piaKizimba kinamsubiri mtu. ,Ni suala la muda tu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2382972
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tulia,maeneo yanaendelea kuondoka budaUrusi haijaingia Kyiv, walichofanya leo ni kama wale wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon wanavyovurumisha makombora kwenye miji ya Israel
Na yamefanya uharibifu wenye thamani ya Tril 20.6 za TZMissiles zilizotua Ukraine zina thamani ya Tril 1.7 za Tz
We mwanamke inaelekea una gubu sana, mumeo ana kazi mno? Mmefanikiwa kupata mtoto lkn??Ndio maana urusi akiambiwa afanye mashambulizi kama alivyofanya Leo kwa siku tatu mfululizo huo uwezo Hana.., vikombora vyenyewe alikuwa amevitunza kama nguo za sikukuu, maana vikwazo vya west vimembana sana kuwa na silaha kama hizo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
De escalation !!!China ameshauri dozi iongezweView attachment 2383026
Hiyo miaka 2000 iliyopita, je wewe ulikuwepo mpaka ujua hiyo miaka ilivyokuwa?Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...
Dunia hii ina intelligencia yake kubwa mno...kichaa mmoja hawezi kuamua upumbavu wa kutuletea vita kuu ya tatu sababu ya ujinga wake.
Vita vya nuclear inaweza kuirudisha nyuma dunia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watakaosalia
He will be fixed soon.
I love OddessaMkuu,maeneo ya Counter offensive yameanza kurudi [emoji116][emoji116]
[emoji3544][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
[emoji635]There are reports that Russian forces recaptured #Terny, north-east of #Lyman.
[#Donetsk frontline] https://t.co/Qk0HbLnJhw