Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inasikitisha Tanzania tumeshindwa kukemea na kulaani huu uvamizi wakati hata hatupati chochote cha maana kutoka huko kwa Putin.
 
"Col. Mstaafu" anasema kwa nini US na washirika wake walitaka kuivamia Urusi tangu mwaka 2014? Kwa sababu zipi hasa??
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] no say no more
 
Zelensky has asked international partners for $2 billion to restore energy infrastructure after rocket attacks. He is also asking for funds to purchase gas and coal before the coming winter. The total amount of funding requested is at least $5 billion.


Huyu khanithi wa severodonetsk asipotajirika mwaka huu na kumzidi jack maa hatotajirika tena
 
Population ya Malaysia na Singapore combined na ya Tanzania ipi kubwa ?
Basi si Tz ilipaswa kuwa na development more than double times ya hizo nchi ?
We ni mjinga na hujielewi
Acha kudili na petty things kijana
Unazidi kudhalilika.

Ukishajua sababu ya hizo nchi kuendelea hutopata shida.

China na ASEAN big five zimeendelea kwa sababu zifuatazo:

1) Uwekezaji wa viwanda na wafanyabiashara na Mataifa ya Ulaya Magharibi.

2) Kuhamisha Teknolojia kwenda Taifa husika

3)Cheap skilled labour

Usidhani tu waliibuka kama uyoga akili kisoda
Kumbuka Kualar Lumpar Palikuwa Kijiji Cha wavuvi.

Hii ni tactical marginalization inayofanywa kwenye uchumi wakiruhusu baadhi ya nchi kuamka na baadhi kubaki dormant hasa Afrika.
 
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa India amesema kwamba kwa Sasa UN imekuwa ya kipuuzi na inahitaji kufanyiwa marekebisho

Waziri huyo ameonekana kuidharau UN kutokana na kuwa na double standards kwenye kushughulikia Mambo ya kidunia.
 
Yaap nimefika labda nikuulize wewe
 
One thing is an attack on NATO allies, then we will of course trigger Article 5 But when it comes to Ukraine, NATO is not part of the conflict, but we support Ukraine in defending themselves Ukraine is a close partner. NATO allies have trained and equipped Ukrainian forces since 2014 And over the last months and weeks, we have develived further and more advanced systems to help Ukraine to protect themselves against the Brutality of Russian Military Forces"
 
Wewe ni mwehu ,unafikiri hao matajiri waliowekeza mitaji hapo Asia ni wapumbav sio ? ,hizo nchi ziliandaa policies na mazingira ya kuvutia hao wawekezaji , nchi za KiAfrica hazina viongozi wala wananchi wenye akili kutengeneza hayo mazingira , we Kwa akili yako unafikiri kuallocate big investment muwekezaji anaangalia huruma ? , biashara ni kutengeneza faida na kureduce cost ,sasa huo ujinga wako WA kwamba ni strategy ya kuisolate nchi za kiAfrica unautolea wapi ?


Hao waliopeleka pale mitaji Asia si serikali ni watu na makampuni binafsi na si nchi , nchi zenu zimejaa vilaza promax viongozi kila siku wanawaza upigani na kukandamiza wananchi ili wao na familia zao waishi kama wafalme ,uwajibikaji zero .
Mazingira mabovu ya uwekezaji na sekta binafsi , poor policies ,miundo mbinu zero ,+ insecurity na civil wars allover the continent zinazosababisha na tribalism ,udikteta na uchu WA madaraka . Huyo muwekezaji mnamtoa wapi ?
So umejijibu mwenyewe kwamba tatizo la underdevelopment Afrika ni tatizo la wananchi na watu wenyewe na si vinginevyo na sitarajii uendelee na kuandika ujinga wako WA kuandika vitu vya kufikiria tena .
 
Yaani anataka apewe Kama $7bil ($2bil to restore infrastructures + $5bil to purchase Gas and coals). World Bank wame approve kumpatia mkopo wa $530 mil, which is 7.6% ya alichoomba.

Mahitaji yake na hela anazopatika haviendani kabisa.

Na baada ya kupewa huo mkopo, EU Leaders wanasimama Mbele ya vyombo vya habari wakijitapa kwamba wako nae bega kwa bega kwenye kumsaidia.
 
Kuna button ya kuignore nadhani itumie
 
Si na nyie mkawaibie muiendeleze Afrika!
 
Afisa wa ngazi ya juu wa NATO amesema Jumatano kwamba endapo rais wa Russia itatumia silaha za nuclear, basi “atajibiwa kwa nguvu zinazostahili” kutoka kwa washirika wa Ukraine na ikiwezekana, muungano wa NATO.
We unaamini? Nchi ya Ukraine imeharibiwa vibaya sana, wamenyang'anywa mpaka ardhi yao, wamekaa kimya na kumzuga na silaha uchwara. Nani ataingiza nchi yake kwenye vita ya nyukilia eti sababu ya Ukraine.?

Hii vita haina hata nyukilia wamekaa kimya, wanasema hawataki direct vita na urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…