[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mngekuwa mnaweza kuwachapa URUSI kwa kiwango hiko msingehitaji misaadaKwa iki kichapo lazima super pawer wa mchongo akimbilie kumalizia hasira zake kwenye miundombinu tu maana hakuna namna [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmeshupaza shingo SI asogeee asogeee... Wakati wenyewe wanakwambia kabisa kipigo Kwa Ukraine ni sawa na kupigwa Kwa NATO wewe unashupaza shingo.Mpuuz kweli wewe ! Si ajaribu kusogeza pua zake hata Estonia Tu nchi ambayo iko pua na mdomo na Moscow ,aone cha Moto ?
Helicopter 4 zinatunguliwa ndani ya dakika 18[emoji848]Ukraines Air Force shoots down 4 Russian helicopters in 18 minutes
Ukrainska Pravda
Wed, October 12, 2022, 1:30 PM·1 min read
WEDNESDAY, 12 OCTOBER 2022, 13:30
On the morning of 12 October, units of the Ukrainian Air Force shot down at least four Russian attack helicopters in 18 minutes.
Source: press service of the Air Force
Quote: "From 8:40 to 8:58 on 12 October, in the south of Ukraine, anti-aircraft missile units of the Air Force destroyed at least four attack helicopters of the enemy (presumably Ka-52s) which provided fire support to occupying troops on the ground on the southern front."
ADVERTISEMENT
Nikishaona mangi na lugha zake za kichalii huwa nafurahi sana ..arawa anapeleka moto aiseeWataendelea kukaangwa hivihivi huko front line mpaka watakapopata akili ya kutumia silaha zao kwa usahihi [emoji16][emoji16]
Mtu unatumia silaha kulipua miundombinu ya kijamii wakati front line unapelekewa moto usiohimilika,hizi ni akili za wapi Sasa, [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naweza pia kusema,"Good life in Europe was based on stealing Africas' resources and Africa is not responsible for the fact that Europeans are becoming poorer by the day." Pretty sad for them.Ukweli mchungu wazungu wanapewa.
We hutaki tuangalie historia ila unataka tuangalie ambayo hayajatokea? Wamarekani wa vijiji vya ujamaa mna shida gani?Mkuu aliesema history ya jana na ya leo ni sawa kwenye Maisha ni nani? Ebu angalia Maisha YAKO binafsi miaka kumi iliyopita na Sasa Kwako ni sawa?
Kama sio sawa basi kumbe Maisha hubadilika na kumbe KILA kitu hubadilika katika KILA nyanja zozote, kimaisha, kimkakati,kiuchumi n.k, so history iyo Mkuu tupa kule, twende na mtanange huu, na mliojaliwa mnaweza WEKA kumbukumbu ya kuandika vitabu na itakua hazina kubwa katika Dunia KWa vizazi vijavyo thanks
Alafu utasikia tumelipua miundo mbinu yenu hizo helcopter zina gharama kuzid hata hiyo miundo mbinu waliyoharibu kwa kutumia maescalenda,s300,na maroket ya mabilion za pesaHelicopter 4 zinatunguliwa ndani ya dakika 18[emoji848]
Hatari sana aisee,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Moja ya watu wenye uchambuzi magumashi kwa siku za karibuni ni huyo mgambo aliesoma english kwa rasi simbaInawezekana hatukuyauliza sababu hatukuyaona
Ama hatukuyauliza sababu tunajua aloyatoa sio msemaji wa serikali ya PUT IN na hana cheo chochote kule
Mwisho leta ushahidi kutoka KREMLIN kwamtu rasmi alosema kama hii OP itachukua siku tatu
Yaani kama unataka kuanzia leo tuyaamini maneno ya pro RUSSIA kupitia jf pole sana MKUU
hayo maneno hata mie ningeweza kuyatamka ila hayaondoi uhalisa kama yanabakia kua maneno ya Bwana Utam ila sio ya RUSSIA
Acha Kukwepa kwepa MKUU tunaomba ushahidi MKUU achana na jf memba
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ni maskini hawana silaha Wala chakula.... !!??Especially kwa askari wa Russia
Hakuna silaha za kutosha kiasi kwamba askari anatakiwa kununua silaha kwa pesa yake mkononi ili kupambana.
unampigania Putin kwa ngarama zako na unakufa kwa gharama zako.
habari za kuaminika toka russia ni kwamba
ISW: Urusi inahamisha silaha kutoka Belarusi. Taasisi ya Uchunguzi wa Vita imesema jana kwamba data za vyanzo huria zinaunga mkono ripoti za kijeshi za Ukraine kwamba Urusi inapakia treni silaha na vifaa vingine kutoka Belarus ili kuhamishia maeneo ya shughuli za kijeshi. kuokoa jahazi.
Sawa fanya / angalia KWa upeo wako Mkuu na leta hapa tutachangia mkuuWe hutaki tuangalie historia ila unataka tuangalie ambayo hayajatokea? Wamarekani wa vijiji vya ujamaa mna shida gani?
The same old propaganda...Ukraines Air Force shoots down 4 Russian helicopters in 18 minutes
Ukrainska Pravda
Wed, October 12, 2022, 1:30 PM·1 min read
WEDNESDAY, 12 OCTOBER 2022, 13:30
On the morning of 12 October, units of the Ukrainian Air Force shot down at least four Russian attack helicopters in 18 minutes.
Source: press service of the Air Force
Quote: "From 8:40 to 8:58 on 12 October, in the south of Ukraine, anti-aircraft missile units of the Air Force destroyed at least four attack helicopters of the enemy (presumably Ka-52s) which provided fire support to occupying troops on the ground on the southern front."
ADVERTISEMENT
Tayari mtu kawekwa mtu kati soon utasikia Zelensky analiaRUSSIAN MILITARY RADIO BROADCASTS TO CITIZENS IN KHARKIV: "EVACUATE CITY NOW"
The Russian Army is using regular AM and FM radio to transmit to Ukrainian citizens in the city of Kharkiv. The broadcasts are telling them to evacuate that city immediately.
The military high-powered radio transmitters are even broadcasting directly ON TOP OF what would be the traditional radio stations in that area. The military transmitters are simply over-powering the regular radio stations.
Over the past 48-72 hours, Russian troop build-ups are showing what appears to be "Special Military Operation -Season 2" . . . only with very much more men.
On the map below, the hand-drawn circles in red show the present build-up of Russian forces, and the circles in blue show Ukrainian force locations.
Most of Ukraine's forces are engaged in the southeast of the country. The Ukraine troops to the east of Kharkiv, are now finding themselves squished between two superior Russian force groupings; one in the Belgorad region of Russia itself, the other in Luhansk. They seem to be inside a perfect "Pincer" situation.
Ominously for Ukraine, the sudden and very large build-up of Russian troops in Belarus, to the north and northwest of Kiev, looks very much like what existed when Russia initially began its Special Military Operation into Ukraine. At THAT time, the troops in Belarus, north of Kiev, moved in a 47 mile long convoy toward the city, but stopped without attacking.
It turned out to be a feint; Russia did that so as to force Ukraine to keep essential troops in the north to protect the capital, Kiev, while they moved against targets in the south. This time, however, it seems quite clear that if/when those Russian troops come out of Belarus again, Kiev could be mince-meat.
In addition, the Russian forces toward the top left of the map, also in Belarus, is an interesting build-up. Would they swoop in against Kiev, or will they head due south to Lutsk, Rivne . . . or both?
Stay tuned . . .
Ungrateful katika nini!!?? Wakati Tayari ameshasacrifice nchi yake Kwa proxy war!!??Tunawaambiaga Huyu Zelensky ni kichaa hamuelewi😆😆
⚡️🇺🇸🇺🇦US President Biden has warned Ukrainian President Zelensky that it will be difficult for him to continue asking Congress for money if he continues to be ungrateful. - Washington Post
Na mbaya zaidi bahadhi ya hayo makombora yalikuwa yakipiga sehemu zilizo wazi hasa barabarani kama inavoonekana hapa chini.., hii picha inaonyesha barabara ilivyokuwa baada ya kushambuliwa..,na baada ya marekebishoAlafu utasikia tumelipua miundo mbinu yenu hizo helcopter zina gharama kuzid hata hiyo miundo mbinu waliyoharibu kwa kutumia maescalenda,s300,na maroket ya mabilion za pesa
Mpaka mda huu Urusi ni magaidi na Ukrein ni magaidi ,jibu hakuna gaidi paleHaya magaidi ni ya kuyapiga tu
Duh FSB sio mchezo"Who, where, when?" - The FSB has solved the case of the terrorist attack on the Crimean Bridge.
To sabotage the Russian infrastructure, Ukrainian intelligence has organized a whole criminal network in the near abroad. Of the 12 accomplices, 8 have already been detained.
The explosive device disguised as a construction film was sent from the port of Odessa under a contract between the Ukrainian road carrier TANS LOGISTIC and the sea carrier SIA "BALTEX SA", registered in the FEZ of the Bulgarian city of Ruse.
With the help of citizens of Armenia, Georgia and Ukraine, the cargo was transported to the port of Poti, cleared in Yerevan and transported to Russia via the Upper Lars checkpoint.
On the way to the truck carrying explosives, documents about the sender were changed several times, and a non-existent company in the Crimea was indicated as the final recipient.
The organization of the terrorist attack was personally handled by the head of military intelligence of Ukraine Kirill Budanov.
Subscribe to @
Nilitaka nikupotezee baada ya kuona wewe ni joe Biden mwingine ila mweusi Tena mbaya zaidi mswahili.Putin alisema anaenda kufanya operation Ukraine, mpaka sasa ameshatumia silaha za aina zote kasoro nyuklia tu na amelipua shule, vituo vya afya na playgrounds za kucheza watoto wadogo.
Libya kuwa failed state ni kwa sababu madikteta huwa yana mikakati ya makusudi ya kuzifanya taasisi zote muhimu za kiraia kuwa dhaifu ila watawale kirahisi. Matoke yake yanapooendelwa kwa njia yoyote ile huwa yanaacha ombwe kubwa ambapo hupelekea nchi kuyumba sana au kusambaratika kabisa kama ilivyotokea Somalia, Misri, Sudan, Burkin Faso n.k, hicho ndicho kilichoikuta Libya pia, wa kulaumiwa na kulaaniww hapo ni dikteta Gaddafi.