Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

View attachment 2384825

The Kiev regime has been using terrorist methods for a long time - Putin.

Nahisi kama kuna kipigo kipo jikoni kinaandaliwa na huenda soon SMO ikawa CTO/ATO... Time will tell!
Mrusi ni mhuni bila kuwatetea Ukrein , amezikaka watu wangapi hasa kwenye maeneo aliokuwa anayashikilia ? Na sio hii tu warusi wanaroho mbaya sana, sipendi vita ila natamani Urusi ifutike wale ni wanyama kwani yule dr shita mwaweza ona alikua anadanganyana ila ukweli hakuna watu wenye roho za ajabu Kama Warusi ,washenzi Sana wale awe mke au mwanaume
 
sawa ila ukiwa huna hela huna sauti hata mtaani iko ivo

us akiacha kutusaidia mwaka 1 89%ya jamii yetu tunabaki vichwa vitupu.
Unafikiri anatusaidia kwa kuwa ana huruma??
Kuna masilahi yake anayalinda kwa misaada bro, siku akimute na maslahi yake yatakuwa hatarini

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kwa sababu kuna demokrasia US unataka waruhusu hadi vituo vya habari vya Taliban, ISIS na vingine vya namna hiyo nchi mwao?? Maswali mengine jaribu kujiongeza
Kwa hiyo shirika la Urusi la habari unalifananisha na ISIS ambalo ni kikundi Cha kigaidi?

Kikundi ambacho kimetengenezwa na West hao hao ili wakapafanye kule middle east kukose utulivu [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sasa kati ya West na Urusi nani Gaidi na muhuni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hujasema ukweli ambao ni wazi wanachozuia ni ukweli kuelezwa na wao kudhalilika kwa sababu vyombo vyao vya habari like BBC, CNN, REUTERS, DW, FRENCH 24 ni vyombo vya propaganda na fake News hivyo wanaondolea raia wao kupata alternative.
 
Ulikuwa na undugu na Dr shika?
Ndio ujifunze kuwa ukiwa jasusi linalotumiwa na west, wakikutambua utakipata Cha mtema Kuni[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa nini huyu matakore PUTIN anaua hawa watoto wa miaka 3 si aende kupigana na wanaume walioko front .

Miaka 70 anaugua ule ugonjwa wa kusahau sahau, dementia au Alzheimer.. Aacha kuwashambulia infant.
View attachment 2385006
Jinga sana nyie kila mara mkipokea kichapo lazima mtengeneze sinema Kama hizi.
Kwani zile sijui Himars zimeenda wapi wakuu.
 
Kama walau unao umiliki wa akili yako, you wil note the difference between lines.

Wanao jinasibu kwa kuleta amani duniani be like[emoji116]

We are discussing ways to train Ukrainian soldiers, we commend Germany for sending air defense systems to Ukraine, as weapons US provides Kiev with are changing the balance of power - US Defense Secretary Lloyd Austin.

Na wanao tuhumiwa kwa uvunjifu wa amani [emoji116]

We're looking for ways to bring Moscow and Kiev to the negotiation table - Saudi Foreign Minister Faisal Bin Farhan.

The man himself once said...[emoji116]


Kwa niaba ya #TeamUkweli niseme "We are grateful to have such a leader!
 
Kwa nini huyu matakore PUTIN anaua hawa watoto wa miaka 3 si aende kupigana na wanaume walioko front .

Miaka 70 anaugua ule ugonjwa wa kusahau sahau, dementia au Alzheimer.. Aacha kuwashambulia infant.
View attachment 2385006
Huyo Putin ni The last kick of dying horse [emoji237][emoji237][emoji206][emoji206][emoji206]

Anajaribu kuficha aibu ya kipigo anachopokea huko front line [emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…