Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndoto za Alinacha na story za vijiweni hizi.
 
EU yote ni kidemokrasia, kama hao raia hawataki viongozi wao watawaondoa kwa njia ya kura.
Ufaransa uchaguzi umefanyika mwezi May na Macron alishinda kwa 66%.
Eu nako ni hao top leaders ndio wako na Ukraine, ila most of their citizens are against their policy towards this war
 
Wamarekani ndio waanzilishi wa Internet na Google unayotafutia vi-propoganda vyako vya Urusi kuwaletea wavivu hapa.
Makampuni makubwa 10 ya IT duniani hakuna la Russia hata moja. Microsoft , Oracle, IBM, Cisco na mengine mengi ni ya US.
Makampuni makubwa kwa Mujibu wa nani?
Unadhani duniani kote wanaishi kama tunavyoishi Bongo?
Russia japo sio kisiwa ila kuna namna flani wanajitegemea
 
EU yote ni kidemokrasia, kama hao raia hawataki viongozi wao watawaondoa kwa njia ya kura.
Ufaransa uchaguzi umefanyika mwezi May na Macron alishinda kwa 66%.
kama kweli EU yakidemokrasia tuambiane rais wao cjui ndio MKUU wao wa EU alipigiwa kura lini na wapi nanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia iko kwenye vita, SMO au opereshini?

Ukraine ni mwanachama wa NATO?

Vita imeisha na Ukraine imeshindwa vita??
 
Hahah siamini Leo hii kuona makombora yanarushwa Kwny nchi ya wazungu mchana kweupe Kama vile wapelestina wanavyorushiwaga makombora πŸ˜„πŸ˜„
 
Putin atabaki kwenye vitabu vya historia kama dikteta katili aliyewahi kusababisha maafa na umwagaji damu mkubwa zaidi Ulaya tangu kumalizika kwa vita vya pili vya dunia.
Putin atakuja kusomwa na kuimbwa sana [emoji2][emoji2][emoji2],atabaki kwenye kumbukumbu sana. Na hii ni ishara tosha ya kumpata mtawala mpya wa Dunia.
 
Joker Medvedev anawaonya US wasimpe Ukraine silaha kali za kushambulia ndani ya Russia halafu Mrusi wa buza anasema Ukraine wameshapewa silaha za teknolojia ya juu kabisa[emoji16]
 
Hii taarifa inaweza kuwa ya propoganda tu, ila ni aibu kwa Urusi kuzidiwa ushawashi na Ujerumani pamoja na Japan.
 
Hizi ni porojo na matangopori tu ya vijiwe vya kawaha uswazi.
 
Sio Marekani tena, mtasema yote[emoji16]
 
Hatari sana πŸ˜€πŸ»πŸ»πŸ»πŸ»
View attachment 2384087
πŸ˜„πŸ˜„ Ila nyimbo za warusi hua Zina mzuka wake,juzi video nimeiona makombora ya nuclear ya warussi yakipitishwa mbele ya ubalozi wa USA pale Moscow,aisee Kwny Ile video itabidi niutafute huo wimbo uliokua unapigwa Kwny background.

Una amsha amsha kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…