Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa huo ndio uhuru wa habari na maoni?
Kumbuka msingi mmoja wapo wa Demokrasia ya Magharibi ni haki ya kupata habari, je? huoni hiyo haki imefinywa?
Na kama imefinywa unasemaje fox news ndio kielelezo Cha uwepo wa Demokrasia America?
Mcheki hapo rais wa azerbaijan akiwachana BBC khs kukamatwa kwa Assange, nilicheka Sana.

Ni clip ya dakika 3 tu,kila mpinga NATO aicheki aone upuuzi wa hii inayoitwa Freedom of press.

https://www.facebook.com/
 
Jana nimeona magari ya police huko France yanasukumwa barabarani baada ya kuzimika sababu ya wese,na wamepunguza patrol huko mtaani.
 
Mcheki hapo rais wa azerbaijan akiwachana BBC khs kukamatwa kwa Assange, nilicheka Sana.

Ni clip ya dakika 3 tu,kila mpinga NATO aicheki aone upuuzi wa hii inayoitwa Freedom of press.

https://www.facebook.com/
[emoji23][emoji23][emoji23]

Bro kuna hi taarifa mwanzo niliiacha baada ya kuona haifanani na huu uzi... Sasa hii speech imenifanya nikaitafute tena [emoji2772]

Official car of Azerbaijani embassy in US fired upon in Washington - Azerbaijani Foreign Ministry.

Mie sasa be like [emoji117] "Don't mind, Its special version of democracy in action, we urge you to be calm na ikiwezekana ongezeni mapambio [emoji23]"
 
Ushabiki upo hata kwenye siasa za bongo..,soka la bongo na la kimataifa..,hata kwenye vita naona ushabiki upo tu.., hivyo ushabiki ni jambo la kijamii tu,tunaishi nalo kila siku mkuu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vifaru vinakaangwa tu hawakomi kutembea msafara

Wataendelea kukaangwa hivihivi huko front line mpaka watakapopata akili ya kutumia silaha zao kwa usahihi [emoji16][emoji16]

Mtu unatumia silaha kulipua miundombinu ya kijamii wakati front line unapelekewa moto usiohimilika,hizi ni akili za wapi Sasa, [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ushabiki upo hata kwenye siasa za bongo..,soka la bongo na la kimataifa..,hata kwenye vita naona ushabiki upo tu.., hivyo ushabiki ni jambo la kijamii tu,tunaishi nalo kila siku mkuu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ushabiki wa kukoseana heshima ndiyo nimeuzungumza hapo ila marumbano ya hoja hayana shida tunaishinayo kila sehemu zote
 
Ukrainian channels report that in the Port City of Odessa, the face of the African American billionarie Elon Musk is being removed from the billboards installed as a thank you for supporting Ukraine with the Starlink systems
Your browser is not able to display this video.

Such a thing happened after the mega-businessman suggested, through his official twitter account, that the annexation referendums that Russia held in southern, southeastern and eastern Ukraine should be repeated, but this time under the direct supervision of the United Nations, something that outraged Pro-Ukraine netizens and Ukrainian Government officials
 

Ukraines Air Force shoots down 4 Russian helicopters in 18 minutes​

Ukrainska Pravda
Wed, October 12, 2022, 1:30 PMΒ·1 min read
WEDNESDAY, 12 OCTOBER 2022, 13:30
On the morning of 12 October, units of the Ukrainian Air Force shot down at least four Russian attack helicopters in 18 minutes.
Source: press service of the Air Force
Quote: "From 8:40 to 8:58 on 12 October, in the south of Ukraine, anti-aircraft missile units of the Air Force destroyed at least four attack helicopters of the enemy (presumably Ka-52s) which provided fire support to occupying troops on the ground on the southern front."

ADVERTISEMENT
 
Msaada wa tafsiri ya hii post πŸ˜‚

Medvedev πŸ‘‰ The Pentagon donated almost $17 billion worth of weapons to Ukraine this year.

I wonder, given the vast geographical knowledge of Americans, do they know the exact location of country 404?

And in Pindostan, another old fool was found, albeit a former one..

Leon Panetta, former CIA director and secretary of defense, said the US must be prepared to use all military means, including aircraft and cruise missiles, against Russia to ensure that our country cannot threaten Ukraine.

After all, he himself perfectly understands what reciprocal goals are included in the program of the Russian nuclear deterrence forces. And what brings then such a blizzard? Although somewhat understandable. 84 years old...

Hiyo ending inakeeeeeraaa 😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…