Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1256][emoji635]Cooperation between Russia and the UAE is aimed at creating stability in the global energy markets.

The main thing from Putin's meeting with the President of the United Arab Emirates:

Russia and the UAE are actively working within OPEC+, Abu Dhabi's decisions are not directed against anyone.

The Presidents of the Russian Federation and the UAE will also discuss issues related to the situation in Syria.

Subscribe to @Sputnik
 

Putin ni Rais poa sana mataifa yanayojielewa wanamjua hanaga shida ila hawa west wanamchezea sharubu
 
✅⚡⚡⚡A criminal case will be opened in Russia against the Estonian Foreign Minister.
The Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation will make such a statement to the Prosecutor General's Office, Maria Zakharova said
The reason is the provocative statements of Estonian Foreign Minister Urmas Reinsalu, who justified the terrorist attack on the Crimean Bridge⚡⚡⚡
 
Nililoliona ama kulihisi kwauchache kupitia haya mashambulizi ya jana

Jamaa anajua kama winter ipo njiani hapo december na wanajua kama UKRAINE wanauza umeme kwabaadhi yamataifa ya NATO na EU nawashirika wao pia hapo EU

Kwahio ilikua lazma miundomsingi yaumeme ya UKRAINE igeuzwe majivu ili UKRAINE watumie ule umeme wanaouza nje kujitosheleza wenyewe

Halaf huku NATO na EU wawasaidie mashoga zao kukabiliana na uchache utakaotokana na kukosekana kwa ule umeme wa UKRAINE

Hapa wakiwasaidia wanazidi kupunguza zile akiba(hakiba) zao walopanga kutumia kipindi cha baridi kali winter

Wakiacha kusaidiana tayari wanajenga mpasuke baina ya NATO na EU member maana wataona kumbe kwenye shida kila mmoja anadeal na taifa lake sio ushirika tena kama wakati waraha

Haya maoni na mawazo yangu tu nikijumlisha na maneno aloyasema PM wa UK lizz kwamba wanatakiwa waungane kwenye kipindi hiki kigumu acc DW

Bado naamini kama sio EU basi NATO au zote zinaenda kutuacha kupitia hii SVO ila acha tuzidi kuona

Pia tusisahau wale wenye mafuta yao wamekata 2M pipa per day kiukweli paref sana africa tujiandae

Eidha tuogope muogope vikwazo muzidi kuteketea ama mukubali kukabiliana navyo muwaudhi US na UK Aids

UKRAINE UTAWALA WAKIGAIDI

kavulata RUSSIA ananafasi zakuziangusha serikali zaulaya naukumbuka ule uzi

Mwisho:-tuupe muda nafas yake ila haya maoni yangu tuheshimiane[emoji34][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madai haya hayapo naukiwaomba ushahidi wanapotea kama alivyopotea ndugu yangu bwana T14 Armata baada ya kuomba ushahidi juu ya hili

Nakama ataamua hata siku tatu zinaweza zikawa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakama sijakosea ama sijasahau kuupiga ubaloz wa taifa fulanì nikama kuipiga nchi husika

Hata UN inaungana nawewe kama utaingia vitani nanchi husika

NATO wakaipige LIBYA kwa RUSSIA hawana zaidi ya VIKWAZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila anaelia anashika kichwa chake

Wao walkua wapi wakat GADAFI anauliwa MBWA hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la Putin ni kuweka miji yote ya Ukraine GIZA nene, ili watu wateseke na baridi... kosa lao kubwa ni kuwashuku kwamba wamehujumu daraja lake.

View attachment 2383690
Wote waliopost picha za aina hii na kusherehekea leo hii wanapost taarifa za kutia huruma.

Ustaarabu wa Russia kwenye hii operation yao waliuchukulia kama udhaifu, jana wameonjeshwa kidogo kama ingetokea vita kamili jinsi ingepigwa wameanza kulia, HIMARS hazisikiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…