4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Yani mkuu Mambo mengine yafikirisha Sana, Sasa anapiga huko akilenga nini, mrusi ana roho mbaya sanaKwa wataalam wa mambo ya kijeshi tukiona hali hii,tunajua tu kuwa tayari kwenye uwanja wa vita mambo yameshakuwa magumu kwa upande wake.
Urusi miamba sana.[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
US wants the West to jointly create an integrated air defense system for Ukraine and transfer missile systems of various ranges to Kiev - Pentagon.
That's good. At least Russians can test them and find weakness.
Nenda kasome kitabu kinaitwa Why Afrika is Marginalized in the Globalization worldUna hoja nzuri na inayofikirisha kwa nini Africa baada ya mika zaidi ya 50 tangu uhuru tuendelee kulalamika kuwa tulitawaliwa. tena Afrika kama Tanzania tulitawaliwa kwa miaka kama 100 tu wakati India ilitawaliwa kwa miaka 600.
Ukijiuliza Hilo swali na hujui majibu inaonyesha wewe ni mjinga wa mwishoSi ndio hapo ngozi nyeusi Sisi na excuses za kijinga kutafuta sympathy na visingizio aisee .India imetawaliwa kikoloni Kwa miaka zaidi ya Mia nne akianza mreno ,mdutch ,mwingereza ,Afrika mkoloni kwanza ingia kwenye miaka 1900's ,sasa eti mpaka sasa Sisi ndio tunatumia kama excuse ya kuwa hivi tulivyo ,na ni progress gani iliyopo sasa baada ya kupata huo Uhuru ? , Ukimuuliza mtu anatoa macho Tu na bullshit zisizo na mbele wala nyuma .
Guys [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi huwa kuna vitu vinanichekesha Sana humu jf
Cc moderatorNimekuvalisha wewe diapers asubuhi baada ya kukupakata na kukushindilia na dudu makalioni mwako usiku kucha
Kwa hiyo alivyopigwa kule Afghanistan ni kwa sababu ya nini?Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kinachopigana vita ya kisasa SI damu na nyama,Bali ni teknolojia..., Russia ata akileta jenelali mwenye ukatili zaidi ya Hitler bado mambo yatakuwa machungu sana kwake ,, kutokana na ukweli kwamba urusi ana upungufu mkubwa sana wa precision missiles kufuatia vikwazo vya west..., fikiria urusi anaenda kuomba silaha Iran na north Korea
Marekani Haina history ya kuwa na watu makatili kama Putin na mafashist wenzake lakini jeshi lake linatisha na linabaki kuwa namba Moja dunian..,utafanyaje mashambulizi ya kikatili bila kuwa na precision missiles za kutosha??..,au unafikiri huyo jenelali atakuja na silaha zake binafsi [emoji12][emoji12]
Huko Syria kama alifanya ukatili wa kutisha hatukatai maana urusi ilikuwa na nguvu kubwa kuliko Sasa.., hivyo vitendea kazi vilikuwepo vya kutosha,
Urusi ya Sasa ni mdebwedo..,yaani ni wepesi kama pamba..,hata wakileta jenelali aliyetumwa kutoka kuzimu kwa Lucifer bado kutoboa ni ngumu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
hao ni wale mazombie tulikuwa tunawaona kwenye movies , sijui vizaz vyao vitakuwa vya namna gan... watu wa ajabu wale Mkuu! Swali rahisi tu; ni kwanini wanashabikia Urusi kuivamia Ukraine, kuua wasio na hatia? Hawana majibu. Sana sana atajitokeza mmoja atakuuliza mbona Israel inavamia Palestina?
Malcom Lumumba alikuwa anaunganisha watu na sio kurudisha ukoloni km Putin jifunzen kuheshimu wana harakati wetu sio kufananisha na wamwagaj dam hao akina Putin , unaua raia baada ya kufeli kulenga kamb za jeshiKwenye mitandao utamwona Putin kichaa,ukiangalia nyuma ya panzia utashangaa.Putin tupo pamoja.
MALCOM LUMUMBA njoo huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Germany delivers air defense system to Ukraine
The delivery of the IRIS-T system comes days after heavy Russian missile strikes hit major Ukrainian cities including Kyiv. The German defense minister said three more of the systems would be delivered next year.www.dw.com
View attachment 2385224View attachment 2385223
kwahiyo alirudisha maeneo bila warusi kuuawa ? Ushabiki unaeza kukufanya kichaaTuliza mshono . Katika counteroffensive Ukraine imepoteza more than 10000.
RUssia alinyakua 126000 Km KATI ya 600000 Km square za Ukraine kisha Ukraine karudisha 6000 km sq kwa maiti 10000 kisha mtu anapiga vipicha vya maiti kumi au ishirini anajichekesha. Casualty level ktk jeshi la Ukraine haizungumziki
ila wao kuwaita wengine mashoga ni lugha nzur , be balancedHii lugha yako ya 'kumtatua ma....a' tafadhali acha, hustahili kuitumia humu...this is an ultimatum to you ..humu Kuna watu wazima na wenye heshima zao..
dah hv na ww Urusi kusumbuliwa na Ukraine miez 8 sio aibu ?Hapo juu unasema casualties hazikosekani,kikubwa Matokeo!Hapa chini kwasababu wanaozungumzwa kufa sio wa upande wako basi unakuja na hiyo kauli!
Kaporomoka kutoka kua mchambuzi huru Hadi kuwa mchambuzi mfungwaHuyu mchambuzi kapwaya sana hii SMO imemvua nguo
Ila Marekani alivodhalilishwa na Wataleban kwa muda wa miaka 20 tuite nini??dah hv na ww Urusi kusumbuliwa na Ukraine miez 8 sio aibu ?
Mwambie afiche upumbavu wake uyo bwege msaidia tu kumwambia kwamba Uingreza ndo alimtawala muhindi aache ubwegeMengine sio mpaka utafuniwe, jaribu kushughulisha ubongo, kama India haikutawaliwa miaka 600 njoo na ushaidi uuweke hapa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Self determination 😂Ila Marekani alivodhalilishwa na Wataleban kwa muda wa miaka 20 tuite nini??
Na bado ataendelea kutembezewa kichapo kwa sana tu.., mpaka ajue ilivyo ghalama kuvamia nchi ya watu,Leo Mzee wa mobilization anashambuliwa balaa targets zote zinakaangwa tazama video niliwaambia jumatatu mnacheka ila kuanzia jumanne ni kulia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpumbavu ni wewe nusu mboga
Sikiliza huyo Col. Mstaafu wa jeshi la Marekani anasema toka mwaka 2014 USA na washirika wake walijiandaa kuivamia Russia, USA alipeleka silaha nyingi na mafunzo lukuki kwa wanajeshi wa Ukraine, Russia alikuwa anawachora tu. Sasa hivi Russia kabadili gear angani kwa kumweka kamanda katiri sana ambaye hana chembe ya huruma, anataka kumaliza mchezo. Hao wanajeshi wa kigeni toka Poland, ufaransa, UK na USA wanauwawa kila siku. Sasa hivi njia zote na kambi zote za jeshi la Ukraine ni mwendo wa kapeti bombing tu hakuna Cha msalia mtume. Njia zote za usafiri, majengo ya serikali vituo vya Police ni kulipuliwa tu. Wakimaliza hapo jeshi la ardhini linaenda kumaliza kazi na kisafisha, Col. Mstaafu anasema wanajeshi wa Ukraine watauwawa Sana kama hawatakimbia, wakati huo makombora ya masafa marefu yanakuwa yanazidi kuzoofisha silaha toka nje kuja mstari wa mbele upande wa Ukraine. Ndani ya mwezi huu vita itaisha na zelesiki atakimbia nchi au kuuwawa. Maana Makamu wa raisi wa Russia anasema wanataka kubadili raisi mwingine wa Ukraine.
1. According to Col. Mubobezi na deputy secretary of defense of USA, 80% of Ukraine air defense system is down
2. USA HIMASA equipment is not working enough due to it's complexity, Russia is destroying more.
3. 90% of Best Ukraine soldiers are already dead or eliminated
4. 100,000+ Ukraine soldiers arleady dead
5. 400,000+ wounded
6. Only poorly training and foreign fighter from Poland, USA, UK, France are in front line.
Sasa kilichobaki hapo ni nini kama siyo zelesiki kukimbia nchi.