Unaelewa nini kuhusu third world countries living conditions ? au ndio kuandika kimihemko , kujifariji na kujaza servers Tu humu ?Wewe si umejiita msindikizaji kisa tu ni mtanzania,unaona wanaoishi ni WA huko Ulaya na Marekani!
Unahisi ukila ugali basi huna maisha,naweza nikaagiza ugali,na wewe ukaagiza hizo hizo burger lakini kumbe Nina uwezo kiuchumi kuliko wewe!Kuna watu bongo wana mazuri kuliko hao unaowaabudu!
Hivi hili neno mbona mna li abuse unajua Maana ya neno Mzungu ? Hapo ulaya wanaishi wazungu Tu sio ? ,Kwa hiyo Russia sio Caucasians aka wazungu according to you ?Ukweli mchungu wazungu wanapewa.
Huyu mchambuzi kapwaya sana hii SMO imemvua nguoT14 Armata
Weka source hapa ,si mnajaza servers Tu na maneno mengi ya uongo bila credible news sources .Una utoto mwingi mno, UKRAINE hadi sasa yeye mwenyewe hana silaha, anaomba misaada ya silaha kila siku, na bado anakula kichapo. EU wamesema wazi wanaenda kuishiwa silaha kwenye stock zao ambapo wakiendelea watalazimika kutoa zile ambazo zinawalinda wao wenyewe.
Unakuja hapa sijui na hadithi za utoto gani. Hivi mtu unawezaje kudhani UKRAINE anaweza isumbua URUSI?
Urusi ameshambulia juzi hapa tu, vikao vya dharula kesho yake tu, wewe umekaa buza unajiandika tu NDI NDI NDI NDI kisa umepata ITEL yako hapa na bando la jero.
Ni lini EU walisema wameishiwa silaha halafu mnajichanganya Sana kuna nchi zimo EU lakini hazipo kwenye NATO muwe clear na mnachoandika , you guys are too vagueUna utoto mwingi mno, UKRAINE hadi sasa yeye mwenyewe hana silaha, anaomba misaada ya silaha kila siku, na bado anakula kichapo. EU wamesema wazi wanaenda kuishiwa silaha kwenye stock zao ambapo wakiendelea watalazimika kutoa zile ambazo zinawalinda wao wenyewe.
Unakuja hapa sijui na hadithi za utoto gani. Hivi mtu unawezaje kudhani UKRAINE anaweza isumbua URUSI?
Urusi ameshambulia juzi hapa tu, vikao vya dharula kesho yake tu, wewe umekaa buza unajiandika tu NDI NDI NDI NDI kisa umepata ITEL yako hapa na bando la jero.
Tatizo la watu wanaopinga sera za west ni kwamba hawana hili Wala Lile.., wanajaribu kujitutumua lakini hawana hata akili ya kuinvet chochote.., fikiria hata njiti za meno wanaagiza nje ya nchi, alafu eti wanataka kujikwamua kwenye utegemezi..,Unaelewa nini kuhusu third world countries living conditions ? au ndio kuandika kimihemko , kujifariji na kujaza servers Tu humu ?
Wewe unaishi nchi hizi za Subsahara au unaishi Antarctica ?
Hao wenye uwezo WA kuwa na atleast 1 Million USD nchi hii unajua ni asilimia ngapi Kati ya raia wote ?
Upward social mobility index unajua ni ngapi Kwa nchi hizi za KiAfrica kama Tz ?
Unajua hata average annual income ya mwananchi wa kawaida ni ngapi mfano nchi hii ?
Unajua purchasing power index ya mwananchi wa kawaida ni ngapi huku Africa ?
Wewe unafikiri mnapoitwa nyie ni nchi masikini unafikiri wanawaonea sio ?
Mm,so you really believe this.Wengi wa hao ni hypocrites tu ambao wanataka ku-appease NWO tyrannical leaders,but in reality they are against the NWO establishment.Nchi wanachama wa U.N wapiga kura kuyakataa majimbo aliyojichukulia dicteta putin ikiwemo crimea.
Mwisho wa putin unakaribia
View attachment 2385385
Wakati nasoma hii comment nilikuwa sijaona sehemu ya user ID nikataka nianze kutiririka hoja za kumpiga msasa mwandishi, ilaa baada ku scroll juu na kuona mwandishi ni kp kipanya44 akili yangu ikaniambia achana na hii ng'ombe haitaelewa.Tatizo la watu wanaopinga sera za west ni kwamba hawana hili Wala Lile.., wanajaribu kujitutumua lakini hawana hata akili ya kuinvet chochote.., fikiria hata njiti za meno wanaagiza nje ya nchi, alafu eti wanataka kujikwamua kwenye utegemezi..,
Aliyekuzidi kakuzidi tu,,ukishindana Naye utaumia.., vinginevyo utaitaji mikakati ya muda mrefu sana Ili kujikwamua na huo utegemezi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama Israel anaikalia Gaza kimabavu na hakuna lolote ndo itashinda Putin kuyakalia hayo maeneo aliyochukua hapo Ukraine!Tatizo la watu wanaopinga sera za west ni kwamba hawana hili Wala Lile.., wanajaribu kujitutumua lakini hawana hata akili ya kuinvet chochote.., fikiria hata njiti za meno wanaagiza nje ya nchi, alafu eti wanataka kujikwamua kwenye utegemezi..,
Aliyekuzidi kakuzidi tu,,ukishindana Naye utaumia.., vinginevyo utaitaji mikakati ya muda mrefu sana Ili kujikwamua na huo utegemezi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hili lijamaa linalojiita green rajab inaonekana limekaimu nafasi ya lile duwanzi lenzake la kujiita mulokozi jr , yaani mambo ya ajabu jitu linapost utopolo tena bila hata sources , jitu linaokoteza umbeya WA telegram na kuweka hapa ,aiseeHawana akili, umeme haupiti vizuri kwenye vichwa vya Proputin.
Anashindwa kujiuliza kwanini mpaka sasa mabomu hayarushwi huko ingawa vita viko jirani na jirani anabomolewa kila siku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaan ukimbie URUSI uende LATVIA? Umewahi kufika ULAYA kwanza?? Maana ungeweza hata kuwaza kwa kutumia akili. Hizo nchi zote hakuna wa kuifikia URUSI kwa usalama na amani.
Hata yule wa Tz walisema hivi hivi, kwamba sushi na aendelee kutawala. Mungu akasema kea shida uliyowaletea ndugu zako hustahili. Nadhani historia inaanza kujirudia huko urusi. Eti "there is no replacement for putin". Hizi sifa za hovyo kabisa. Ngoja tuone anavyoendelea kuvimbishwa kichwa with no somebody to replacement him.Russian elites are starting to think about 2024. Former Prime Minister Sergei Stepashin said there is no replacement for Putin now and he will have to stay whether he wants to or not.
“Probably, many thought that in two years whether Putin should go to the presidency or not, I also thought about it. But now it is quite obvious that there can be no replacement, especially in a situation of partial mobilization, in fact, active hostilities against NATO and the Americans.
According to the updated Constitution of the Russian Federation, Putin can run in 2024.
Ficha upumbavu wako.., ukulazimishwa kujibu coment yanguWakati nasoma hii comment nilikuwa sijaona sehemu ya user ID nikataka nianze kutiririka hoja za kumpiga msasa mwandishi, ilaa baada ku scroll juu na kuona mwandishi ni kp kipanya44 akili yangu ikaniambia achana na hii ng'ombe haitaelewa.
Weka source JF sio kijiwe cha wavuta bangiHuko Uingireza wameanza mgao wa energy-wagonjwa walioko Hospitali wanaotumia machine za kusaidia kusogeza siku wanaogopa watakufa muda wowote.
Russia sio Libya
Alafu ukileta habari hambayo haiwapendezi wanadiliki hata kumtukana mleta habariHili lijamaa linalojiita green rajab inaonekana limekaimu nafasi ya lile duwanzi lenzake la kujiita mulokozi jr , yaani mambo ya ajabu jitu linapost utopolo tena bila hata sources , jitu linaokoteza umbeya WA telegram na kuweka hapa ,aisee
Wewe ni mwendawazimu ,si Bora wangeivamia Tu na kuicivilize kama Guyana ,US virgin Islands ambavyo viko Chini ya control ya US ,we huoni zilivyoneemeka hizo nchi ? , savages animals kama Haitians wanafaa kutawaliwa , Maana wao Tu kujitawala kumewashinda , wamezalisha wakimbizi Tu kila siku wanaflock kwenye US borders pale Florida wakikimbia ugumu WA maisha na violence za cartel gangs za kihalifu huko USA wanaenda kufanya nini ? Si wabaki kwao , Haiti ni kama shithole countries za Subsahara yanazaliana kama panzi ,yanauana na kuruin kila kitu ndani ya nchi , hao ngedere si ndio mwaka Jana wameua Rais wao ? Sasa ni ngedere gani hao ? .Back in 1994, kuna Pro-NATO wengine naona walikuwa hawajazaliwa... Today the same Guy, Old dementia ndio wamekazana kumsifia mtangaza amani na usawa duniani.
As the. U.S. prepares to invade Haiti, we remember the time Joe Biden said ahead of the U.S. 1994 invasion of the island that it wouldn’t matter if “Haiti sunk into the Caribbean”.
View attachment 2384878
Leo limezeeka to the extent ya kudondosha cheat paper kwenye interview linawaza ushenzi ule ule..
[emoji1258] In a new CNN interview, Biden's cheat sheets have reached a new level: the US president dropped it, and the presenter picked it up
View attachment 2384879
Huh kweli hata mapunguani pia huwa yanazeeka!
Sasa hello to Boys na Visichana vya Pro West (I guess that pronoun fit you well). Ni kwamba in case hujui kitu basi nyamaza. Na kama unajua ila unaficha kwa mahaba yaliyo-kuzidi urefu basi rejea kwenye phrase ya kwanza... NYAMAZA.
Acha woga hizo nchi 50 ndio kina Maldova, Lithuania na Estonia
Hali tete kwa puttin sasa ni dunia inataka kumtandika
Watch
•••
[IMG alt="mtarimbo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/304/304018.jpg?1515288018[/IMG]
mtarimbo
JF-Expert Member
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor putin.wote wameanzimia kutoa michango ya silaha ,fedha,mafunzo,madawa,silaha za kujilinda na makombora.
Hii ni baada ya dicteta putin kushambulia miji yenye makazi ya watu na kifanya mauwaji.
Putin akitoboa mwaka huu mtanambia
Aljazeera leo:
More than 50 Western countries have met in Brussels to pledge more weapons for Ukraine, especially air defence systems, after Russia launched its most intense missile barrage since the war began.
At Wednesday’s meeting of the Ukraine Defense Contact Group, US Secretary of Defense Lloyd Austin said Russia’s latest attacks had laid bare its “malice and cruelty” since invading Ukraine on February 24.
Quote Reply
Report Edit
BoldItalicMore options…
Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview
Font sizeText colorFont familyListAlignment
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
- Align left
- Align center
- Align right
- Justify text
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Write your reply...
Post reply
Attach files
Similar Discussions
Share
- [IMG alt="Bams"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/28/28702.jpg?1421497843[/IMG]
Warusi wazidi kumpinga Putin. Marekani watoa onyo kali kwa UrusiInternational Forum
- Started by Bams
- Sep 26, 2022
- Replies: 31
- [IMG alt="JanguKamaJangu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/661/661059.jpg?1644571463[/IMG]
Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa mojaInternational Forum
- Started by JanguKamaJangu
- Sep 25, 2022
- Replies: 44
- [IMG alt="TODAYS"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/224/224207.jpg?1398976843[/IMG]
Zelensky aonya kuwa Dunia inapaswa kuwa tayari kwa uwezekano wa Urusi kutumika silaha za nyukliaInternational Forum
- Started by TODAYS
- Apr 18, 2022
- Replies: 48
- [IMG alt="MK254"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/142/142457.jpg?1593673825[/IMG]
Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambanoInternational Forum
- Started by MK254
- Sep 12, 2022
- Replies: 35
- [IMG alt="Nkobe"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/126/126268.jpg?1412884911[/IMG]
Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwaInternational Forum
- Started by Nkobe
- Mar 22, 2022
- Replies: 204
0 Reactions
Reply
View attachment 2385382
Dikiteta Putin atajua kuwa hajui mwaka huu..,kila mmoja anamkibia kama mgonjwa wa ukoma,Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Mmeelevuka nyie wapumbav mnajisaidia vichakani , washenzi mnaojengewa vyoo kila siku , zaidi ya nusu ya budget yenu ni grants na mikopo toka Western countries , umevimbiwa maharage na kisimu chako cha Tecno unaandika rubbish hapa ,Uzuri watu wengi hasa kwetu afrika wameerevuka sasa
Yaani hawana lakuwadanganya watu hawa UMBWA miaka hii
Sent using Jamii Forums mobile app