Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu yalivyo mapumbav na mapimbi bei ikipanda ya mafuta yanapiga kelele kama ngedere ,
 
Kama sio Uturuki na Hungary mwakani NATO ilikuwa tayari ina uhakika wa 100% kuziongoza Sweden na Finland katika umoja huo.
Halafu haya mavaa kobaz yalivyojificha Kwa kisingizio cha u pro Russia ni majinga Sana , eti jitu limevimbiwa kiporo cha maharage in the middle of nowhere linaandika humu eti NATO alliance ni undemocratic , how stupid and pathetic that is , out of all 30+ members of the alliance Kura ya member wawili Turkey na Hungary ndio imesababisha process ya kuadminister new members isimame , where on earth you can get that ? Kama huyo mmarekani wanaesema ndio ananguvu Kule si angeforce Sweden na Finland wajoin the alliance ?
 
Fashisti Putin anadhani anaweza kupambana na Dunia na akashinda.., anajaribu kufukuza upepo [emoji16]

Ni suala la muda atanyooshwa tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Weka source ,si kijiwe cha Kahawa hiki,nyie si kila siku wenzenu wanaweka hoja tena na sources mnasema propaganda ? ,tuaaminije hicho unachotuandikia hapa ?, najua umeokoteza hizi takataka toka kwenye vijiwe vya kahawa telegram Maana ndio news source yenu pendwa
 
Fox News ni right-winger wenye mahaba makubwa na Putin na authoritarians, wengi wa wachangiaji wa Fox News ni waamini wa conspiracy za kipuuzi za QAnon.
 
Wangekuwa wazee wa kutembea na mafuta kwa sikio wangekuwa wamelala nako mbele tayari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sniper sio wa kumuacha hai.. Upofu ungemuhusu ningetoa kabisa macho yote mawili,
Dawa ya sniper ndo hiyo unamwacha na upofu halafu unamwambia wewe si una shabaha nenda ukawalenge wengine uwaue 🀣🀣🀣
 
Dawa ya sniper ndo hiyo unamwacha na upofu halafu unamwambia wewe si una shabaha nenda ukawalenge wengine uwaue 🀣🀣🀣
Na mikono ningeikata vizuri tu, πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na mguu mmoja ningelala nao mbele alafu namtia drip ya damu na maji tunasonga mbele
 
Njaa ilipopiga Tanzania mwaka 1974 Nyerere alipewa mahindi ya njano/unga wa yanga kutoka kwa Mabeberu wa Marekani ili Watanzania wale wasife njaa.
Tena baba zao na mama zao waliyagombania kama ngedere kwenye Shamba la mahindi na nguo zao zilizoshonwa viraka makalioni ,enzi hizo wakifulia majani ya mpapai , Sera za kipumbav za kijamaa nchi ikawa ni failed state hata basic commodities Tu kama sukari na sabuni hamna , ukikamatwa na sukari au sabuni wewe ni mhujumu uchumi , how stupid and moronic that was
 
Hata wakipewa mafunzonna Alien's hawataweza kubato na Russia
 
Fox News ni right-winger wenye mahaba makubwa na Putin na authoritarians, wengi wa wachangiaji wa Fox News ni waamini wa conspiracy za kipuuzi za QAnon.
Na hii Inadhihilisha kiwango kikubwa Cha democracy waliyonayo west.., maana fox news ni chombo rasmi Cha habari Cha west,
Lakini bado kina uhuru kutoa mahudhui yanayoegemea upande wa Russia na kwingineko,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…