Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sitamshangaa kuja tena na comments uchwara zake Maana hilo fuvu lake limejaa tope zito la udongo mfinyanzi
Katika Psychology... Kuna kitu kinaitwa Conscious.... U just have a dead one ... Unilipe ada nikufundishe aina zaidi... Soma hiyo Kwa faida yako... U have dead brain , ceased ..... Equal to the dead.
 
Ni kweli pamelipuliwa. Naona Ukraine wanataka damu itoke masikini mwao ndipo wataelewa.
Tunapiga maeneo sensitive sio kupiga magari ya raia na barabara then mnaona ndio mnashambulia piga hesabu hiyo ammunition depot ilikuwa na mzigo kiasi gani maana huo mji uko mpakani ndio panatumika ku supply silaha frontline pigo kubwa kwa mzee wa cancer
 
Ni kweli pamelipuliwa. Naona Ukraine wanataka damu itoke masikini mwao ndipo wataelewa.
Yule General mliyemsifia Monday yuko wapi mbona harushi tena rocket kama mvua au na yeye ameamua kutumia nguvu 5% ya jeshi lake kama boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia zile mbwembwe zinaisha Tuesday hutasikia tena wakirushwa maana targets zitakaangwa vibaya
 
Hii Post yako naitunza kwa matumizi ya baadaye. Kikubwa, weka akiba ya maneno!!
 
Sijaona mahali walipo andika magobore?
 
Mgambo kwa kingereza anaitwaje?
 
We farasi acha matusi kama huwezi hoja bila matusi nenda jukwaa la mapenzi huku kuna watu wanaojielewa, watu wa heshima mpumbavu kama wewe usituharibie uzi.
Huyu Kimbukiko ni kati ya watu ambao IQ Test inawa grade below average. Ndio maana anatukana na kuandika nonsense muda wote. Ni ndugu moja na Kp Kipanya 44. Yaani hawa fit kwenye jamii iliyostaarabika
 
Russia anachezea kichpo asilimia kubwa targets za kurusha rockets zimekaangwa ndio maana General kaomba pooo mziki mzito
 
Huyu Kimbukiko ni kati ya watu ambao IQ Test inawa grade below average. Ndio maana anatukana na kuandika nonsense muda wote. Ni ndugu moja na Kp Kipanya 44. Yaani hawa fit kwenye jamii iliyostaarabika
Ungekuwa na Iq ungekuwa unaandika utopolo hapa ? , mbw@ wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…