Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio unavyowadanganya kwenye kijiwe cha bangi hapo wenzako sio ?
 
Wewe Acha upumbav ,Nani kakudanganya Russia ndio ina mabomu makubwa na mabaya ya nyuklia ? Au unadhani kila mtu mbugila humu
Peleka Huu ujinga Kwa ngumbaru wenzako .wewe ulishayaona hayo mabomu ya nuclear ya Russia ?
 
Vichekesho kama hivi mnavitungaje? 😁
 
Mkuu,
Unajua mambo machache sana. Bahati mbaya haujui kuwa haujui. Pole.
 
Pro nato wengi wanachukia maandishi ni wachache sana ndio huenda wasomaji wao asilimia kubwa ulimwengu wanauelewa kutokana na taarifa za hbr hasa bbc dw voa n.k

Kama kuna pro nato ataenda kusoma hivo vitabu naomba nitag mkuu
Wewe dogo kusoma hicho kitabu cha economic hitman juzi ndio unajiona master au sio ?
Hicho kitabu nimekisoma Kabla hujajua hata kusoma au kuandika , nimesoma vitabu tena zile volumes za page 800+ tena vitabu volumes za manguli WA uchambuzi kama akina Noam Chomsky ,sidhani hata kama ulishalisikia hili jina na si utopolo wenu huo WA vitabu vya page 100, vitabu ambavyo nishavisoma nikianza kuvi upload humu unaweza kimbia dogo ,Nina harddrive nzima ya vitabu kuanzia global politics , warfare ,sciences ,history ,economics , espionage ,novels , NK na vyote nishavimsliza na bado kila wiki kuna kitabu nakisoma na kukimaliza ,nyie madogo bado ni weupe mno .
So be humble kid .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…